Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 587
- 800
Ni sawa na meja jeneraliWajameni,Jana tarehe 29.5.2021 katika kituo cha luninga TBC niliona kikosi cha Jeshi la wananchi wa Tanzania kamandi ya wanamaji akiongea Mkuu wao Afande Makanzo katika majukumu yao, lakini begani alivaa alama fulani kwa kweli sizijui kabisa lakini aliandikwa Rear Admiral Makanzo wajameni hiki ni cheo gani na kinafanana na cheo gani vya kamandi nyingine kama nchi kavu,na Anga? au vya majeshi mengine mwenye uelewa tafadhali.
Sawa kiongozi weka vipicha maana kwa bahati mbaya au nzuri naweza kukutana nao nikajua sio Jeshi letuMakanzo amehamishwa sasa atakuja mwingine ila ni Maj Gen huyo ....nadhani amepewa ubalozi anaondoka soon....vyeo vimebadilika sana zile insignia hasa kuanzia Capt ...Major ....kwenda juu....ziko tofauti kidogo na kamandi zingine
Hili jesh la nini??Kuna vyeo pia niliviona katika Jeshi la Uhifadhi Tanzania ni jipya sana
Ndio Jeshi Uhifadhi na Ulinzi wa Maliasili Tanzania ni jipyaHili jesh la nini??
Maliasili au??
Hili jesh la nini??
Maliasili au??
Wangeita tu kikosi badala ya jeshiNdio Jeshi Uhifadhi na Ulinzi wa Maliasili Tanzania ni jipya
Kikosi chini ya nn,nahisi wana mamlaka makubwa ya kupambana na majangili na litakua chini ya cheo cha Kamishina Jenerali ndio maana linaitwa hivyoWangeita tu kikosi badala ya jeshi
Rear admiral, kwa vyeo vya nchi kavu ni sawa na Meja Jenerali.Jana tarehe 29.5.2021 katika kituo cha luninga TBC niliona kikosi cha Jeshi la wananchi wa Tanzania kamandi ya wanamaji akiongea Mkuu wao Afande Makanzo katika majukumu yao, lakini begani alivaa alama fulani kwa kweli sizijui kabisa lakini aliandikwa Rear Admiral Makanzo wajameni hiki ni cheo gani na kinafanana na cheo gani vya kamandi nyingine kama nchi kavu,na Anga? au vya majeshi mengine mwenye uelewa tafadhali.
AhsanteHaya mambo yako online wakuu hata kufungua uzi ni kujichosha tuView attachment 1802750View attachment 1802751ahsanteView attachment 1802752
Sawa je kuanzia Kanali mpaka chini kabisa wanasomekaje alama zao za vyeo?Ni sawa na meja jenerali