The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,580
- 7,203
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo radio signal zina kasi ya aina gani?kuna uwezekano zikafika huko kwaliYani ni hivi wanaanga katika uchunguzi wao waliona kuna sayari inaweza kuwa na uhai ndani yake, yani kuna viumbe wanaishi sasa kwa kuwa sayari iko mbali sana na kuifikia kwa technology tuliyonayo sasa haita wezekana sababu sayari ipo umbali wa miaka 25,000 ya mwanga
yani kama ukituma chombo chenye speed sawa na ya mwanga itachukua miaka 25,000 kufika kwenye hiyo sayari
wanaanga hao wakatuma radio signal kwenda kwenye hiyo sayari ili kama kuna viumbe wapate hizo signal na wajue kwamba kuna viumbe wengine sehemu fulani
Mfano labda hapa duniani itokee siku tupate signal kutoka anga za mbali kabisa, lazima tutajua kama kuna viumbe wengine wapo mahali fulani ndio wanatuma hizo signals ili tufahamiane lakini mpaka sasa hicho kitu hakijawahi kutokea, zaidi zaidi huwa tunapokea signals ambazo ziliachwa na mlipuko wa bing bang signal za bing bang zinapatikana kwenye TV za zamani zile hasa za chogo unapo washa zile chenga za makelele za mwanzo
300,000 km/secHizo radio signal zina kasi ya aina gani?kuna uwezekano zikafika huko kwali
-Mwezi hauna source yoyote ya kujizalishia mwanga bali wenyewe una reflect mwanga wa jua tu !Vp kuhusu mwezi nao,,nao una enegy yoyote mana mwezi pia hubadilika,siku nyingine unaouona mwekundu,siku nyingine km wa kijani fulan ya kung'aa,siku nyingne una rang nyeupe ya kufifia,wakuu mwezi una any source of energy?na nn kinafanya mwez uwe na rang na size tofaut tofauti
Duuh hapo ni kwenye vacuum au? Ila haijafikia mwanga300,000 km/sec
Hiyo ndio kasi ya mwanga mkuuDuuh hapo ni kwenye vacuum au? Ila haijafikia mwanga
Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
Mkuu kwahiyo radio waves na mwamga ni kama kitu kimoja yani hizo radio waves nazo zina photons ndiyo maana zina speed hiyoHiyo ndio kasi ya mwanga mkuu
Asante kwa kushukuru mkuu.Nashukuru sana mkuu Kifyatu kwa kunielimisha mambo mengi ambayo nilitamani sana kuyajua ila nikapishana nayo. Tangu nilipokuwa shule ya msingi, nilipenda sana mambo haya ambayo yalijulikana kwa jina la Unajimu. Badala yake nilipofika shuleni niliishia kusoma PCM na kwenda uhandisi. Vilevile kwenye elimu tote ya physics niliyosoma sikuwahi kusoma vitu kama hivi. God bless you.
Electromagnetic waves zote (radio waves, microwaves, infra-red, mwanga tunaouona, ultraviolet, x-rays, gamma rays, etc) zinafuata kanuni moja na zinasafiri kwa kasi hiyo hiyo ya mwanga.Mkuu kwahiyo radio waves na mwamga ni kama kitu kimoja yani hizo radio waves nazo zina photons ndiyo maana zina speed hiyo
Mkuu hii topic ni nzuri sana kuijadili. Nitakuwa mwangalifu sana kuchangia kwani inaingiliana na mambo ya Spirituality na After life.mkuu Kifyatu na yonga habari za siku.
nashukuru kwa michango yako mizuri kuhusu solar system and universe kwa ujumla wake.
ukipata nafasi gusia kuhusu Quantum physics life on 3 dimension.
tena kwenye kusoma soma nkatoka na hii
Physicists Claim that Consciousness Lives in Quantum State After Death
Physicists Claim that Consciousness Lives in Quantum State After Death
Tena nkapata hii
The quantum source of space-time
Many physicists believe that entanglement is the essence of quantum weirdness — and some now suspect that it may also be the essence of space-time geometry
The quantum source of space-time
me naona wanivuluga tu???
mkuu kama unapata muda tuelezeeee zaid kuhusu multiverse. (multiple universe)
hivo vitu vinanichanganya saana.
Ahsante Mkuu Kifyatu ...Mkuu hii topic ni nzuri sana kuijadili. Nitakuwa mwangalifu sana kuchangia kwani inaingiliana na mambo ya Spirituality na After life.
Nimeipenda sana michango ya mkuu yonga katika mada hii. Namuomba atangulie kutupa nasaha zake kwanza.
Natanguliza shukrani kwake.
Mkuu asante sana, basi nitajitahidi kuwa najisomea japo muda ndio unabana sana. Kwa kuwa umli wangu bado unaruhusu nitajitahidi sana nivielewe zaidi. Hiyo comb ya PMM ni ya kitambo, ndizo zile zilizokuwa zinafundishwa Dar tech enzi hizo. God be with you.Asante kwa kushukuru mkuu.
Hata mimi nilifanya PMM (Physics, Pure Math, Applied Math - combination ambayo kwa sasa haipo) na nikaenda kusoma uhandisi na nikaendelea kufanya na kufundisha uhandisi. Kwa hiyo wewe na mimi tuko sawa katika background yetu ya elimu.
Nilichokifanya mimi baada ya formal schooling ilikuwa ni kujisomea vitu nilivyovipenda ambavyo sikufanya shuleni. Kwa hiyo nilijifunza vitu kama Astronomy, Astrology, History, Economics, Accounting, etc. vikiwa ni hobbies tu. Nimekuja kugundua kuwa kama unajisomea kitu kama hobby, basi hata kama ni kigumu namna gani utakielewa kiurahisi kuliko kama ukiwekwa darasani kwa shurti.
Kwa hiyo hata wewe unaweza ukabobea kwenye taaluma yoyote ile unayoipenda hata kama hukuifanya shuleni. Kila la kheri.
Hiyo Quantum pysics nasikia ni moja ya kozi ngumu vyuoni pamoja na Electrical Engineering, sijui kama ni kweli.mkuu Kifyatu na yonga habari za siku.
nashukuru kwa michango yako mizuri kuhusu solar system and universe kwa ujumla wake.
ukipata nafasi gusia kuhusu Quantum physics life on 3 dimension.
tena kwenye kusoma soma nkatoka na hii
Physicists Claim that Consciousness Lives in Quantum State After Death
Physicists Claim that Consciousness Lives in Quantum State After Death
Tena nkapata hii
The quantum source of space-time
Many physicists believe that entanglement is the essence of quantum weirdness — and some now suspect that it may also be the essence of space-time geometry
The quantum source of space-time
me naona wanivuluga tu???
mkuu kama unapata muda tuelezeeee zaid kuhusu multiverse. (multiple universe)
hivo vitu vinanichanganya saana.
Ndio. Lakini shule za sekondari (A-level) kama Mazengo, Old Moshi, Kibaha, n.k. walikuwa wanafundisha hii PMM. Mimi nilisoma shule hizo. Yes, ilikuwa zamani sana.Mkuu asante sana, basi nitajitahidi kuwa najisomea japo muda ndio unabana sana. Kwa kuwa umli wangu bado unaruhusu nitajitahidi sana nivielewe zaidi. Hiyo comb ya PMM ni ya kitambo, ndizo zile zilizokuwa zinafundishwa Dar tech enzi hizo. God be with you.
Amina mkuu kwa dua lako. Hapa jukwaani kuna watu siku zote. Kama una swali uliza tu, kama sikukujibu basi utajibiwa na wataalam wengine waliobobea hapa. Mada hii ni endelevu, haina mwisho.Jaman, Ni mwalimu wa Geography, nimekuta mada imefika mwisho ila nimefuatilia mwanzo mpaka mwisho,. Nimejifunza mengi sana, nimeamini watu wanajua vitu, Big up sana KIFYATU, nataman hata kukaa na wew siku nzima nauliza maswali tu, kweli elimu haina mwisho, ukirudi tena nitajitahidi kuwepo ili niulize zaidi. Mungu wangu ninayemuamini akutie nguvu,. Tanzania jaman, Na degree yangu ya UDSM, nimejiona mtupu sana. Niko tayar kujifunza.
Acha masikhara wewe!Mkuu jua ndio nyota kubwa kuliko zote. So a sun is a star too
Msaada zaidi: just google ''Sun"