Ufalme na Umalkia bado uko deep-rooted katika mila na mioyo na siasa za Waingereza

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Nimefuatilia tangu kifo cha Queen Elizabeth II mpaka sasa, nimeona Waingereza wanautukuza sana tena kutoka kwenye mioyo yao, the innermost chambers of their hearts u-monarch. Bado wana imani sana na hadhi ya Monarch katika mila zao, maisha yao na utawala/siasa za nchi yao. Na wala hawalazimishwi!
Wamemuhoji mtoto kuwa anajisikiaje ku-shake mkono na King, akasema : Very delighted! na wakubwa hivyo hivyo...
Majeshi toka Canada, Australia na Newzealand watashiriki gwaride la mazishi ya Malkia!
 
Sisi huku demokrasia ya kweli ni maigizo kwa viongozi..ila ni tamanio kwa wananchi..abusrd
 
Fans wengi wa royal ni wazee na watu wa makamo. Vijana ndio wanaoongoza vuguvugu la kuukataa utawala wa kifalme,huu utawala unaweza dondoka awamu ya kitukuu cha malkia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…