Ufahamu kuhusu nyota za angani

Ufahamu kuhusu nyota za angani

nyota ni ndogo sana kuliko dunia, ni kama mwezi. zinategemea mwanga wa jua. na nyota ulizoona zinazobadilika kutoka rangi kutokea ya blue kwenda ya kijani ni kutokana na kuzibwa na miti na bahari .na ukiona nyekundu ujue hapo kuna radi na mvua inanyesha.
 
Ha haaaa. Hillarious. Made my day. Cheers.
 
Baadhi ya nyota unazoziona si zote ni nyota zingine ni sayari,ukiamka alfajiri sana kuanzia saa 10 hadi saa 12,kuna nyota huwa zinang'aa sana na kubwa mno kuliko zingine zote,huwa hazizidi mbili,zile ni sayari,hata dunia tuliyomo nayo ni sayari,maajabu ni kwamba ukienda kwenye

Malizia story yako....kuna kitu inaitwa nyota ya jaa/Jah...yenye bahati. Ukiamka usiku iko tofauti na nyingine, ukiigundua basi inasemekana chochote utakachoomba utakipata interms of wealth.
 
Malizia story yako....kuna kitu inaitwa nyota ya jaa/Jah...yenye bahati. Ukiamka usiku iko tofauti na nyingine, ukiigundua basi inasemekana chochote utakachoomba utakipata interms of wealth.

Hiyo nayo ikoje mkuu Sizinga mana sijawah kuisikia
 
Last edited by a moderator:
new to me copy..

quote_icon.png
By SAYANSIKIMU
Nyota hazina umbo maalumu .

Ni kweli !!!

Nyota ni kama sayari lakini ujazo wake mkubwa ni hewa, tofauti na sayari yetu tuiitayo DUNIA ambayo ujazo wake mkubwa ni miamba (rocky, au solid). Kwa sababu hewa ndio inayotengeneza hizi nyota, basi umbile lake haliwezi kuwa na umbo (umbile) maalumu. Mkuu SAYANSIKIMU hajakosea.

NB
Naona watu wengi wameshabikia hii mada. Kwenye mada yangu ya awali nilitaka kuongeza dondoo za:​
  • Nyota zinazaliwaje
  • Nyota zinakufaje
  • Black-holes na makaburi ya nyota zilizokufa.
Nitateremsha hizi nondo kama kuna anaezitaka.

Napoangaliaga angani wakati wa usiku huwa naona nyota zingine ambazo hazina mwanga wa rangi moja,yan inabadilika badilika mara nyekundu,kijan,bluu.
Karibuni wadau wa Sayansi ya anga
WAKUU,
uTAFITI, MATOLA, ETHICX, MATOLA, ETHICX,NDETICHIA, NINGEOMBA KUULIZA KAMA HIZI RANGI ZIPO AU PENGINE MIMI NINATATIZO NA RANGI?MANAKE SIJAWAHI ONA HIZI RANGI..
 
Back
Top Bottom