nyota huonekana usiku kwasababu mwanga wa jua unakuwa haupo ambapo mwanga huo wa jua unapokuwepo hukinga/huzidi mianga myengine ya nyota hivyo hufanya kutokuonekana kwa nyota ambazo zenyewe hutoa mwanga hafifu kutokana na kuwepo mbali.Na kwann huwa zinaonekana usiku??
Sawa mkuu nitakujibu kuhusu Pleiades (Subaru au KILIMIA kwa kiswahili). Unajua kuna imani kuwa aliens wa kwanza waliokuja hapa duniani (na kuchanganya DNA zao ili kutupata sisi binaadam wa kileo) na kujenga pyramids, Mayan technology na vinginevyo wametoka katika sayari liliyopo katika moja ya nyota za Pleiades?Mkuu tunangojea kwa shauku sana, ila usisahau kujibu maswali yangu ya mwisho niliyouliza kuhusu PLEIADES
Hilo la Aliens kujenga pyramids tungependa kuyafamu zaidi. Mpaka sasa sijawahi kujua pyramids zilijengwa na nani na kwa madhumuni yapi, mwenye uelewa zaidi tafadhali atueleze pia.Sawa mkuu nitakujibu kuhusu Pleiades (Subaru au KILIMIA kwa kiswahili). Unajua kuna imani kuwa aliens wa kwanza waliokuja hapa duniani (na kuchanganya DNA zao ili kutupata sisi binaadam wa kileo) na kujenga pyramids, Mayan technology na vinginevyo wametoka katika sayari liliyopo katika moja ya nyota za Pleiades?
Kwa nini mkuu una shauku ya kujua zaidi kuhusu Pleiades au Kilimia?
Kuna imani pia kuwa hawa aliens kutoka Pleiades bado tunao hapa duniani bali wanachagua wakati gani waonekane na wakati gani wasionekane. Hii sio sayansi (haijathibitishwa kisayansi) bali ni dhana tu ya wale wanaoamini kuwa kuna aliens.
"The Nephilim were on the earth in those days—and also afterward—when the sons of God went to the daughters of humans and had children by them. They were the heroes of old, men of renown."Sawa mkuu nitakujibu kuhusu Pleiades (Subaru au KILIMIA kwa kiswahili). Unajua kuna imani kuwa aliens wa kwanza waliokuja hapa duniani (na kuchanganya DNA zao ili kutupata sisi binaadam wa kileo) na kujenga pyramids, Mayan technology na vinginevyo wametoka katika sayari liliyopo katika moja ya nyota za Pleiades?
Kwa nini mkuu una shauku ya kujua zaidi kuhusu Pleiades au Kilimia?
Kuna imani pia kuwa hawa aliens kutoka Pleiades bado tunao hapa duniani bali wanachagua wakati gani waonekane na wakati gani wasionekane. Hii sio sayansi (haijathibitishwa kisayansi) bali ni dhana tu ya wale wanaoamini kuwa kuna aliens.
mkuu swala la kuwepo maisha mahala pengine bado ni nadharia coz mpk sasa hakujathibitika hilo,ila tunahisi hivyo kwasababu ya kuchagizwa na mazingira i mean kuwepo kwa solar systems nyengine(stars) na kuwepo kwa sayari.. kwahiyo hapo tu kumetoa priority ya kufikiri kuwepo kwa viumbe wengine lkn mpk sasa hakujathibitika kuwepo na viumbe.Kama kusubilia mwendelezo wa uzi wetu pendwa imekuwa too much sasa. Mengi sana tumelimishana mpaka hapa tulipofikia lakini si vyema kuachia hapa maana tumebakisha sehemu nzuri sana kati ya sisi binadama na uhusiano wa kutokea kwa ulimwengu na uwezekano wa kuwepo maisha mengine out there spiritually or phyisically may be. Kwa wenye ufahamu tuendelee
Sasa huwa najiuliza sana hili swala la Alliens, kuwepo kwa conspiracies nyingi zinazoelezea uwepo wa hawa viumbe toka sayari zingine na kugundulika kwa earth like planet strucures inatuaminisha labda kuna uwezekano mkubwa wa uwepo wa viumbe vingine.mkuu swala la kuwepo maisha mahala pengine bado ni nadharia coz mpk sasa hakujathibitika hilo,ila tunahisi hivyo kwasababu ya kuchagizwa na mazingira i mean kuwepo kwa solar systems nyengine(stars) na kuwepo kwa sayari.. kwahiyo hapo tu kumetoa priority ya kufikiri kuwepo kwa viumbe wengine lkn mpk sasa hakujathibitika kuwepo na viumbe.
binafsi nadhani huenda wakawepo ila umbali na technologia yetu bado haijaweza kutung'amurisha na kuthibitisha hayo..
ipo kazi kwelikweli
NYOTA ni kama jua lakini ziko mbali sana na dunia kushinda jua.NYOta ni kubwa kushinda jua.