Ufahamu mfuko wa uwekezaji UTT

Habari ....naomba wadau tuelemishane kuhusu UTT faida na hasara zake. Na kuna ambae amejaribu ama alishawekeza akapata faida baada ya muda fulani. Karibuni.
UTT-AMIS ni mfuko wa uwekezaji wa pamoja.

Yaani kwa Lugha rahisi,kwa wale wote ambao aidha wanaona wana PESA Kidogo kuwekeza kwenye SOKO LA HISA(DSE),Treasury Bills,Bonds ama hawna uwelewa wa kutosha kuhusu mambo ya Hisa.

Hivyo ili kupunguza Risks wanakusanya fedha zao(Ndio maana tunaita Mfuko wa pamoja),then Huo Mfuko yaani UTT AMIS Wao wana washauri mbalimbali wa masuala ya fedha,Watawekeza Hizo fedha za mfuko sehemu kadhaa kama Bonds,Hisa etc.So,Mfuko ukipata faida wamiliki wa Vipande(Walioweka pesa zao UTT Watapewa gawio kulingana na idadi ya vipande na faida iliyopatikana kwa mhusika.Ni mfuko mzuri kwa wale wanaoogopa direct Investment kwenye Hisa,bonds etc.

Binafsi naelewa hivyo mkuu,ngoja tusubiri wadau wajuvi zaidi.
 
Thanks mkuu...mana kuna mahal pia nimesoma way mtu anawekeza labda elfu moja kila siku labda elfu 30 kila mwezi then baada ya miaka 5 wanakupa amount ambayo utaipata baada ya kufanya investment ya price hio kwa kila mwezi kwa miaka 5...
sasa ndo nataka nipate maelezo ya kina kua inakuwaje
 
Siyo tu Watoto (Watoto Fund);Wakati siyo Wenye fedha Kidogo.Kwa sasa kuna Mifugo 4,mbali na Watoto Fund:1) jikimu,umoja,wekeza,Ukwasi.Ukwasi unahitaji minim kupataum 5m uweze kupata gawio kwa robo.

--Rate zake za return on investment zipo sawa na treasury bills.Hapa siongelei nadharia,Nilianza na wekeza maisha 2007,mwaka Jana nikachukua changu,kisha nimeliwasilisha tena Ukwasi.
 
Mkuu nitaomba maelezo zaidi kuhusu UTT naomba ukiiona hii reply ni PM
 
Habarini wanajukwaa,

Nina swali naomba kueleweshwa katika sekta ya Financial Market, hapa Nchini kwetu tuna hzi kampuni mbili DSE pamoja na UTT,

Je kati ya hawa wawili ni wapi nitakuwa safe kwa asilimia kubwa kama nitaamua kuweka huko pesa yangu? DSE atleast ninakamwanga kadogo kuwahusu, vipi hawa UTT wao wanaoperate vipi? ,Kama inventor faida inapatikana vipi?

Na utofauti wake na DSE kiutendaji upoje? Wadau naomba msaada ili nipate uelewa na hii inaweza kuwa faida kwa wengine wenye interest pia!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazo zuri sana, hili hata mimi napenda kufahamishwa kuhusu UTT. Maana sijaelewa wanafanyaje? Kazi
Sema, ndugu zetu wa hii mifuko ya fedha wawe wanajitangaza sio wanakaaa ofisini tuuu, mpaka ufatilie sana.

Hata awa madalali wa mifuko ya dhamana za serikali awana advertising nzuri. Angalau kidogo Solomoni Broker kidogo wao wana website ambayo wanatoa maelekezo na wana muundo wa kutoa taarifa kwa yeyote anaewasiriana nao kupitia email address [emoji391]
Lakini wengineo sijui wanafanyaje? Biashara
 
UTT wanaweka hela zako huko huko DSE pamoja na sehemu zengine kama government bond.
Unaponunua shares za UTT unakuwa umenunua kikapu cha hisa za kampuni mbalimbali DSE, Gov Bonds, Fixed Deposits etc.
 
Utt ni wasenge, epuka hao watu

Will yo future thank u 4 tha sht u'r duin 2day?
 
DSE ni hatari zaidi kula hasara na hivyo ni sehemu inayolipa zaidi ukijua kuusoma mchezo.
- UTT ni mfuko wa uwekezaji wa pamoja, yaani masikini wengi ambao mnaona pesa zenu ni ndogo na pia hamna elimu ya hisa, mnakusanya pesa zenu hapo UTT ( Wanaita vipande ) then hao UTT ambao wanao wataalamu wao wa masuala ya pesa na hisa, watawekeza hizo pesa zenu huko DSE, Kwenye Govt Bonds nk. Then likipatikana gawio ndio mnapewa na nyie
 
Mkuu huyo broker ni kwa ajili ya DSE? May I have their email please? Niliwahi kwenda Crdb brunch kuomba maelezo ya namna ya kuwekeza soko la hisa miaka kadhaa iliyopita coz nilisikia nao kuwa wakala but hawakunipa ushirikiano nilioutegemea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UTT wanaweka hela zako huko huko DSE pamoja na sehemu zengine kama government bond.
Unaponunua shares za UTT unakuwa umenunua kikapu cha hisa za kampuni mbalimbali DSE, Gov Bonds, Fixed Deposits etc.
Vipi faida yake inapatikanaje? Ukicompare na hao DSE?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sikushauri uwekeze huko DSE japo hiyo UTT siijui vizuri, ila soko la hisa bongo halieleweki, huwezi kutabiri mwelekeo wa bei ya hisa kwa kutumia fakta za kiuchumi kama masoko ya nje,.. yaani ni kama unacheza pata potea hivi..kwa kifupi huwezi kutabiri hisa zitashuka lini na kwa nini? wale brokers wanatoa taarifa za uongo feki tu...weka fedha yako benki, hata kwa riba ya 7% kwa mwaka ni bora kuliko DSE...
 
Achana nao hao,pesa yenyewe ya ngama.Nunua mahindi weka stoo then baada ya muda unajilia faida yako,sasa wapelekeee kasenti kako wakifanyie kazi na kukila taratibu.

Jamaa hats wasipokupa gawio huna pa kulalamika,ndugu usizike pesa Bali izalishe ila baadae ukiwa na pesa za nyingi na hujui matumizi take ndo ukawekeze kwenye masoko ya hisa.
 
Hata kwenye mahindi kuna changamoto yake. Wewe unajua kununua na kuweka stooo tuu, aujui kuna wadudu kama panya, hali ya hewa na wengineo wanaweza wakaaribu hayo mazao. Kila kitu Kina changamoto. Tumia elimu kujibu maswala ya kielimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…