Radi ni chaji ya umeme inayojijenga kwenye mawingu na ikiwa kubwa inateremka (discharge) aridhini. Sasa ikipitia mti, mtu au chochote kile inakipasua.Asaante mkuu kwa kunitoa hofu
swal lingine iv radi nkimaanisha ule mwanga ambao unaweza kuunguza miti mikubwa na had kuua mtu pamoja na zile nguromo uwa zinatokana na nn uko juu?
Sijui kama ulikwishawahi kuteremka kwenye gari na ukapata ka-electric shock kadogo? Gari linapotembea, upepo unasuguana na hilo gari na kulichaji (static charge). Sasa ukiteremka na kuweka mguu aridhini hiyo chaji inapitia mwili wako kwenda aridhini. Mfumo huohuo ndio unaotokea kwenye mawingu na kupata radi.
Radi ni muhumu sana katika maisha yetu. Homework yako ya leo ni kwenda kwenye mtandao wa internet ufanye utafiti wa faida za radi hapa duniani halafu utuletee hiyo mada hapa na sisi tunufaike.