Ufahamu kuhusu nyota za angani

nyota ni jua, jua likiwa mbali saana kiasi kuonekana kwa macho yetu ni ndogo ndo uitwa jua, ila nyota ikiwa karibu huitwa jua, kuna nyota/jua kubwa kuliko la kwentu kwa kiasi cha ukubwa wa maraaa trioni yani jua letu uliweke kwenye jua lingine huko la kwetu uingia mara trillion. ona Majabu ya Mungu, na jua kama jua inatumia nishati ya kwake eneywe kama hydroden na helium kuilifanya kua na muwako mkali kiasi pamouja kua mbali saaaana ila tunaona mwanga ule na kidogo kama cheche kwa mbali na aka tunasema nyota ile kumbe pale ipo mbali saana sio kitoto aise.kuna kitu au tuseme kipimo light years yani speed ya mwanga kutoka kwenye nyota ile mpaka kutufikia kwenye macho yetu yani mwanga ule ume safiri miaka ma million hadi wewe kuona so hata wewe ujazaliwa mpaka unafika uzeeni... hatari aise naishia hapo,
 
hazipo kama star shape tuna vyo chora, zipo na umbo kama sayari sema kwa kua ziko mbali saaana na zina tema mwanga mwingi saaana ndo kwa mbali inaonekana na vi shape kama star angle angle nyingi. na nyota ina zaliwa na kuishi hadi inapofika muda wake inakufa yani supa nova ndo kifo cha nyota na hio process hufanya kuzaliwa kwa nyota nyingine
 
mwezi mkuu huna nishati yoyote mwezi una tegemea jua yani mwezi aridhi yake ina relect mwanga kutoka kwa jua.
 
aise mkuu umechambua vizuri saana.ina eleweka bila shida
 
Nyota (Jua) ya Orion hilo tundu unaweza kuingiza majua yetu (solar system yetu) matatu.
 
Kuna habari niliisoma ya ndege iliyopotea miaka 37 na ikaja kuonekena watu wake wapo ivo ivo na hawajazeeka na afya zao zile zile na hali watu walishasahau kama wapo hai na wao wakadai walikuwa safarin na hali wana miaka 37 hawajukikan walipo ,hii dunia ni balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba link au source ya hii habari maana inashangaza sanaa.
Chakula,maji na mahitaji mengine muhimu walitoa wap?
 
mwe,,,asante kaka.duh,,!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ha ha mkuu usipate kuliamini hili ni tata hayo mafuta ya kutembea miaka 37 waliyatoa wapi..?hizi habari za hivi zipo kuteka ubongo kipuuzi tu wala hakuna la mana maisha ni halisi
 
Kama nyota INA gravity basi umbo lake ni duara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa gravity kubwa kiasi hicho ya black hole lazima nyota zutakazo vutwa zitalipuka ndani yake na kusababisha black hole kuwa kubwa zaidi na yenye nguvu zaidi na hiyo milipuko licha ya kuwa mikubwa hakuna chembe ya mwanga wala moto wala vumbi tutakalo weza kuliona kutokana na hiyo gravity kubwa kiasi hicho ,haya ni maoni yangu kwa kutumia akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ivi kumbe wale waliochora Solar sytem na kutuambia jua ni biggest atom wametudanganya!
Ni big atom lakini siyo ulimwenguni kote hao ndiyo walio tuambia reli ni lazima iwe na nafasi "gap" lakini leo reli hiyohiyo inachomewa kuondoa "gap" ili treni litembee smooth

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…