Ufafanuzi wa mda wa Pambano la Mayweather Jr Vs Manny Pac

Ufafanuzi wa mda wa Pambano la Mayweather Jr Vs Manny Pac

Mapambano ya Utangulizi ndio yanakaribia kuanza....
 
Linaanza pambano kati ya Gamalier Rodriguez (Puerto Rico) vs Vasyl Lomanchenko from Ukaraine ndio Linaanza
 
ivi jamani level za hawa wanaotwangana ndio level zile za akina tyson au lenox??, maana kiukwel ulimwengu wa ngumi ulipotea kabsa baada ya kustaafu wakubwa, tyson,lenox,evander. je hawa wapo kwny uzito wa akina "lenox lewis"? ivi "mike iron tyson" akisema anamtaka mmojawapo wajipime watakubali....??? wataalam leten jibu
 
Mkuu Illovo, pambano la Mywether vs Pacquiao ni Welterweight Titie(126pouns);huwezi fananisha na yale ya kina Tyson vs Evender coz yalikuwa ni Heavy weight Tities(207pounds)
 
Kuondoa utata kaa kwenye Luninga kuanzia saa tisa usiku.....kama unataka kuangalia LIVE......kama kweli ni mshabiki kukesha mpaka saa moja haisumbui, vinginevyo lala mwaya tutakuamsha...wengine ndio tushaamua hakuna kulala.....
  • Hapa umenikumbusha mkesha wa pambano la Tyson Vs Evander - Ile siku jamaa alingatwa sikio ilikuwa hakuna kulala
 
mabondia wa sasa mwili kama Msuva,wadogowadogo
 
MTU kashakaa round ya tatu.packiao noma

Tulia tulia mkuu,pambano bado halijaanza kuna matatizo kwenye Pay Per View(PPV) ndio wanarekebisha ili kila MTU ALIYELIPA AWEZE KUONA PAMBANO.
 
Back
Top Bottom