GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 4,291
- 5,786
Hapa ndipo watanzania tunapofeli kufanya biashara rasmi. Ile ndege ina ratiba ya kwenda Chine na India kwa wiki tena iko moja, kuikodisha kwa Serikali ni kuingilia ratiba yake ambayo ikifanyika kwa ukamilifu wake inaipa kampuni yetu ya ndege kuaminika na kushindana na mashirika mengine. Je wasafiri waliopaswa kusafiri siku iliyoenda RSA, kama walifaulishwa kwenye ndege nyingine, unafikiri Air Tanzania itaweza kuingia kwenye ranking ya mashirika na makampuni bora ya ndege Africa? Achilia mbali kimataifa ambapo tunafanya mambo yetu kienyeji?🧐hata kama ni abiria 1 au 0 maadamu wamelipia full gharama sioni ratizo, ila kama ilienda bure basi yaani wamiliki wa ndege hawakulipwa kuna tatizo …