Ufahamu mfuko wa uwekezaji UTT

Ufahamu mfuko wa uwekezaji UTT

Nimepata email kuhusiana na huu mfuko ikiwa na kichwa cha habari kwamba ni fursa ya kujikwamua kiuchumi. Lakini sifahamu kiundani uwekezaji wake na vipi nitapata faida. Naomba nijuzwe tafadhali kwa anaefahamu kuhusu hili.
Asanteni.

---------

Mchango

Nani anaruhusiwa kuwekeza katika mifuko ya uwekezaji wa pamoja inayoendeshwa na UTT?

Mifuko hii ni kwa ajili ya watanzania wanaoishi nchini na nje ya nchi.Wanaweza wakajiunga mtu mmoja mmoja au kwa pamoja (jointly), wazazi kuwawekezea watoto wao, vikundi mbalimbali vya kijamii, NGOs, taasisi mbalimbali, mifuko ya hifadhi za jamii, mashirika ya umma, Banks n.k

Nawezaje kujiunga na mifuko unayoendeshwa na UTT-AMIS?
Ni rahisi, kwa kutembelea Makao makuu yetu yaliyopo jengo la Sukari ghorofa ya pili. Au tembelea ofisi zetu katika mikoa au matawi CRDB nchini kote kujaza fomu ya maombi kwa ajili ya mfuko husika. Unapaswa kuwa na kitambulisho kama vile Kitambulisho cha mpiga kura , Kitambulisho cha utaifa, Pasipoti, leseni ya kuendesha gari, au kitambulisho cha kazi. Baada ya kujaza fomu akaunti ya mfuko maalum itafunguliwana utaweza kuanza kuwekeza

AU Kwa kutupigia simu bure katika kituo cha kuhudumia wawekezaji wetu ambazo ni +255754800544 / +255754800455 (kwa voda wateja) 255,715,800,544 / 255,715,800,455 (kwa Tigo wateja) na 255,782,800,455 (kwa Airtel wateja) na kuwapatia maelezo muhimu na akaunti kufunguliwa na baadaye kutuma nyaraka muhimu.

Ninaweza kununua vipande wapi?

Unaweza kununua vipande kupitia matawi yote ya benki ya CRDB nchi nzima. Pia kwa kupitia ofisi za UTT Microfinance zilizopo Mwanza – Posta ya Barabara ya Pamba, Zanzibar Posta ya Kijagwani,Dodoma katika ofisi za posta kuu Dodoma,Mbeya katika ofisi ya posta kuu Mbeya na Arusha katika Posta Meru. Pia wawekezaji wanaweza kununua vipande kwa kutumia huduma za M-Pesa na TigoPesa.

Je kuna kiwango cha chini cha kuanza kuwekeza ?
Kima cha chini cha uwekezaji wa awali kimeelezwa katika waraka wa Toleo (Offer Document)katika mfuko husika. Mifuko yetu ina viwango tofauti vya kuanza kuwekeza. Uwekezaji wa awali unawaweza fanyika kwa kima cha chini kabisa cha Tsh 5,000 Mfuko wa Umoja, Tsh 8,340 kwa mwezi kwa Mfuko wa Wekeza Maisha na Tsh.10,000 kwa Mfuko wa Watoto, Tsh. 15,000 mfuko wa Kujikimu na Tsh. 5,000,000 kwa mfuko wa Ukwasi.

Je,ninatakiwa kuongeza uwekezaji wangu kila mwezi?
Haikulazimu kuongeza uwekezaji wako kila mwezi. Kuna njia mbili kuwekeza katika Mifuko ya uwekezaji wa pamoja. Kwanza, mkupuo ambapo kuwekeza kiasi mara moja na hakuna uwekezaji wa ziada baada ya hapo. Pili, kuweka kwa mara kwa mara, ambapo kuwekeza kiasi awali, kisha kuendelea na uwekezaji wakati wowote unapopata fedha.

Je, faida ipatikanayo katika mifuko ya uwekezaji wa pamoja ni ya uhakika?
Faida itategemea ufanisi wa uwekezaji yaliyofanywa na Meneja wa Mfuko na pia hutegemea hali ya uchumi na masoko ya fedha.

Ninatakiwa kuwekeza katika mifuko kwa muda gani?

Kwa kawaida, wawekezaji wanashauriwa kuwekeza kwa muda muda mrefu . Mifuko ya uwekezaji inaweza kuwa kwa ajili ya uwekezaji wa muda wa kati au muda mrefu.Inashauriwa kuendelea kuwekeza katika mifuko kwa muda mrefu ili kupata mapato bora zaidi.

Je, ninaweza kuuza vipande vyangu wakati wowote?

Ndiyo, unaweza kuuza vipande wakati wowote kama ilivyo ainishwa katika waraka wa toleo wa mfuko husika. Isipokuwa Mfuko wa Wekeza Maisha,mwekezaji anaruhusiwa kuanza kuuza baadhi ya sehemu ya uwekezaji wake baada ya miaka mitano ya uwekezaji.

Je, ninahitajika kulipa kodi wakati ninapo uza vipande vyangu?

Hapana, hutakiwi kulipa kodi unapouza vipande vyako au unapopata gawio.Meneja wa mfuko analazimika kulipa gharama zote za uendeshaji ikiwepo na kodi.Hivyo thamani halisi ya kipande.

Ninawezaje kujua ninapata faida au hasara?

Meneja mwendeshaji wa mfuko analazimika kutoa thamani halisi ya kipande kila siku ya kazi. Jinsi rasilimali za mfuko zinavyoongezeka ndivyo thamani ya kipande inavyoongezeka. Na kwa upande mwingine na jinsi rasilimali za mfuko zinapungua pia thamani ya kipande ndivyo inavyopungua hivyo kuashiria hasara kwa mwekezaji.Mwekezaji anaweza kufuatilia thamani halisi ya kipande kila siku za kazi kupitia magazeti ya Mwananchi,Daily News na The Guardian. Vilevile, mwekezaji anaweza kufuatilia mwenendo wa uwekezaji wake kwa kupitia tovuti yetu ambayo ni www.utt-tz.org au kwa kutupigia simu za bure katika kituo chetu cha kuhudumia wawekezaji +255754800544 / +255754800455 (kwa voda wateja) 255,715,800,544 / 255,715,800,455 (kwa Tigo wateja) na 255,782,800,455 (kwa Airtel wateja)

Je, mwekezaji anaweza kuteua mrithi wa uwekezaji wake iwapo atafariki?

Ndiyo. Uteuzi unaweza kufanywa wakati wa kujaza fomu ya kujiunga. Na iwapo mteule atakuwa ni mtoto chini ya umri wa miaka 18 basi mzazi anatakiwa kuteua mwangalizi ambaye ana umri zaidi ya miaka 18

Ninahitajika kufanya nini baada ya kuwekeza?

Baada ya wiki 2-3 za kuwekeza , utapokea taarifa ya akaunti yako ya uwekezaji kutoka UTT. Angalia juu ya taarifa na kuhakikisha taarifa na miamala yote katika taarifa ni sahihi.

Pia unaweza kufuatilia mwenendo wa uwekezaji wako kupitia matoleo ya bei halisi za thamani ya mifuko katika magazeti na wovuti yetu.Pia unaweza kupiga simu za bure katika kituo chetu cha miito ya simu kwa msaada zaidi.

Pia wawekezaji wenye uwezo wa kushiriki mkutano wa mwaka wanashauriwa kushiriki ili kuweza kupata taarifa za utendaji wa mifuko.

AU PIA *150*82#ok kwa usajli wa awali na kupata taarifa mbalimbali kama kujua bei za thamani za vipande, salio lako nk. pia unashauriwa kufika ofisi za CRDB au ofisi za UTT AMIS kumalizia usajili wako.
 
Na mm leo nimewahi siti ya mbele [emoji851]

UTT AMIS hii ni kampuni ya uwekezaji, ulianzishwa May 16, 2005 na umelenga kutimiza mahitaji tofauti tofauti ya watu.

Ndani yake kuna mifuko mbalimbali inayo endeshwa na kampuni hyo ya UTT AMIS
 
Bado nina tongotongo. Mtu unapataje faida kwenye hyo mifuko yaani mfumo wa kutengeneza pesa upoje?
 
Nashukuru kwa maelezo yenu wana jamii forum wenzangu. Ila ningepependa kufahamu mfumo wake wa kutengeneza pesa kupitia huu mfuko upoje? Je, naruhusiwa labda nikiwekeza baada ya muda gani fulani naruhusiwa kuja kutoa pesa zangu au ni mamlaka husika ndo wanatoa magawio? Nilitaka pia kufahamu natengenezaje pesa kupitia huu mfuko.
 
Unaweza kuuza vipande vyako ila baada ya miaka 5 na utanunua UTT mwenyewe then we utalipwa lakini kila mwisho wa mwaka unatengeneza faida ya 125-20% kwa mfuko wa wekeza maisha.
 
Nataka kwenda kuwekeza hapo UTT... UNIT TRUST OF TANZANIA........ kwa ambae anawafahamu zaidi hawa majamaa naomba anijuze zaidi.... Vipi hamna magumashii na uswahili??
 
Kiukweli hata Mimi nahitaji kujifunza kuhusu hizi UTT.
Mimi nimewahi tu kununua na kuuza hisa za kawaida za makampuni.
But sijajua tofauti ya hisa za kampuni na hyo UTT.
 
Jamani bado anendelea kuchakata na kutafuta mawzo kuwa ni wapi ni pazuri kuwekeza fedha zangu wakati nikijipanga .Je kuwekeza Fixed account bank au UTT, Fixed nimeona DCB banka wanakubala had 14% kama una 100 Million kwa mwaka wakati finca wanakupa 10% kwa 100 Million kwa mwaka. Jamani tupeane ushauri.
Asante
 
Kama hujajipanga kibiashara hata mimi nakushauri uzitulize sehemu angalau kwa mwaka mmoja ili ufikirie kitu cha kufanya. Katu usikubali kukurupuka kufanya biashara ambayo hujaifanyia utafiti wa kutosha. Mimi nakushauri hivi: tembelea benki zote kubwa na uulizie rate zao (na masharti mengine) kwa mwaka mmoja. Pia jaribu kutembelea wanakowekeza Government Bonds uulizie rate zao na mambo mengine. Ukishakusanya hayo yote kaa chini uchague sehemu moja ya kuweka mpaka utakapojipanga. Nazidi kusisitiza: usikimbilie kufanya bishara ambayo hujaifanyia utafiti kiasi cha kutosha.
 
Asante mdau kwa ushauri
 
Habari wana Jf.

Hapa Tanzania Kuna fursa za uwekezaji katika Soko letu la hisa ( DSE) pamoja na UTT AMIS, lakini watanzani wengi hawajitokezi katika kufanya uwekezaji huo?

Je, unafikiri ni sababu zipi inapelekea hali hii? Na mambo gani yafanyike ili kuongeza wawekezaji katika Soko la hisa na UTT AMIS.

YOUNG INVESTORS FORUM- 3
 
Uwekezaji wa hisa kwenye hii awamu ya tano ni sawa na kuchoma pesa.

Awamu hii mauzo ya hisa yalishuka kwa kiwango ambacho hakija wahi onekana dokea DSE ianze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom