Zouzoutz
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 1,883
- 2,732
Nimefurahi sanaBayer 04 Leverkusen Wameitandika Werder Bremen 5 -0 na kutwaa ubingwa .
Game imeisha .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefurahi sanaBayer 04 Leverkusen Wameitandika Werder Bremen 5 -0 na kutwaa ubingwa .
Game imeisha .
Ahh wachawi mna ona gere 🤣😂Ujugu mwenye Uhaya ndani yako😂
Hakuna uchawi wala nini ni ukwel mtupuAhh wachawi mna ona gere 🤣😂
Xiabi sio xiaviNimefurahi sna angalau ligi imeleta maana Bayern apigwe benchi angalau misimu 5 ili ligi ikae sawa Germany ni ligi Bora sana ilikuwa inaharibiwa na hii total dominance ya Bayern Viva Xavi master sana jamaa
Hata epl nayo imekuwa ya hovyo...kila mwaka man shit tuNimefurahi sna angalau ligi imeleta maana Bayern apigwe benchi angalau misimu 5 ili ligi ikae sawa Germany ni ligi Bora sana ilikuwa inaharibiwa na hii total dominance ya Bayern Viva Xavi master sana jamaa
Hovyo kabisa liver na arsenal kama mateam gani sijuiHata epl nayo imekuwa ya hovyo...kila mwaka man shit tu
Basi kama ni hivyo na sisi tumewasamehe Mangungu na Try Again. Waendelee tu kubaki.Bayer 04 Leverkusen Wameitandika Werder Bremen 5 -0 na kutwaa ubingwa .
Game imeisha .