Matangazo yalitoka akatuma maombi, akachaguliwa katka nafac ya usimamiz, sasa ameambiwa kuna mtihani wa usaili hivo anahtaji kupata uelewa japo kidogo juu ya zoez hilo.Sasa mkuu tunashindwa kukujibu, coz kama hajui na hana uelewa alituma vp maombi ya kitu ambacho hakijui???
au mm ndo cjaelewa, fafanua vzr basi mpendwa
Asante mkuu, je ni mavazi yapi huvaliwa katika zoezi la IRS...?Hizo ni dawa zinazopulizwa ndani ya nyumba ili kuzuia mbu wanaokaa ndani(indoor). dawa inachanganywa kwenye hudson spray pump kisha unavaa overall unaweka begani kisha unaingia ndani sehemu wanapolala unapulizia ukutani na kwenye silingibodi kisha unafunga mlango nusu saa alafu unapiga deki ili kusafisha. huruhusiwi kugusa ukutani kwenye dawa. Wanalipa vizuri. kipindi nasoma chuo kuna baadhi yetu walienda kuapply walipata. wanalipa uzuri na seminar walienda mara. aaply hamna shida ata mwanza wanafanya
KAMA NDANI KWAKO KUNA KUNGUNI LAZIMA WATOKE.
Asante mkuu, je ni mavazi yapi huvaliwa katika zoezi la IRS...?
Je, kwa nafac ya supervisor anaweza kukutana na maswali yapi?
Majina yaliyotoka wote nawafaham, hakuna bwana afya hata mmoja kwa wanaotakiwa kwenda interview....Mavazi ni overall za blue, boots, mask na gloves.
kwa supervision sijajua wanaulizwa maswali gani maana sikuwahi kwenda ila wanapenda sana ma bwana afya. komaa ukipata u supervisor unalipwa kama laki tatu, kuna hela ya seminar na safari. komaa maana unajua mambo ya tanzania ujanja ujanja mwingi na kuzungushana ila usikate tamaa.