Ufalme wa Bayern Munich Bundesliga Wazimwa Rasmi , Bayer 04

Ufalme wa Bayern Munich Bundesliga Wazimwa Rasmi , Bayer 04

Nimefurahi sna angalau ligi imeleta maana Bayern apigwe benchi angalau misimu 5 ili ligi ikae sawa Germany ni ligi Bora sana ilikuwa inaharibiwa na hii total dominance ya Bayern Viva Xavi master sana jamaa
 
Bayern Leverkusen kachukua ubingwa bila kufungwa.
Na hii ni Baada ya miaka 119 Mzee💪
FB_IMG_17131226483910406.jpg
 
Back
Top Bottom