Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 587
- 800
Jana tarehe 29.5.2021 katika kituo cha luninga TBC niliona kikosi cha Jeshi la wananchi wa Tanzania kamandi ya wanamaji akiongea Mkuu wao Afande Makanzo katika majukumu yao, lakini begani alivaa alama fulani kwa kweli sizijui kabisa lakini aliandikwa Rear Admiral Makanzo wajameni hiki ni cheo gani na kinafanana na cheo gani vya kamandi nyingine kama nchi kavu,na Anga? au vya majeshi mengine mwenye uelewa tafadhali.