Hiyo safi sana nyand'one! Hongera sana Kiongozi mwenzangu!Mambo ni moto, msimu huu lazima nikisanue kwenye mpunga, nalima mwenyewe, tena kando kando ya ziwa mvua ikizingua napiga irrigation
Msimu umeshaanza mwezi huu wa sita.Mkuu Morogoro mavuno yanaanza mwezi wangapi kama una taarifa .??
Na hiyo ndoo ya laki mbili ikoje.??
Na kingine bei za kuhifadhi zinakuwaje kwa gunia moja.?
MorogoroMkuu unafanyia wapi hyo biashara?
Mkuu labda kama hawana shida na pesa! Wakulima wamekuwa wakiendelea na wataendelea kuuza tu. Labda cha kuwasaidia wawe wanauza kwa kilo badala ya kuuza kwa kupima kwenye vyombo hivyo. Lakini kutokana na kukosa elimu juu ya hilo wachache watakaoelewa au kuitikia hilo hasa kwa upande wa mpunga.Mdanganye,, siku hizi Wasukuma wanatumia ndoo zao kama hutaki tembea! Pia chunga sana siku hizi wanadaiwa kuonesha mashamba, ama sivyo unanyang'anywa mpunga wote! Hawa Usukumani wanaitwa "Bagalagaja"
Morogoro kubwa chief, saivi wanauzaje mpunga kwa hiyo ndoo.?Morogoro
Ifakara vijijini maeneo ya Mchombe, Ikule, Ilungusha, Chita.Morogoro kubwa chief, saivi wanauzaje mpunga kwa hiyo ndoo.?
Na je mpunga upon mwingi?
Poa poa kiongozi kwa ufafanuzi mzuriIfakara vijijini maeneo ya Mchombe, Ikule, Ilungusha, Chita.
Debe kati ya Sh 6500 hadi 7500
Mpunga unapatikana kwa wingi wewe tu na hela yako tena saivi wakulima wengi ndio wanavuna ila kwa hali ilivyo utapanda bei mda si mrefu maana mwanzoni mwa mwezi wa 6 debe lilikuwa 6000 lakini saivi imefikia bei niliyoitaja na wakati ilikuwa inategemewa kushuka kutokana na wakulima wengi saivi kuwa wanavuna lakini haijashuka imeongezeka.
Sababu ya kuongezeka kwa bei ni kuwa baadhi ya mikoa mfano Shinyanga na Tabora hawajapata mpunga vizuri kutokana na mvua kuwa za shida hivyo kuna wafanyabiashara wengi wanakuja kukusanya mpunga na kusafirisha kupeleka mikoa ambayo haijapata mavuno ya kutosha japo wafanyabiashara wengi wa mikoa niliyoitaja huwa wanaenda kununulia Mpanda inapotokea upungufu katika mikoa yao ila scrambling ya mpunga kwa Ifakara ipo kutokana na sababu nilizozitaja za mavuno haba baadhi ya sehemu nchini.
Kwa mwaka huu Ifakara wamepata vizuri kuliko mwaka jana. Mwaka jana debe tulinunua kwa 6000 pamoja na kwamba walivuna kidogo kwa sababu maeneo mengine pia ya nchi yalikuwa yamepata mavuno vizuri. Mwaka huu pamoja na kuwa wamevuna vizuri lakini bei imepanda kutokana na baadhi ya sehemu nchini kutopata mavuno ya kutosha!
Kwa nnavyoijua biashara ya mpunga wewe ujaifanya bado[emoji28] haipo rahisi hivyoBiashara ya nafaka hususani mpunga ni nzuri ikiwa tu utafanya mambo yafuatayo;
1.Uvumilivu (kuweka stoo mpunga then uje kuuza mchele baadae au hata mpunga huohuo)
2.Uchaguzi mzuri wa mpunga (Kuna mbegu nyingine sio nzuri au mpunga kulowa maji wakati wa kuvuna baadae huwa unakatika sana ukiukoboa)
3.Ghala (Hakikisha una sehemu nzuri ya kuhifadhi mpunga ila usiharibiwe panya maana huwa wanaweza kula hata gunia moja likaisha)
Mwaka jana nilikuwa na gunia 30 za mpunga 15 nilipata hela nzuri kwakuwa mpunga ulikuwa fresh ila 15 nyingine niliuza kwa bei ndogo japokuwa sikupata hasara.
N.b; Ukizingatia hivyo vitu 3, ukauza bei nzuri sokoni utapiga sana hela mkuu, nataka nisifanye makosa tena najiandaa niingie porini.
Unaweza ukanunua makapi ukadhani umenunua mpungaDuuh aisee nilikuwa nafikir hii biashara ni rahisi tu kwamba nanunua naweka stoo halaf naondoka kufanya shughuli zangu zingine miezi 3 mbele naenda kupiga faida tu.
Tupe na wewe uzoefu wako/ Hoja zako kuhusu hii biashara, maan naona umempinga yule jamaa amabaye mi naona kaeleza fresh.Kwa nnavyoijua biashara ya mpunga wewe ujaifanya bado[emoji28] haipo rahisi hivyo
Manunuzi ya mpunga hayahitaji Elimu flani hasa kama ni mgeni,Unapokuwa mgeni kwenye swala la mpungaTupe na wewe uzoefu wako/ Hoja zako kuhusu hii biashara, maan naona umempinga yule jamaa amabaye mi naona kaeleza fresh.
NB, Tafiti hupingwa na tafiti.
Kuna uwezekano ukanunua mpunga ambao haukuvunwa vzr au uliozama kwenye tope n.k hii n hasara kubwa mnoo utakapoukoboa utatoka vby na hivyo utauza kwa bei ya hasara so hyo inakata mtaj fastaa.
Changamoto ya pili, n kwamba kuna mpunga mwingne unakuwa n mwepesi sana ukiukoboa unatoa kg chache sn hivyo inapelekea kuporomosha matazamio yako ya faida na hadi kupelekea hasara.
Kwa ufupi n biashara ya leo unapata, kesho unakosa so unapofanya jiandae kwa hali hizo.
Biashara inayokupa uhakika wa pesa yako n ya kununua mchele moja kwa moja maana utaona ubora wake pia utakuwa na uhakika wa kg unazoingiza kwenye mzunguko hivyo kuifahamu faida halisi.
Siyo kweli. Maana Mchele unatokana na Mpunga wakulima hawauzagi Mchele.Usijalibu kununua mpunga hata siku moja, maana kwenye kukoboa unaweza ukazingua sana, nunua mchele ndugu
wafanya biashara wa mpunga wapo shamba humu ndani tunadanganya tu, nina experience 90% ya wakulima wa mpunga hata wanunuzi hawijui JF.Uzoefu ndio muhimu. Kama vp nunua kiwango kdg kwa mwaka huu ili kujifunzia changamoto za soko. Ukishakuwa comfortable msimu ujao unaongeza kiwango.
Ila usiweke mtaji wako wote kwenye huu msimu huu wa kwanza.
Kuna uwezekano ukanunua mpunga ambao haukuvunwa vzr au uliozama kwenye tope n.k hii n hasara kubwa mnoo utakapoukoboa utatoka vby na hivyo utauza kwa bei ya hasara so hyo inakata mtaj fastaa.
Changamoto ya pili, n kwamba kuna mpunga mwingne unakuwa n mwepesi sana ukiukoboa unatoa kg chache sn hivyo inapelekea kuporomosha matazamio yako ya faida na hadi kupelekea hasara.
Kwa ufupi n biashara ya leo unapata, kesho unakosa so unapofanya jiandae kwa hali hizo.
Biashara inayokupa uhakika wa pesa yako n ya kununua mchele moja kwa moja maana utaona ubora wake pia utakuwa na uhakika wa kg unazoingiza kwenye mzunguko hivyo kuifahamu faida halisi.
mkuu siku hizi kuna ndoo za kupimia huo mpunga huko polini zimeshafanyiwa utundu kitaalamu ndoo moja inauzwa laki 2!!sio mchezo hata mkulima kuishitukia ni shida ila hizo nyingine za kutengeneza mwenyewe local wanazishitukia sana na utapelekwa hadi kwa mwenyekiti wa kijiji kwa uhujumu uchumi !!!tatizo la biashara ya kununua mpunga ni kwenye kuukagua ubora wake kwani huuoni unakuja kuukoboa baba ni chenga/biliani(rangi ya uvundo)tayari hasara tofauti na biashara ya. mchele unanunua kitu unachokiona.
Msimu umeshaanza mwezi huu wa sita.
Ndoo hii ni kubwa ukilinganisha na ndoo za kawaida za lita 20 hivyo ukiitumia kupimia mpunga wakati wa kununua inatoa kilo nyingi zaidi za mchele baada ya kukoboresha.
Kuna sehemu zingine kuhifadhi ni bure, ili mradi tu ukitaka kukoboa utumie mashine ya mwenye ghara lakini pia hata ukitozwa hela haizidi 1500 kwa gunia! Experience yangu mie nimekuwa nikiweka bure!