Athanasack Mwendi
Member
- Mar 14, 2017
- 6
- 1
Space X wametengeneza chombo kinachoitwa nanocraft kinachotumia technolojia ya lesser ambacho kitasafiri kuichunguza Alpha safari yaka itachukua karibia miaka 20 inasemekana technolojia ya lesser INA speed 20% ya mwangaMpaka sasa wanasayansi hawajagundua sehemu yeyote ile yenye uhai. Lakini hii ni kwa muda tu. Naamini kabisa sisi sio viumbe pekee katika huu ulimwengu (universe) wetu.
Nyota zinajizalishia mwanga zenyewe bila kutegemea kutoka kwenye biggest star[ Sun]. Kila nyota inazungukwa na sayari nyingi tu. Kwa sisi galaxy yetu inaitwa milky way galaxy ambapo ndipo inapopatikana sayari yetu ya dunia.
Kiufupi kuna billions of stars na kupelekea kuwepo kwa billions of billions of planets. Zingine ziko kwenye galaxy za mbali ambapo kuzifikia itamchukua binadamu light years [ miaka isiyohesabika/billion of years]. Na nyota zingine hatuwezi kuziona kwa macho bila msaada wa telescope.
Ni kweli zingine zinazooneka juu ni setelite.
Umesomeka mkuu. Ahsante kwa mwendelezosi kweli kwamba kila nyota inazungukwa na sayari....zipo nyota nyingi sana zisizo na sayari kuliko zenye sayari.
light years tafsiri yake si bilioni of years, light years ni muda ambao mwanga husafiri toka kwenye chanzo chake mpaka kutufikia. kwaiyo, 1 light year, maana yake ni kamba, mwanga umetumia mwaka mmoja toka kwenye chanzo mpaka kutufikia. mwanga hutumia dakika 8 kusafiri toka kwenye jua na kutufikia...kwaiyo jua tunaliliona sasa, ni ndivyo lilivyokiwa dakika nane zilizopita.
kuna nyota zilizombali sana, ambazo bado zinaonekana angani, ila kiuhalisia hazipo tena ulimwenguni, zilishakufa kitambo, ila zinaonekana maana ndivo zilivyokuwa miaka milion kadhaa iliyopita na mwanga wake wa enzi izo ndio unatufikia sisi hizi sasa.
kwenye miaka ya sabini, kuna supernova ilitokea, nyota moja kulipuka na kutoa mwanga mkali sana. tukio hili lilinaswa na cameras za watafiti wanyota wa kipindi icho, nanilidumu kwa week kadhaa kabla mwanga haujapungua. inasemekana kwamba, tukio hilo la kulipuka kwa nyota lilitokea miaka billion kadhaa iliyopita, na mwanga wake kuifikia dunia kwenye miaka ya 70.
kingine, satelite ni neno pana sana, chochote kinachoizunguka dunia ni satelite, ila kuna natural satelites kama mwezi na man made satelites kama vinazopelekwa angani na NASA, warussi, wachina etc. hizi man made satelite ni ndogo sana haziwezekani kuonekana kwa macho ukiwa duniani. na mwanga unaokuwa reflected nazo ni mdogo sana kuweza kuwa visible duniani. ila kwa kutumia telescope unaweza kuziona, pia kuna satelite kubwa zaidi kama maabara kubwa ya utafiti angani, intanational space station, huonekana pia kwa darubini.
uchambuzi yakinifu kabisasi kweli kwamba kila nyota inazungukwa na sayari....zipo nyota nyingi sana zisizo na sayari kuliko zenye sayari.

Mkuu kifaa hiki kitatumia nishati gani? Na lini kitaruka?Space X wametengeneza chombo kinachoitwa nanocraft kinachotumia technolojia ya lesser ambacho kitasafiri kuichunguza Alpha safari yaka itachukua karibia miaka 20 inasemekana technolojia ya lesser INA speed 20% ya mwanga
Asante mkuu kwa maeelezo yako, kwa miaka hii ya karibuni kuna supernova yoyote ambayo wanasayansi wanataarifa nayo yaweza kutokea?si kweli kwamba kila nyota inazungukwa na sayari....zipo nyota nyingi sana zisizo na sayari kuliko zenye sayari.
light years tafsiri yake si bilioni of years, light years ni muda ambao mwanga husafiri toka kwenye chanzo chake mpaka kutufikia. kwaiyo, 1 light year, maana yake ni kamba, mwanga umetumia mwaka mmoja toka kwenye chanzo mpaka kutufikia. mwanga hutumia dakika 8 kusafiri toka kwenye jua na kutufikia...kwaiyo jua tunaliliona sasa, ni ndivyo lilivyokiwa dakika nane zilizopita.
kuna nyota zilizombali sana, ambazo bado zinaonekana angani, ila kiuhalisia hazipo tena ulimwenguni, zilishakufa kitambo, ila zinaonekana maana ndivo zilivyokuwa miaka milion kadhaa iliyopita na mwanga wake wa enzi izo ndio unatufikia sisi hizi sasa.
kwenye miaka ya sabini, kuna supernova ilitokea, nyota moja kulipuka na kutoa mwanga mkali sana. tukio hili lilinaswa na cameras za watafiti wanyota wa kipindi icho, nanilidumu kwa week kadhaa kabla mwanga haujapungua. inasemekana kwamba, tukio hilo la kulipuka kwa nyota lilitokea miaka billion kadhaa iliyopita, na mwanga wake kuifikia dunia kwenye miaka ya 70.
kingine, satelite ni neno pana sana, chochote kinachoizunguka dunia ni satelite, ila kuna natural satelites kama mwezi na man made satelites kama vinazopelekwa angani na NASA, warussi, wachina etc. hizi man made satelite ni ndogo sana haziwezekani kuonekana kwa macho ukiwa duniani. na mwanga unaokuwa reflected nazo ni mdogo sana kuweza kuwa visible duniani. ila kwa kutumia telescope unaweza kuziona, pia kuna satelite kubwa zaidi kama maabara kubwa ya utafiti angani, intanational space station, huonekana pia kwa darubini.
Alpha centuary IPO umbali wa mail I trillion zaid ya 25. Chombo kama voyager kinaweza kutumia miaka 30000 mpaka kuifikia hiyo nyota.lakini chombo kilichopewa jina la Nanocraft chenye speed ya km million 100 kwa saa kitatumia miaka 20 tu kiifikia nyota ya alpha. Nanocraft itaendesha kwa nguvu za jua ambazo zinapatikana kutoka katika mwale wa lesser unaorushwa kutoka duniani. Mpango huu umepewa Nina LA STARSHOT na utagharimu dola mil 100 na unafadhiliwa na bilionea Yuri Milner na Mark Zucketberg. UmezinduliwaApril2016Mkuu kifaa hiki kitatumia nishati gani? Na lini kitaruka?
Alpha centuary IPO umbali wa mail I trillion zaid ya 25. Chombo kama voyager kinaweza kutumia miaka 30000 mpaka kuifikia hiyo nyota.lakini chombo kilichopewa jina la Nanocraft chenye speed ya km million 100 kwa saa kitatumia miaka 20 tu kiifikia nyota ya alpha. Nanocraft itaendesha kwa nguvu za jua ambazo zinapatikana kutoka katika mwale wa lesser unaorushwa kutoka duniani. Mpango huu umepewa Nina LA STARSHOT na utagharimu dola mil 100 na unafadhiliwa na bilionea Yuri Milner na Mark Zucketberg. UmezinduliwaApril2016
Naomba kuuliza.Kutokana na maendeleo ya sayansi technology Katika dunia ya Leo binadamu wametengeneza vyombo mbalimbali vya usafiri wa anga,baharini,nchi kavu,n.k.Lakini tumeshuhudia ajari Katika vyombo hivyo na kupelekea vifo na watu kupoteza viungo vyao.
Je,hizi sayari/magimba ambayo yanaelea angani yanaweza kugongana?na kama ynaweza kugongana ni athari gani inaweza kutokea?kama yamewahi kugongana kuna madhara ambayo yalifika hadi Katika dunia yetu?.Ni tahadhari gani tunaweza kuchukuwa..
We unaamini hizo theory, hivi ni kweli kila yanapo gongana basi yanakuwa vumbi mbona dunia yetu haiwi vumbi kwanini?najifunzakugongana kwa haya maumbo ya angani ni jambo la kawaida sana, japo yanatokea kwa nadra sana. mfano, kimondo kilichoanguka mbozi au kwenye jangwa la arizona, huu ni mfano wa kugongana kati ya dunia na maumbo haya ya angani. na kwa siku ni zaidi ya vimondo milioni moja kukaribia kugongana na dunia ila msuguano katinya maumbo haya na tabaka la hewa la dunia huviyeyusha na kuwa vumbi hali vikiwa angani.
kati ya theories pia zinazoonesha adhari za kugongana kwa maumbo haya ni pamoja na ile inayoelezea kupotea kwa maisha ya dinosaurs mamilioni ya miaka iliyopita. watafiti wanasema moja ya sababu ya kupotea kwa maisha ya hawa viumbe ni pamoja na hilo janga lililoikumba dunia wakati huo...
pia baadhi ya theories, zinasema mwezi wetu uliundwa kutokana na collision pia kati ya dunia na maumbo ya angani. kipande kilichomeguka baada ya ajali iyo ndicho kiliumba mwezi.
We unaamini hizo theory, hivi ni kweli kila yanapo gongana basi yanakuwa vumbi mbona dunia yetu haiwi vumbi kwanini?najifunza