Ufalme wa P Funky Majani ndani y East Africa!

Majani alikuwa na vichwa vyake, akikukubali basi ujue anakushushia beats za maana chukulia mfano beats za mangwair, juma nature, wanaume, TID, Jaymoe
Majani.

Ila beat nyingi kali za majani zilikuwa kwa nature..ukute kiroboto kashika chorus kwny beat ya majani ni balaa
 
Mashairi ya maangamizi...ka..kamua kwa uwezo kamua baba usitumie hirizi.
Komaa onesha hakuna ushindi wa chee, zukaaa...vulugwaa...hali ya hewa au kata gogo. Vurumisha ili uonekane una usongo bwambdogo!!!
Haya sasa vipi Upanga East Upango Coast? Fikiri kabla ya kutenda mwanangu....naanza na namba mbili na hio hio ndio gia yangu.

Kamua baba baadhi ya line za KR!!! Sitaki kuongelea lile beat maana ni hatari sana haijawahi tokea wazee.
 
Oya huyo jamaa beat zake noma sana mtu mbayaaa. Sema mini kama una nyimbo ya brotherman ya juma nature nsogezee.
 
Oya huyo jamaa beat zake noma sana mtu mbayaaa. Sema mini kama una nyimbo ya brotherman ya juma nature nsogezee.
 
Master J ni upepo tu, kama ushasikiza album ya wagosi wa kaya ile ya Tanga kunani plus album ya Mr.Nice na ikiwa unaijua program ya kutengenezea beats al maarufu kama FL Studio utaona ni ushuzi gani alikuwa anatufyatulia master J sema ni kutokujua tu.

Beats zake zina basic instruments tu. Kick, snare, hats, bass na mlio mmoja wa ziada(sample au kinanda flani). Hamna creativity yeyote ya hali ya juu.
 
Naskia kurecors BONGO REC ilikuwa foleni, lakini Sir Nature muda wowote akitokea, hakai foleni! Km ilishafika zamu yk lazima uwe mpole
 
Naskia kurecors BONGO REC ilikuwa foleni, lakini Sir Nature muda wowote akitokea, hakai foleni! Km ilishafika zamu yk lazima uwe mpole
kuna huu ukwel mkuu! nature alkuwa mtt wa nyumban asee
 
Umesema kweli kaka,kila nkiwaza beats za ngwair ni noma mpaka leo zikipigwa watu wanabang kama vile zimetoka jana
Majani alikuwa na vichwa vyake, akikukubali basi ujue anakushushia beats za maana chukulia mfano beats za mangwair, juma nature, wanaume, TID, Jaymoe
 
Itakuwa ushindani wa biashara,ila kama beef sidhani maana pfunky ni mbabe sana nakuhakishia angemdunda jay na angempa mitusi ya maana hafai kabisa
Hivi p funk na master j walishawahi Kuwa na beef
 
Umesema kweli kaka,kila nkiwaza beats za ngwair ni noma mpaka leo zikipigwa watu wanabang kama vile zimetoka jana
Yeah ndio ilivyokuwaga, kama hujamteka viwango anakupa beat nyepesi!
 
Daah ume nikumbusha mbali san hizo myimbo mkuu nipo primary hiyo Majani ni mtu sana tuki enjey sana Bongo fleva kizaz chetu
 
Yes, Master Jay kilichombeba ni uchache wa studio na shule, ila idea za beat alikuwa kawaida sana hata kwa kina Mika Mwamba hasogei. Mfano beat ya wimbo wa Wagosi 'Lidandasi' nilikuwa naona kinyaa kusikiliza, sema wasanii kipindi hicho walikuwa wanaandika sana so hata kama beat mbovu tunasikiliza mashairi. Wasanii wengine waliofanya kazi nyingi na Master Jay ni Mr Ebbo (RIP), Jonny Walker(RIP), Ras Lion, Caz T, Mr Paul, Stara Thomas,Wakali Kwanza n.k.
 
Ingekuwa vipi- Fa
Mi na mabinti dam dam
Jebby
Waswahili
Jose mtambo etc

Wadau watamalizia nyingine.
Huyo naye alikuwa mzuri sema kazi zake zilikuwa chache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…