impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
Alale pema peponiWALE WANA ASTRONOMY STEPHEN HAWKING' (STARSHOT) ATUNAE TENA AMEFARIKI DUNIA. LAA TUMUENZI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alale pema peponiWALE WANA ASTRONOMY STEPHEN HAWKING' (STARSHOT) ATUNAE TENA AMEFARIKI DUNIA. LAA TUMUENZI.
Jamaa kuna kitabu ameandika kinaitwa "Brief history of time" ukikisoma utajifunza mengiWALE WANA ASTRONOMY STEPHEN HAWKING' (STARSHOT) ATUNAE TENA AMEFARIKI DUNIA. LAA TUMUENZI.
hazipo kama star shape tuna vyo chora, zipo na umbo kama sayari sema kwa kua ziko mbali saaana na zina tema mwanga mwingi saaana ndo kwa mbali inaonekana na vi shape kama star angle angle nyingi. na nyota ina zaliwa na kuishi hadi inapofika muda wake inakufa yani supa nova ndo kifo cha nyota na hio process hufanya kuzaliwa kwa nyota nyingineafadhali nimeuona huu uzi hata mimi huwa na swali najiuliza siku zote kuhusu nyota, hivi ni kweli zina umbo kama ambavyo tunazichora (kwa maana ya star shape) hata huko angani zilipo au ni za duara, au umbo lake likoje, naomba kufahamishwa kwa anayefahamu?
mwezi mkuu huna nishati yoyote mwezi una tegemea jua yani mwezi aridhi yake ina relect mwanga kutoka kwa jua.Vp kuhusu mwezi nao,,nao una enegy yoyote mana mwezi pia hubadilika,siku nyingine unaouona mwekundu,siku nyingine km wa kijani fulan ya kung'aa,siku nyingne una rang nyeupe ya kufifia,wakuu mwezi una any source of energy?na nn kinafanya mwez uwe na rang na size tofaut tofauti
Nyota (Jua) ya Orion hilo tundu unaweza kuingiza majua yetu (solar system yetu) matatu.nyota ni jua, jua likiwa mbali saana kiasi kuonekana kwa macho yetu ni ndogo ndo uitwa jua, ila nyota ikiwa karibu huitwa jua, kuna nyota/jua kubwa kuliko la kwentu kwa kiasi cha ukubwa wa maraaa trioni yani jua letu uliweke kwenye jua lingine huko la kwetu uingia mara trillion. ona Majabu ya Mungu, na jua kama jua inatumia nishati ya kwake eneywe kama hydroden na helium kuilifanya kua na muwako mkali kiasi pamouja kua mbali saaaana ila tunaona mwanga ule na kidogo kama cheche kwa mbali na aka tunasema nyota ile kumbe pale ipo mbali saana sio kitoto aise.kuna kitu au tuseme kipimo light years yani speed ya mwanga kutoka kwenye nyota ile mpaka kutufikia kwenye macho yetu yani mwanga ule ume safiri miaka ma million hadi wewe kuona so hata wewe ujazaliwa mpaka unafika uzeeni... hatari aise naishia hapo,
Hii ni mojawapo ya Nyota kubwa katika milk away galaxy yetu ni Mara milioni 300 ukubwa wake kwa Nyota (Sun) yetu ya Jua.Mada nzuri
Nimekosea Nyota kubwa katika mfumo wetuHii ni mojawapo ya Nyota kubwa katika milk away galaxy yetu ni Mara milioni 300 ukubwa wake kwa Nyota (Sun) yetu ya Jua.
View attachment 718784View attachment 718785
Mwezi ni satellite, uhakisi mwanga kutoka juamwezi mkuu huna nishati yoyote mwezi una tegemea jua yani mwezi aridhi yake ina relect mwanga kutoka kwa jua.
Kuna habari niliisoma ya ndege iliyopotea miaka 37 na ikaja kuonekena watu wake wapo ivo ivo na hawajazeeka na afya zao zile zile na hali watu walishasahau kama wapo hai na wao wakadai walikuwa safarin na hali wana miaka 37 hawajukikan walipo ,hii dunia ni balaaImethibitika kisayansi kuwa ukisafiri kwa kasi kubwa basi aging process yako inazoroto. Na ukisafiri kwa kasi ya mwanga basi ukuaji wako unasimama kabisa .
Kwa hiyo ukisafiri masafa marefu ambayo yangekuchukua miaka 30 kwa kutumia dakika 5, wewe ndie utakaeona umetumia dakika 5 lakini sisi uliotuacha hapa tutaona umekwenda kwa miaka 30. Ukirudi, umri wako utakuwa umeongezeka kwa dakika 5 wakati sisi hapa duniani umri wetu utakuwa umeongezeka kwa miaka 30. Hii ndio maana ya traveling into the future.
Naomba link au source ya hii habari maana inashangaza sanaa.Kuna habari niliisoma ya ndege iliyopotea miaka 37 na ikaja kuonekena watu wake wapo ivo ivo na hawajazeeka na afya zao zile zile na hali watu walishasahau kama wapo hai na wao wakadai walikuwa safarin na hali wana miaka 37 hawajukikan walipo ,hii dunia ni balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuletea mkuuNaomba link au source ya hii habari maana inashangaza sanaa.
Chakula,maji na mahitaji mengine muhimu walitoa wap?
mwe,,,asante kaka.duh,,!!!nyota ni ndogo sana kuliko dunia, ni kama mwezi. zinategemea mwanga wa jua. na nyota ulizoona zinazobadilika kutoka rangi kutokea ya blue kwenda ya kijani ni kutokana na kuzibwa na miti na bahari .na ukiona nyekundu ujue hapo kuna radi na mvua inanyesha.
Nyota si ndogo kama dunia hata cku moja ila zipo mbali tu na dunia,maana hata jua ni nyota iliyo kalibu na dunia
ha ha mkuu usipate kuliamini hili ni tata hayo mafuta ya kutembea miaka 37 waliyatoa wapi..?hizi habari za hivi zipo kuteka ubongo kipuuzi tu wala hakuna la mana maisha ni halisiKuna habari niliisoma ya ndege iliyopotea miaka 37 na ikaja kuonekena watu wake wapo ivo ivo na hawajazeeka na afya zao zile zile na hali watu walishasahau kama wapo hai na wao wakadai walikuwa safarin na hali wana miaka 37 hawajukikan walipo ,hii dunia ni balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nyota INA gravity basi umbo lake ni duaraBy SAYANSIKIMU![]()
Nyota hazina umbo maalumu .
Ni kweli !!!
Nyota ni kama sayari lakini ujazo wake mkubwa ni hewa, tofauti na sayari yetu tuiitayo DUNIA ambayo ujazo wake mkubwa ni miamba (rocky, au solid). Kwa sababu hewa ndio inayotengeneza hizi nyota, basi umbile lake haliwezi kuwa na umbo (umbile) maalumu. Mkuu SAYANSIKIMU hajakosea.
NB
Naona watu wengi wameshabikia hii mada. Kwenye mada yangu ya awali nilitaka kuongeza dondoo za:
- Nyota zinazaliwaje
- Nyota zinakufaje
- Black-holes na makaburi ya nyota zilizokufa.
Nitateremsha hizi nondo kama kuna anaezitaka.
Kwa gravity kubwa kiasi hicho ya black hole lazima nyota zutakazo vutwa zitalipuka ndani yake na kusababisha black hole kuwa kubwa zaidi na yenye nguvu zaidi na hiyo milipuko licha ya kuwa mikubwa hakuna chembe ya mwanga wala moto wala vumbi tutakalo weza kuliona kutokana na hiyo gravity kubwa kiasi hicho ,haya ni maoni yangu kwa kutumia akiliwatu wengi wanadhani black hole ni shimo, kiuhalisia sio shimo bali ni sehemu katika space ambayo inamvutano mkubwa sana na kila kinachojaribu penya huvutwa na kuvunjwa vunjwa na kuwa part of the black hole.
kumbuka nyota zimetengenezwa na gases mkuu kwahiyo sio solid na nyota inapovuta na black hole uwa compressed na kuwa ndogo zaidi hii huifanya hiyo nyota kuwa na more gravity na hivyo hiyo gravity huongeza nguvu za hiyo black hole.
black hole sio shimo kama wengi wanavyodhani bali imeitwa hivyo kwakuwa ni black kutokana na ukweli kuwa hata mwanga hauwezi penya.
Ni big atom lakini siyo ulimwenguni kote hao ndiyo walio tuambia reli ni lazima iwe na nafasi "gap" lakini leo reli hiyohiyo inachomewa kuondoa "gap" ili treni litembee smoothIvi kumbe wale waliochora Solar sytem na kutuambia jua ni biggest atom wametudanganya!