si kweli kwamba kila nyota inazungukwa na sayari....zipo nyota nyingi sana zisizo na sayari kuliko zenye sayari.
light years tafsiri yake si bilioni of years, light years ni muda ambao mwanga husafiri toka kwenye chanzo chake mpaka kutufikia. kwaiyo, 1 light year, maana yake ni kamba, mwanga umetumia mwaka mmoja toka kwenye chanzo mpaka kutufikia. mwanga hutumia dakika 8 kusafiri toka kwenye jua na kutufikia...kwaiyo jua tunaliliona sasa, ni ndivyo lilivyokiwa dakika nane zilizopita.
kuna nyota zilizombali sana, ambazo bado zinaonekana angani, ila kiuhalisia hazipo tena ulimwenguni, zilishakufa kitambo, ila zinaonekana maana ndivo zilivyokuwa miaka milion kadhaa iliyopita na mwanga wake wa enzi izo ndio unatufikia sisi hizi sasa.
kwenye miaka ya sabini, kuna supernova ilitokea, nyota moja kulipuka na kutoa mwanga mkali sana. tukio hili lilinaswa na cameras za watafiti wanyota wa kipindi icho, nanilidumu kwa week kadhaa kabla mwanga haujapungua. inasemekana kwamba, tukio hilo la kulipuka kwa nyota lilitokea miaka billion kadhaa iliyopita, na mwanga wake kuifikia dunia kwenye miaka ya 70.
kingine, satelite ni neno pana sana, chochote kinachoizunguka dunia ni satelite, ila kuna natural satelites kama mwezi na man made satelites kama vinazopelekwa angani na NASA, warussi, wachina etc. hizi man made satelite ni ndogo sana haziwezekani kuonekana kwa macho ukiwa duniani. na mwanga unaokuwa reflected nazo ni mdogo sana kuweza kuwa visible duniani. ila kwa kutumia telescope unaweza kuziona, pia kuna satelite kubwa zaidi kama maabara kubwa ya utafiti angani, intanational space station, huonekana pia kwa darubini.