Ufalme wa Hanscana kama Video Director umefikia mwisho- Amekuwa mwenye hofu sana sasa hivi

Ufalme wa Hanscana kama Video Director umefikia mwisho- Amekuwa mwenye hofu sana sasa hivi

Kwan jF ni chaka la magaidi kwamba unaogopa kukamatwa wewe Kama unafanya kazi ambayo inatambulika kwenye jamii iweke wazi
Ni desturi ya wanajf kutumia fake I'd ingawa hakuna aliyekatazwa kuweka jina lake halisi km unavyodai
Mkuu tujikite na context..mada inamzungumzia Hanscana
 
Tasnia ya utengenezaji wa video za wasanii wa Bongo fleva imeanza kitambo sana.

Kumekuwa na Directors wengi lakini mapinduzi ya video yamekuwa yakifanywa na Directors ili kuanzisha either trend mpya au Directors wenyewe kulazimika kukua baada ya wasanii kutaka video zenye ubora.

Kuna wakati Adam Juma ( Next Level ) alifanya mapinduzi makubwa sana kwenye hii tasnia lakini ghafla akatokea Nisher ( kijana wa Arusha )

Ujio wa Nisher kwenye tasnia uliwafanya wasanii wengi kufunga safari kuelekea Arusha kwaajili ya video.

Uwepo wa Nisher ndio uliomzalisha Hanscana na Khalfan.

Zaidi ya asilimia 80 ya video za wasanii wakubwa bongo zimekuwa zikifanywa na Hanscana kwa hapa Tanzania.

Fast foward sasa hivi, kumekuwa na Directors kibao wanaofanya vizuri kiasi kwamba choices zimekuwa nyingi.

Kuna Ivan, Elvis, Kenny, Msafiri, etc

Na kibaya zaidi wasanii wengine wamekuwa wakianzisha kama ilivyo kwa studio zao wenyewe, kampuni zao za video shooting.

1- Wasafi wana Zoom Extra

2- Kondegang ( tetesi wanamiliki Redshot )

Na hakuna asiyejua kuwa hawa ndio wasanii wenye kazi nyingi za video na malipo yasiyo na shaka.

Hali hii naona imesababisha Hanscana apate "Mhaho" kutokana ushindani uliojitokeza. Na asipojiangalia atapotea kama Adam Juma halafu ajifanye kastaafu🤣

Sasa hivi Hanscana amekuwa anaanzisha migogoro na wasanii isiyo na sababu, kitu ambacho kinaonekana ni PANIC ya ushindani anaoupata.

Kama hataendelea kujifua, atakuwa wa kawaida sana maana kwasasa kuna vijana wako moto sana.
halafu jamaa ana jina kubwa ila bado mshamba mshamba hata mikato yake ya kigoloko sana
 
🤣🤣Mkuu hukunitendea haki kabisa
Yani unajua jamaa ni kiazi lkn hukunambia,Hadi nikawa nahangaika nae
Mkuu humu kuna member watatu tunawalinda balaa

Don Nalimison mtu mbaya....jamaa ana anakaribia 50 bado ni underground wa kutupwa lakini ana mashabiki wa kufa za kupona😂😂. Huwa anadai mwana FA alimwibia wimbo wake.

PDidy: Huyu mzee ana mwandiko mbaya sana halafu nyuzi zake huwa anaandika kwa herufi kubwa mwanzo mwisho. Mkosoe uone unavyorukiwa na wadau. Anaheshimika balaa na watu wa kubet😂😂

Mshana jr: Huyu ni sangoma mkubwa tu, hivyo ukimkosoa watu wanakukanya ili asije akakuroga.

Ni orientation course nakupa. Ukikutana na hizo Id wewe sifia kisha sepa😀😀
 
Mkaruka:

Ushindani unapaswa kuwa kama michezo mingine. Mfano kwa waliocheza mpira miguu mkiwa ndani ya dimba kila mtu anataka timu yake ishinde achilia mbali una mahusiano ya ukaribu na mchezaji wa timu pinzani ila baada ya mechi yale mahusiano yanabaki pale na kushauriana ili kufika.

Tupo kwenye zama za mapinduzi ya teknohama kama hatutakuwa tayari tutapinduliwa tu ni lazima kila kukicha tuje na ubunifu kwa kila kitu tunachokifanya na tujijenge kwa madhaifu ya wapinzani wetu na si "Ushindani uchwara".
 
Niliona ile clip yake, nadhani ungejibu hoja yake,na siyo kumuataki personal......alisema kuna wasanii wananunua views.......hoja iko hapo haya mengine uliyoandika ni roho mbaya tu.....jibu hoja alichokisema kwanza.....majibu ni mawili tu KWELI/SIKWELI
 
Mkuu humu kuna member watatu tunawalinda balaa

Don Nalimison mtu mbaya....jamaa ana anakaribia 50 bado ni underground wa kutupwa lakini ana mashabiki wa kufa za kupona[emoji23][emoji23]. Huwa anadai mwana FA alimwibia wimbo wake.

PDidy: Huyu mzee ana mwandiko mbaya sana halafu nyuzi zake huwa anaandika kwa herufi kubwa mwanzo mwisho. Mkosoe uone unavyorukiwa na wadau. Anaheshimika balaa na watu wa kubet[emoji23][emoji23]

Mshana jr: Huyu ni sangoma mkubwa tu, hivyo ukimkosoa watu wanakukanya ili asije akakuroga.

Ni orientation course nakupa. Ukikutana na hizo Id wewe sifia kisha sepa[emoji3][emoji3]
Hao wawili nawajua vizuri sn Ila huyu pdidy ndy sijajua

Akipost uwe unanitag basi mkuu[emoji1787]
 
Niliona ile clip yake, nadhani ungejibu hoja yake,na siyo kumuataki personal......alisema kuna wasanii wananunua views.......hoja iko hapo haya mengine uliyoandika ni roho mbaya tu.....jibu hoja alichokisema kwanza.....majibu ni mawili tu KWELI/SIKWELI
Mambo ya kununua views ni upuuzi tu anaousema. Adanganye wajinga.

Hivi unafikiri Google ni Chikumbalaga. Hawajui Google huyo.
 
Mambo ya kununua views ni upuuzi tu anaousema. Adanganye wajinga.

Hivi unafikiri Google ni Chikumbalaga. Hawajui Google huyo.
Ungejibu hoja yake sasa,na siyo ulichoandika hapa,ili nawengine waelewe
 
Ungejibu hoja yake sasa,na siyo ulichoandika hapa,ili nawengine waelewe
Mkuu Google ni akili nyingine. Views unaweza kununua kwa kufanya promotion ( sponsored pekee ) na siyo vinginevyo.
 
Kazi za ubunifu kama WA mziki na video hasa pop music lifespan yake ni miaka 10
Au chini ya hapo
Wengine hata miaka miwili hawafiki

Sababu trends zinabadilika so fast
Na umri wa ubunifu hasa ni kuanzia 13 Hadi 25...ukizidi Sana 30..

Kwa upande wa video za music
Wengi wanatakiwa Ku grow kuja kutengeneza
Filam,TV programs, advertisement n.k..

Ukishindwa Ku grow huko trend ikikupita baasi njaa inakupitia...
Hata waigizaji wakianza kupungua umaarufu wanatakiwa kuingia kwenye productions..
Wanashiriki Ku produce na Ku direct n.k..

Fashion house kubwa unakuta kuna vijana wadogo wameajiriwa ndo wanaendesha hizo kampuni upande wa ubunifu..
Wale wazee na founders wako busy na mapato..hao vijana baadae nao huanzisha fashion label zao..
 
Konsani yangu hujajibu hoja ya huyo dairecta ila umemuataki........hoja hujibiwa kwa hoja .......ungekuja na haya kwenye uzi wako
 
Konsani yangu hujajibu hoja ya huyo dairecta ila umemuataki........hoja hujibiwa kwa hoja .......ungekuja na haya kwenye uzi wako
Unamaanisha nini kumtaki mtu ?

Nimezungumzia pua, mwili, nguo, nywele au chochote personal?

Au uelewa wako ukoje maana kila mtu ana uelewa wake.
 
Back
Top Bottom