Ufahamu; Ndege aliyotumia Rais kwenda SA kwenye uapisho wa Ramaphosa ,Boeing 787 inabeba abiria wangapi?

Rais aliondoka na abiria 230 au alikuwa na abiria kumi angani?
2. Hii ndio ncho maskini ?

hata kama ni abiria 1 au 0 maadamu wamelipia full gharama sioni ratizo, ila kama ilienda bure basi yaani wamiliki wa ndege hawakulipwa kuna tatizo …
 
Unakumbuka watawala wa shithole walipandishwa chai maharage pale London kwenye msiba wa queen 👑
 
Matumizi mabaya ya Kodi za watanganyika!
Would it be cheaper kupanda ya wazungu kama ruto alivyofanya au kuchukua commercial yenye connection ya Nairobi au Addis?

Cost yake kwa direct flight na entourage yake ni ngapi ? Bar all the connections and other fees?
 
Siyo 787 ni 737-9 max, huwa anaitumia kama anasafiri na delegation kubwa, kwani G550 ni private jet yake inayombeba yeye na wasaidizi wake muhimu tu.
 
Natumaini alipanda ndege ya ATCL VIP class ikiwa na abiria wengine au alipanda mwenyewe na watu wachache?.
 
Huyu mama ana roho mbaya sana kwa kwa watanganyika. Hana huruma kwa kodi zetu, anajichotea, anagawa na kutawanya kama Mali yake binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…