Ufahamu; Ndege aliyotumia Rais kwenda SA kwenye uapisho wa Ramaphosa ,Boeing 787 inabeba abiria wangapi?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Mimi ni mtanzania mlipa Kodi.

Ninaomba wenye kuweza kunielewesha jambo hili.

Je ndege iliyo tumika kumpeleka Rais Samia Africa ya kusini kwenda kwenye uapisho wa Ramaphosa aina ya Boeing 787 inabeba abiria wangapi?

Nikipata jibu nitauliza swali la pili?
 
Nikipata jibu nitaulisa swali la pili?
Kuna shida gani ? Ndio wameona ina airwortnrss kwa Rais.....abiria 230
 
Mimi ni mtanzania mlipa Kodi.

Ninaomba wenye kuweza kunielewesha jambo hili.

Je ndege iliyo tumika kumpeleka Rais Samia Africa ya kusini kwenda kwenye uapisho wa Ramaphosa aina ya Boeing 787 inabeba abiria wangapi?

Nikipata jibu nitauliza swali la pili?
serikali ilikodi!
 
Raisi anayo ndege inabeba watu 19, anayo inayobeba watu 30, anayo inayobeba watu 50, ziko wapi zote hizo?

Siku kadhaa nyuma, kuna moja ilionekana ikitua pale airport, bawa la upande wa kushoto, kuna moshi mweusi tii kana kwamba injini iliwaka, sijui ilimleta nani ila gari za msafara ziliandikwa E3.

Matumizi mabaya ya kodi....hiyo Boeng 787 ilinunuliwa na?
 
Mimi ni mtanzania mlipa Kodi.

Ninaomba wenye kuweza kunielewesha jambo hili.

Je ndege iliyo tumika kumpeleka Rais Samia Africa ya kusini kwenda kwenye uapisho wa Ramaphosa aina ya Boeing 787 inabeba abiria wangapi?

Nikipata jibu nitauliza swali la pili?
What is your point?
 
Kama ishu ni gharama serikali yako haina cha kupoteza.
Fedha nyingi ni mikopo...tozo na fadhila za waarabu!
 
Mimi ni mtanzania mlipa Kodi.

Ninaomba wenye kuweza kunielewesha jambo hili.

Je ndege iliyo tumika kumpeleka Rais Samia Africa ya kusini kwenda kwenye uapisho wa Ramaphosa aina ya Boeing 787 inabeba abiria wangapi?

Nikipata jibu nitauliza swali la pili?
WAULIZE WAKURUGENZI WA MABASI YA UDART "BASI MOJA KUTOKA MBEZI MWISHO MPAKA POSTA LINA JAZA WATU WANGAPI"
 
Kuna uwezekano watanganyika wanateseka na dumbi la umaskini,ila raia wa bibi Oman anaponda Raha hapa hapa nchini.
 
Yetu ni 787-8, kuna 787-9 na 787-10.... Hio 787-10 ni ndefu zaidi inabeba abiria hadi 330.

Hio yetu ni 787-8 inabeba abiria hadi 250, japo kuna muda makampuni ya ndege huwa wanabadili mpangilio wa viti na kuvibana kuweza kupata nafasi ya abiria wengi zaidi.
 
Back
Top Bottom