McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Guys,
Hapa Mwigulu alikuwa anazungumza jana wakati akihitimisha mjadala wa hotuba ya ufunguzi ya Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Nimejaribu kutumia 4 figure bado sijaelewa. Aliyeelewa anieleezee vizuri.
"Lakini sehemu nyingine Serikali inaweza ikauza akiba ya hicho chakula ili ipate fedha za kununua chakula kingine ili wakulima wasibaki na chakula katika maeneo yao. Itakuwa inauza si kwa sababu itafute fedha hizo ziende kwenye bajeti, inakuwa inauza ili wakala wa chakula aweze kujiandaa kununua chakula kwa wakulima kama sehemu ya kuwafanya wakulima wapate faida ya mazao yao"