Ufalme wa Bayern Munich Bundesliga Wazimwa Rasmi , Bayer 04

Ufalme wa Bayern Munich Bundesliga Wazimwa Rasmi , Bayer 04

Nimefurahi sna angalau ligi imeleta maana Bayern apigwe benchi angalau misimu 5 ili ligi ikae sawa Germany ni ligi Bora sana ilikuwa inaharibiwa na hii total dominance ya Bayern Viva Xavi master sana jamaa
Hata epl nayo imekuwa ya hovyo...kila mwaka man shit tu
 
Hata epl nayo imekuwa ya hovyo...kila mwaka man shit tu
Hovyo kabisa liver na arsenal kama mateam gani sijui
Hayana consistency saa unajua yatapambania ubingwa ndio yana drop point kijinga
 
Back
Top Bottom