Ufahamu kuhusu nyota za angani

Ufahamu kuhusu nyota za angani

Mkuu me naomba link ya cosmos:a spacetime odyssey ya Neil de Tyson yenye quality ya 720 au 1080!
Nimetafuta YouTube sikupata .

Nitacheck kwenye External disk kama haitakwepo nitatafuta alternative way mkuu.
 
Napoangaliaga angani wakati wa usiku huwa naona nyota zingine ambazo hazina mwanga wa rangi moja,yan inabadilika badilika mara nyekundu,kijan,bluu.
Je hizi nyota ni za aina gani? mana kuna mtu katika stori za utoto alinambia eti zile ni satelaiti
Pia nyota chanzo chake cha mwanga ni kipi?
Karibuni wadau wa Sayansi ya anga
Nyota zina rangi tofauti kutokana na surface temperature yake nyota kama ifuatavyo

Nyekundu. Joto la wastani
Blue. Joto kali sana
Kijani Cool
White. Joto kiasi kama jua letu hili
 
afadhali nimeuona huu uzi hata mimi huwa na swali najiuliza siku zote kuhusu nyota, hivi ni kweli zina umbo kama ambavyo tunazichora (kwa maana ya star shape) hata huko angani zilipo au ni za duara, au umbo lake likoje, naomba kufahamishwa kwa anayefahamu?
actually ni duara,ila nyota zilivyo hazi twinkle kama tunavyozichoraga vile kwenye vitabu, tukiwa dunia tuonaona zina twinkle sababu ya distortion ya atmosphere yetu
 
Mkuu Kifyatu naomba nikushukuru kwa mara nyengine kwa kuutendea haki uzi huu.Nadhani tulioshiriki tangu mwanzo wa huu uzi tutakuwa watovu wa shukrani kama hatutotambua mchango wako humu.

Pia shukrani nyingi zimuendee mkuu mwamba028 aliyeanzisha huu uzi.
Nyote kwa pamoja nawashukuru sana. Ila kwako mkuu Kifyatu nina swali ambalo naomba msaada wako kama hautojali.

Kuna mchangiaji aliuliza kiasi cha siku kadhaa nyuma ya kuwa kuna nyota inayong'aa upande wa jua linakozama akataka kujua hiyo ni nyota gani,nawe kwenye moja ya mabandiko yako ukamjibu ya kuwa hiyo si nyota bali ni sayari ya Venus...sasa swali langu ni kuwa kama hiyo ni sayari ya Venus na siku zote tunaambiwa sayari zinazunguuka,iweje iendelee kuwepo hapo tu kiasi cha wiki tatu sasa?

Nauliza hivyo maana na leo hii nimeiona ipo hapo hapo mkuu. Natanguliza shukrani zangu kwa michango yako.
 
Mkuu Kifyatu naomba nikushukuru kwa mara nyengine kwa kuutendea haki uzi huu.Nadhani tulioshiriki tangu mwanzo wa huu uzi tutakuwa watovu wa shukrani kama hatutotambua mchango wako humu.
Pia shukrani nyingi zimuendee mkuu mwamba028 aliyeanzisha huu uzi.
Nyote kwa pamoja nawashukuru sana.
Ila kwako mkuu Kifyatu nina swali ambalo naomba msaada wako kama hautojali.
Kuna mchangiaji aliuliza kiasi cha siku kadhaa nyuma ya kuwa kuna nyota inayong'aa upande wa jua linakozama akataka kujua hiyo ni nyota gani,nawe kwenye moja ya mabandiko yako ukamjibu ya kuwa hiyo si nyota bali ni sayari ya Venus...sasa swali langu ni kuwa kama hiyo ni sayari ya Venus na siku zote tunaambiwa sayari zinazunguuka,iweje iendelee kuwepo hapo tu kiasi cha wiki tatu sasa?
Nauliza hivyo maana na leo hii nimeiona ipo hapo hapo mkuu.
Natanguliza shukrani zangu kwa michango yako.
Mkuu asante kwa kushukuru na pia tumshukuru mwanzilishi wa huu uzi Mwamba028 .

Kuhusu Venus na Mercury:
Kwa sababu hizi sayari mbili ziko karibu zaidi na jua kuliko sisi-Earth, (angalia mizunguuko yake -orbits-kwenye mchoro hapo chini) basi siku zote tukiziangalia kutoka hapa duniani tutaziona ziko karibu karibu sana na jua (saa nyingine kushoto kwake au kulia kwake). Zikiwa kushoto au kulia basi sisi tunaziona kama nyota ya asubuhi (kama ilivyo Mercury sasa) au nyota ya jioni (kama ilivyo Venus sasa). Zikiwa sambamba na jua basi hatuzioni.

Kwa sababu orbit ya Venus ni kubwa basi saa nyingine tunaiona hata saa tatu usiku ikiwa angani. Lakini kamwe sayari hizi (Mercury na Venus) hatuwezi kuziona usiku wa manane kwa sababu siku zote zinakaa karibu karibu na jua.

Labda hii itakuwa imesaidia kidogo. Kama hujanipata niulize ulipokwama.

planetorbits.gif
 
Ahsante mkuu kwa ufafanuzi.
Ngoja niingie chimbo zaidi kabla sijarudi tena.
 
Mkuu kifyatu nimerudi tena.
Kwenye bandiko lako namba 459 ukiwa unamjibu mkuu neo1...pamoja na yote ulosema kwamba kwa sasa sayari ya Jupiter ipo karibu na jua.
Swali langu ni kuwa vipi iwe karibu na jua wakati yenyewe ni ya tano kwa mfuatano wa sayari kutoka lilipo jua?.
 
Angalia huo mchoro wa bandiko la nyuma. Iangalie Mars. Kama Mars ikizunguuka na kuwa upande mwengine wa jua (yaani ukichora mstari kutoka Earth kupitia jua unaigusa Mars upande mwengine basi sisi tutaiona Mars kama ipo karibu na jua.

Hivyo hivyo Jupiter. Sasa hivi sisi tuko upande mmoja wa jua na Jupiter ipo upande mwengine lakini kwa sisi tuanaona kama ipo karibu na jua.
 
Angalia huo mchoro wa bandiko la nyuma. Iangalie Mars. Kama Mars ikizunguuka na kuwa upande mwengine wa jua (yaani ukichora mstari kutoka Earth kupitia jua unaigusa Mars upande mwengine basi sisi tutaiona Mars kama ipo karibu na jua. Hivyo hivyo Jupiter. Sasa hivi sisi tuko upande mmoja wa jua na Jupiter ipo upande mwengine lakini kwa sisi tuanaona kama ipo karibu na jua.
hivi mkuu saturn neptune na uranus nazo pia kuna uwezekano wa kuziona?
 
Neptune na Uranus ziko utosini kwako sasa hivi (midnight) lakini mwanga wake ni finyu sana kuziona kirahisi mpaka kwa darubini.

Saturn ipo karibu na Venus sasa hivi. Baada ya Venus kuzama Saturn itaonekana (kuanzia saa 2 na nusu usiku) na inazama saa 4 usiku.
 
Mkuu Kifyatu

Hongera na ahsante kwa elimu mujarabu kwetu
 
Kwa hiyo mkuu kifyatu nyota kama Betelgeuse iki undergo supernova, na kama ilivyo umbali wa 640 light years, kwa hiyo itachukua miaka 640 hapa duniani kujua kwamba betelgeuse imelipuka,na kama ni hivyo huenda hata sasa hivi ikawa imeishalipuka lakini hatujui kabisa sababu mwanga bado haujafika, na kama imelipuka Jana mfano ina maana tutajua hapa duniani ifikapo mwaka 2656 ambao watakua hai ndio watajua kama Betelgeuse ime undergo supernova au hapo imekaaje mkuu kifyatu?
 
hii elimu yetu ya bongo bure kabisa,...kumeza history,...
na haya mambo tofauti,...
physics nlisoma o level,..ila nmejiona mtupu kwa hili somo,..khaa
elimu ya kumeza,..elimu cheti,unavyovisoma olevel science serikali
inakuchagua hkl advance,..science ya olevel ya kumeza huapply sehemu,..shida tupu
Mkuu ukifuata elimu tuliyopewa sekondari bado sana, hapo inatakiwa uwe karibu na internet, me mpaka namaliza shule ya msingi nilikua naamini kwamba mlima Kilimanjaro ni wa tatu kwa ukubwa duniani, kumbe hata top ten haupo, tena ukienda ki haki hata top 100 haupo katika milima mirefu, sayansi inazidi kukua kila siku ni bora baada ya kumaliza sekondari au chuo Kikuyu uwe una angalia sana kwenye mitandao kitu gani kipya kwenye ulimwengu wa sayansi, mfano wanasayansi wamegundua kwamba mlima everest unakuwa quarter of an inch every year
 
ohh mkuu,..
sawa swali lingine,..
lile/ile space ya pembeni ya dunia imeenda mpaka wapi hivi???
huwa nawaza sana hili
Hata me nilivyokua shule ya msingi nilikua najiuliza sana, jibu simple ni vastness of space mpaka unakutana na heavily bodies zingine kama mars, Venus au kama kuna comets,asteroids katikati hapo
 
Iv kwann waliokoo kwenye ISS hawahisi ile spidi kbs kwa mfano ISS inatembea 7km/sec lakn sidhan kama wanahis io spid
Nafikiri sababu nayo wanazunguka nayo, mbona dunia inazunguka zaidi ya hiyo speed wakati wa kulizunguka jua, mfano mwepesi ukiwa kwenye ndege kubwa ambayo inatembea speed kama 1000km kwa saa je huwa una feel ile speed?
 
Nimesoma naona kuna watu bado hawajui kwamba jua ni nyota na kuna nyota zilizo kubwa kuliko jua kwa ujazo kwa mara mabilioni.

The biggest star in the known universe

Want to feel really small? Meet UY Scuti, the largest star in the universe

German astronomers originally discovered UY Scuti at the Bonn Observatory in 1860, but it wasn’t until astronomers observed UY Scuti through the Very Large Telescope in Chile’s Atacama Desert in 2012 that the star’s true size became well documented. Following this discovery, UY Scuti was officially named the largest known star in the galaxy, surpassing previous record holders such as Betelgeuse, VY Canis Majoris, and NML Cygni.

While there are stars that are brighter and denser than UY Scuti, it has the largest overall size of any star currently known, with a radius of 1,708 ± 192 R☉. That figure amounts to somewhere between 1,054,378,000 and 1,321,450,000 miles in size, which is about 1,700 times larger than our Sun’s radius and 21 billion times the volume. Wrapping one’s head around such number can be difficult, so let’s break this down a bit.

Read more: Want to feel really small? Meet UY Scuti, the largest star in the universe
Follow us: @digitaltrends on Twitter | digitaltrendsftw on Facebook
 
Kwa hiyo mkuu kifyatu nyota kama Betelgeuse iki undergo supernova, na kama ilivyo umbali wa 640 light years, kwa hiyo itachukua miaka 640 hapa duniani kujua kwamba betelgeuse imelipuka,na kama ni hivyo huenda hata sasa hivi ikawa imeishalipuka lakini hatujui kabisa sababu mwanga bado haujafika, na kama imelipuka Jana mfano ina maana tutajua hapa duniani ifikapo mwaka 2656 ambao watakua hai ndio watajua kama Betelgeuse ime undergo supernova au hapo imekaaje mkuu kifyatu?
Uko sahihi kabisa mkuu. Tunachokiona angani (nyota na galaxies) ni mambo yaliyotokea miaka mingi iliyopita na pengine nyingi hazipo tena. Tunaangalia historia.
 
Mkuu ukifuata elimu tuliyopewa sekondari bado sana, hapo inatakiwa uwe karibu na internet, me mpaka namaliza shule ya msingi nilikua naamini kwamba mlima Kilimanjaro ni wa tatu kwa ukubwa duniani, kumbe hata top ten haupo, tena ukienda ki haki hata top 100 haupo katika milima mirefu, sayansi inazidi kukua kila siku ni bora baada ya kumaliza sekondari au chuo Kikuyu uwe una angalia sana kwenye mitandao kitu gani kipya kwenye ulimwengu wa sayansi, mfano wanasayansi wamegundua kwamba mlima everest unakuwa quarter of an inch every year
Ni kweli mkuu.

Ukiwa mdadisi wa mambo basi yote haya tuliyozungumzia humu kwenye uzi na zaidi utayapata kwenye mitandao.

Mchango wangu hapa ni kuelezea mambo magumu ya kisayansi kwa lugha nyepesi ya kiswahili ili hata ambae si mkali wa sayansi anaweza kuelewa.
 
Nimesoma naona kuna watu bado hawajui kwamba jua ni nyota na kuna nyota zilizo kubwa kuliko jua kwa ujazo kwa mara mabilioni.

The biggest star in the known universe

Want to feel really small? Meet UY Scuti, the largest star in the universe

German astronomers originally discovered UY Scuti at the Bonn Observatory in 1860, but it wasn’t until astronomers observed UY Scuti through the Very Large Telescope in Chile’s Atacama Desert in 2012 that the star’s true size became well documented. Following this discovery, UY Scuti was officially named the largest known star in the galaxy, surpassing previous record holders such as Betelgeuse, VY Canis Majoris, and NML Cygni.

While there are stars that are brighter and denser than UY Scuti, it has the largest overall size of any star currently known, with a radius of 1,708 ± 192 R☉. That figure amounts to somewhere between 1,054,378,000 and 1,321,450,000 miles in size, which is about 1,700 times larger than our Sun’s radius and 21 billion times the volume. Wrapping one’s head around such number can be difficult, so let’s break this down a bit.

Read more: Want to feel really small? Meet UY Scuti, the largest star in the universe
Follow us: @digitaltrends on Twitter | digitaltrendsftw on Facebook
hivi inakuaje mziga wa nyota kama UY scutti au beltegeuse zinazidiwa uzito na netron star ambazo ni ndogo? hii imekaaje hapo??
 
Back
Top Bottom