GIPAMA
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 1,103
- 541
Wakuu, nina dogo langu katuma maombi juu ya IRS ama unyunyuziaji wa dawa ya mbu majumbani. Sasa dogo huyu hajui chochote kuhusiana na hiyo programme, na ameambiwa 06.02.2017 akafanye usaili huku Katavi huku.
Kwa kuwa hajui chochote, na ninajua JF ndio mambo yote, tumsaidie kujua baadhi ya maswali yanayoweza kuulizwa.
Kama inawezekana nitumiwe kupitia PM
Asanteni.
Kwa kuwa hajui chochote, na ninajua JF ndio mambo yote, tumsaidie kujua baadhi ya maswali yanayoweza kuulizwa.
Kama inawezekana nitumiwe kupitia PM
Asanteni.