Nimefuatilia tangu kifo cha Queen Elizabeth II mpaka sasa, nimeona Waingereza wanautukuza sana tena kutoka kwenye mioyo yao, the innermost chambers of their hearts u-monarch. Bado wana imani sana na hadhi ya Monarch katika mila zao, maisha yao na utawala/siasa za nchi yao. Na wala hawalazimishwi!
Wamemuhoji mtoto kuwa anajisikiaje ku-shake mkono na King, akasema : Very delighted! na wakubwa hivyo hivyo...
Majeshi toka Canada, Australia na Newzealand watashiriki gwaride la mazishi ya Malkia!
Wamemuhoji mtoto kuwa anajisikiaje ku-shake mkono na King, akasema : Very delighted! na wakubwa hivyo hivyo...
Majeshi toka Canada, Australia na Newzealand watashiriki gwaride la mazishi ya Malkia!