Ufalme wa P Funky Majani ndani y East Africa!

Ufalme wa P Funky Majani ndani y East Africa!

hahaa kuna ukwel hapo mkuu?!
Kuna kpnd kukawa na minong'ono chinichini eti p anampendelea nature kila beat anayompa kali miaka ya hv karibuni kiroboto kuja kuhojiwa anasema "mm nilikuwa sipendelewi ila kuna beat ambazo tyr zishatengenezwa wao wakipewa hawaziwezi mm nikipewa natembea nazo ndio maana majani alikuwa ananipenda"
 
Beat zifuaazo ndizo nazikubari
Ya leo kali - wachuja nafaka
Hili gane - nature
Nipe tano - daz baba
Elimu dunia - daz baba
Usiwe na hasira - solo thang ft nguza
Yote maisha - madee
Ningeweza - ksal
Yatima hadekezwi - ft squeezer
Alikufa kwa ngoma - f.a
She got gwan - ngwair
Dakika yako moja - ngwair
Latifah - mb doggy
Si uliniambia - mb doggy
Nakupenda - Mike T
Maisha ya boarding - jmo
Kabinti - Bamboo
Chagua moja
Mzee wa busara - nature ft inspector
Pamba nyepesi - gangwe mob
Darubini kali - afande sele
Dunia ina mambo - afande sele
Ratiba zetu - ngwair & sna lee
 
Beat zifuaazo ndizo nazikubari
Ya leo kali - wachuja nafaka
Hili gane - nature
Nipe tano - daz baba
Elimu dunia - daz baba
Usiwe na hasira - solo thang ft nguza
Yote maisha - madee
Ningeweza - ksal
Yatima hadekezwi - ft squeezer
Alikufa kwa ngoma - f.a
She got gwan - ngwair
Dakika yako moja - ngwair
Latifah - mb doggy
Si uliniambia - mb doggy
Nakupenda - Mike T
Maisha ya boarding - jmo
Kabinti - Bamboo
Chagua moja
Mzee wa busara - nature ft inspector
Pamba nyepesi - gangwe mob
Darubini kali - afande sele
Dunia ina mambo - afande sele
Ratiba zetu - ngwair & sna lee
Chagua 1,ukate suna au ubaki na mkono wa sweta,uvue chup* uzae au ...[emoji16][emoji16]
 
Yani ktk Africa mashariki hasa ktk nchi kubwa kuliko zote Africa mashariki, yaani Tanzania, kuna miguu mitatu iliyoinua huu mziki hadi kufikia hapa ilipo heshima kwao mabraza, p funk, mikamwamba, na master j. Hakika Tanzania haitawasahau. Wameacha alama.
Huwezi acha kumtaja bonny Love,uyo mikamwamba(raia wa finland) ana mchango mkubwa sana ila hawez mreplace bonny Love
 
Hivi sa hv P Funky majan anafanya nn make sisikii kazi zake labda kuna mishe anafanya tujuzane
 
Majani alikuwa hatari sana...sijui kwanini alikuwa anapambanishwa na Master J, maana master j alikuwa na mabeat yake mabovu mabovu alafu yote yanafanana.

P ndo producer ambaye aliweza kutengeneza beat ikazaa hit song, na bado msanii mwingine akaitumia na wimbo ukahit vile vile...

Mifano ni mingi...Beat ya Nitoke Vip ya Bw Misosi ndiyo iliyokuja kutumiwa na Man X na kibao chake cha Nimechezea Bahati..

Promoter Anabeep ya J..beat yake ilikuja kutumika kwenye Napokea Simu ya Ngwea.

Alikufa kwa ngoma ya Fa..beat yake alikuja kutumia Dully Sykes kwnye ngoma yake ya I love my chicks.

Nikiambiwa nitaje beats kali toka kwa p ni pamoja na..

1. Mikasi-Ngwea

2. Bishoo-Jay Moe

3. Nampenda -Mike T

4. Karibu yangu-Manzese Crew

5. Vina Utata-Solo Thang

6. Bijour-Dully Sykes

7. Wanapendana-MwanaFa

8.Latifa-Mb dog

9. Anakuja-Sister P

10. Ratiba zetu-Sna lee
 
sijawahi kumuelewa Master J kwa kweli, nlikuwa naskia kuna mlio unanguruma tu.
usiamsahau beat za

Mapato-- Nature ft. K South

Sina dem-- B Boy

Nje ndani-- Gangwe Mobb

'alif kwa ujiti'-- Fatma

Nyaluland-- Mike T ft. Jide
 
Afande mbona alimpiga
Kofi moja tu, kwani Kofi moja ni kipigo kikali, majani mkali ila clouds walimzidi akil wakapata pesa nying kupitia muziki majani hakupata pesa kivile saiz sidhani kama anafanya production haki miliki bongo ina shida kidogo
 
Beat zifuaazo ndizo nazikubari
Ya leo kali - wachuja nafaka
Hili gane - nature
Nipe tano - daz baba
Elimu dunia - daz baba
Usiwe na hasira - solo thang ft nguza
Yote maisha - madee
Ningeweza - ksal
Yatima hadekezwi - ft squeezer
Alikufa kwa ngoma - f.a
She got gwan - ngwair
Dakika yako moja - ngwair
Latifah - mb doggy
Si uliniambia - mb doggy
Nakupenda - Mike T
Maisha ya boarding - jmo
Kabinti - Bamboo
Chagua moja
Mzee wa busara - nature ft inspector
Pamba nyepesi - gangwe mob
Darubini kali - afande sele
Dunia ina mambo - afande sele
Ratiba zetu - ngwair & sna lee
Ningeweza ya ksal ni ya mika mwamba mkuu
 
Beat zifuaazo ndizo nazikubari
Ya leo kali - wachuja nafaka
Hili gane - nature
Nipe tano - daz baba
Elimu dunia - daz baba
Usiwe na hasira - solo thang ft nguza
Yote maisha - madee
Ningeweza - ksal
Yatima hadekezwi - ft squeezer
Alikufa kwa ngoma - f.a
She got gwan - ngwair
Dakika yako moja - ngwair
Latifah - mb doggy
Si uliniambia - mb doggy
Nakupenda - Mike T
Maisha ya boarding - jmo
Kabinti - Bamboo
Chagua moja
Mzee wa busara - nature ft inspector
Pamba nyepesi - gangwe mob
Darubini kali - afande sele
Dunia ina mambo - afande sele
Ratiba zetu - ngwair & sna lee
Mwanza mwanza - fid q

Nikusaidieje - Prof Jay

Mtazamo - afande sele ft Prof Jay & solo thang

Kimya kimya - Ngwea X Jay MO
 
Majani alikuwa hatari sana...sijui kwanini alikuwa anapambanishwa na Master J, maana master j alikuwa na mabeat yake mabovu mabovu alafu yote yanafanana.

P ndo producer ambaye aliweza kutengeneza beat ikazaa hit song, na bado msanii mwingine akaitumia na wimbo ukahit vile vile...

Mifano ni mingi...Beat ya Nitoke Vip ya Bw Misosi ndiyo iliyokuja kutumiwa na Man X na kibao chake cha Nimechezea Bahati..

Promoter Anabeep ya J..beat yake ilikuja kutumika kwenye Napokea Simu ya Ngwea.

Alikufa kwa ngoma ya Fa..beat yake alikuja kutumia Dully Sykes kwnye ngoma yake ya I love my chicks.

Nikiambiwa nitaje beats kali toka kwa p ni pamoja na..

1. Mikasi-Ngwea

2. Bishoo-Jay Moe

3. Nampenda -Mike T

4. Karibu yangu-Manzese Crew

5. Vina Utata-Solo Thang

6. Bijour-Dully Sykes

7. Wanapendana-MwanaFa

8.Latifa-Mb dog

9. Anakuja-Sister P

10. Ratiba zetu-Sna lee
Hivi p funk na master j walishawahi Kuwa na beef
 
Back
Top Bottom