Ufahamu kuhusu nyota za angani


Teremsha nondo mkuu
 
 
Last edited by a moderator:
Malizia story yako....kuna kitu inaitwa nyota ya jaa/Jah...yenye bahati. Ukiamka usiku iko tofauti na nyingine, ukiigundua basi inasemekana chochote utakachoomba utakipata interms of wealth.

Nitaamka usiku .
sasa usiku wa saa ngapi nitaijuaje utofauti ni nini na hz zingine?
 

Mimi nataka haswa hicho kipengele cha black holes
 
 
Nimekuwa natafuta sana kuelewa hizo Blac holes lakini imekuwa ngumu kwangu kuelewa uje na lugha rahisi kwa sisi tusiojua physics kuelewa maana niliwahi kusoma sehemu kuwa black holes yaweza kumeza hata dunia sijui kama ni kweli.

Bibie tulia.

Lengo langu hapa JF ni kutoa maelezo ambayo hata bibi (nyanya) yangu kule kijijini (never seen the inside of a classroom) anaweza kunielewa. Kama siwezi kufanya hivyo basi, pamoja na elimu yangu yote hii niliyokuwa nayo, mimi si mali kitu.

Dada nisubiri na jibu lako!!
 

Umenikosha kwa majibu yako yaliyojaa ukomavu wa busara haya baba nimetulia nasubiri kwa hamu somo hilo. Wewe ni mali
 

Wenzetu wa upande wa pili hupenda kusema mwenyezi mungu akutie wepesi ktk kutafutatafuta nondo hizo.kila la kheri mkuu. Nasubiri
 
good explaination mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…