Ufahamu mji wa Tarshishi(Lebanoni)

Unanikumumbusha baharia wa zamani sana uswazi kwetu akiitwa Said Beirut.
Alikuwa akituonyesha picha zake na wanawake warembo sana wa Syria.
Daah huyo baharia wa Keko nini tulikua tunamwita Mzee Said baadae alikua mfupi anaongea balaa..
 
Delilah alitokea the valley of Sorek Gazza. Na ndie mwanamke pekee wa Samson aliotembea nao ametajwa jina lake. Wengine wote hawajatajwa majina yao.

She was a Phillistine from Sorek valley Gazza strip.
Kumbe mkardayo uko nondo kiasi hiki?
 
Mkaldayo kwa nondo hizi tufungue kanisa Sasa.
 
Saa ingine huku tunajibu tu kuona if someone can challenge.

Huo msikiti nasikia unalindwa, ndani wanalinda wenye msikiti, nje wanalinda wa upande wa Kristo.

Inasemekana pia kuwa budget yote ya ujenzi wa hekalu ipo,

Na iwe isiwe wanataka kujenga hekalu la tatu,

Thanks.
 
Delilah alitokea the valley of Sorek Gazza. Na ndie mwanamke pekee wa Samson aliotembea nao ametajwa jina lake. Wengine wote hawajatajwa majina yao.

She was a Phillistine from Sorek valley Gazza strip.
Ona jf walicho kuvalisha leo 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…