Ufahamu kuhusu IRS ama UKOKO

Ufahamu kuhusu IRS ama UKOKO

GIPAMA

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2016
Posts
1,103
Reaction score
541
Wakuu, nina dogo langu katuma maombi juu ya IRS ama unyunyuziaji wa dawa ya mbu majumbani. Sasa dogo huyu hajui chochote kuhusiana na hiyo programme, na ameambiwa 06.02.2017 akafanye usaili huku Katavi huku.

Kwa kuwa hajui chochote, na ninajua JF ndio mambo yote, tumsaidie kujua baadhi ya maswali yanayoweza kuulizwa.

Kama inawezekana nitumiwe kupitia PM

Asanteni.
 
Ndugu, naombeni msaada wenu kwa hili jambo.
 
Sasa mkuu tunashindwa kukujibu, coz kama hajui na hana uelewa alituma vp maombi ya kitu ambacho hakijui???

au mm ndo cjaelewa, fafanua vzr basi mpendwa
 
Hizo ni dawa zinazopulizwa ndani ya nyumba ili kuzuia mbu wanaokaa ndani(indoor). dawa inachanganywa kwenye hudson spray pump kisha unavaa overall unaweka begani kisha unaingia ndani sehemu wanapolala unapulizia ukutani na kwenye silingibodi kisha unafunga mlango nusu saa alafu unapiga deki ili kusafisha. huruhusiwi kugusa ukutani kwenye dawa. Wanalipa vizuri. kipindi nasoma chuo kuna baadhi yetu walienda kuapply walipata. wanalipa uzuri na seminar walienda mara. aaply hamna shida ata mwanza wanafanya

KAMA NDANI KWAKO KUNA KUNGUNI LAZIMA WATOKE.
 
Matangazo yalitoka akatuma maombi, akachaguliwa katka nafac ya usimamiz, sasa ameambiwa kuna mtihani wa usaili hivo anahtaji kupata uelewa japo kidogo juu ya zoez hilo.
 
Hizo ni dawa zinazopulizwa ndani ya nyumba ili kuzuia mbu wanaokaa ndani(indoor). dawa inachanganywa kwenye hudson spray pump kisha unavaa overall unaweka begani kisha unaingia ndani sehemu wanapolala unapulizia ukutani na kwenye silingibodi kisha unafunga mlango nusu saa alafu unapiga deki ili kusafisha. huruhusiwi kugusa ukutani kwenye dawa. Wanalipa vizuri. kipindi nasoma chuo kuna baadhi yetu walienda kuapply walipata. wanalipa uzuri na seminar walienda mara. aaply hamna shida ata mwanza wanafanya

KAMA NDANI KWAKO KUNA KUNGUNI LAZIMA WATOKE.
Asante mkuu, je ni mavazi yapi huvaliwa katika zoezi la IRS...?

Je, kwa nafac ya supervisor anaweza kukutana na maswali yapi?
 
Mavazi ni overall za blue, boots, mask na gloves.

kwa supervision sijajua wanaulizwa maswali gani maana sikuwahi kwenda ila wanapenda sana ma bwana afya. komaa ukipata u supervisor unalipwa kama laki tatu, kuna hela ya seminar na safari. komaa maana unajua mambo ya tanzania ujanja ujanja mwingi na kuzungushana ila usikate tamaa.
 
Majina yaliyotoka wote nawafaham, hakuna bwana afya hata mmoja kwa wanaotakiwa kwenda interview....

Ama wanaweza kufanyia watu usaili alafu kwenye kaz waleta mtu mwingne? Yaan unafanya ww usaili na majina yapo alafu matokeo yanakuja waliopita ni wengne na hawakuwepo hata kwenye interview?
 
Back
Top Bottom