Ufaransa ilijitoa NATO kwa amani, Urusi anashambulia nchi zinazotaka kujiunga

Historia ni SOMO jepesi sana jamani, hutumii akili yeyote kulisoma, yaani unajisomea tu bila hata msaada wa mwalimu. Nakumbuka nikiwa O level, nilikua nahudhuria darasani form 1 na form 2 tu baasi, form 3 sijawahi kuingia darasana kumsikiliza mwalimu, again form 4 sidhani kama nilizidisha zaidi ya 5 times na still nilipata C, somo rahis mno, unajisomea kitabu cha history wakati umechoka ku calculate number, physics, Chemestry nk. Imagine mtu anadanganya pakubwa namna hi kwamba eti URUSI anapenda VITA. Kati ya Urusi na NATO nani anapenda vita? jifunze historia ya miaka walau 20 tu nyuma froma now, utagundua NATO/USA kavamia nchi huru mara nyingi kweli kuliko hata Urusi anaeonewa hapa
 
Hilo swali mbona huja wauliza USA !? [emoji16][emoji16][emoji16]
Mnaumia sana mnapoona Russia anavyo dhihirisha nguvu zake za kijeshi !!? Poleni sana
 
Dunia sio sehemu salama .. only stongers they will remain to survive.. Maisha ya binaadamu hayana tofauti sana na maisha ya viumbe hai wengine , kilichopo tu ni kwamba binaadamu Kwa kuwa tuna akili kuliko viumbe wengine tuna tumia hiyo platform kama strategy ya kupunguza ubinafsi tulio nao , lakini kwakuwa ubinafsi ni inborn character hauwezi kuja kuisha ..

so usije kujidanganya kwamba Dunia inaweza kukaa pasipo uwepo wa vita Kwa sababu nature ndio iliyo amua Dunia iwe hivyo samaki mkubwa ana kula samaki mdogo Ili apate kuishi
 
Binafsi hatuoni sababu za Ukraine kujiunga na NATO ilhali anajua fika kwamba kujiunga kwake huko Kuna hatarisha usalama Amani na ustawi wa taifa la Russia..
 
Dunia bila vita haiendi, toka enzi za vitabu vya Mungu vita ndio inafanya nchi ziheshimiane. Ili taifa liwe kubwa na kupata heshima kwa mataifa mengine ni lazima wapigane tu...
For sure
 
Hata kama asiposema haisaidii kubadilisha huo ukweli .. Leo hii inatokea huko Kwa wenzetu lakini you have to know that lazima Ipo siku itakuja kutokea kwetu iwe tupo hai au tumekufa .. hivyo ndivyo namna ambavyo maisha yalivyo .. ilaumu nature
 
Wacha upotoshaji Ufaransa ni mwanachama hai wa NATO!

Sijui umetoa wapi huu ujinga ulioandika humu ndani!
 
[emoji16][emoji16][emoji16] Russia alishawahi kufanya hivyo na matokeo yake uliibuka mgogoro mkubwa uliopelekea pope kuingilia kati , na Russia wakaondoa majeshi Yao .. so why ionekane Leo hii kuwa NATO kumsogelea Russia Kwa kupitia mgongo wa Ukraine ni sahihi.. kwanini Wana leta double standard
 
Usiukimbie ukweli wa kuwa ...Hivyo ndivyo Dunia inavyoendeshwa...

Muache sasa na mjifunze pia msidanganyike na upuuzi wa Haki/Uhuru na matakataka gani sijui ya Democracy.
Nime mwambia Mimi [emoji16][emoji16]

Dunia sio mahala salama Kwa viumbe hai kama wanavyo ongopewa , Kwa sab abu Kila kiumbe Ili kiweze ku-survive lazima kimle kiumbe mwenzake kimpore Mali zake etc
 
Jamaa muongo ninavyojua macron ndiye kiongozi wao mkuu wa NATO Kwa Sasa
 
[emoji16][emoji16][emoji16] garbage [emoji706][emoji706]
 
Kwanza anajua hata Sababu za NATO kuundwa au unaongea na mtu asiye jua hata history ya NATO ilikuaje kuaje. Yaani Russia anajua kabisa kuwa nato iliiundwa Kwa sababu za kuhakikisha Wana lipoteza taifa la Russia, halafu Russia waendelee kukubali NATO hao hao wazidi kujitanua Kwa kuwasogelea usoni mwao ...

Hizi akili za wapi hizi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji706]
 
Popoma Hilo [emoji16][emoji16][emoji16]
 
1.France ni member wa NATO. Nchi "Neutral" hadi sasa ziko tatu, Switzerland Finland na Sweden. Mbili za mwisho zinatia mkwara tu kusoma mwelekeo wa Russia katika medani za kivita.

2. Russia inapakana na NATO kwenye bahari ya Baltic. Rejea mji wa Kaliningrad ambayo ni Russia, kaskazini mwa Poland.

3. Kusini Russia inapakana na NATO kupitia Black sea.

Hivyo mgogoro uliopo sasa Ukraine ni mchongo wa Poland, nchi iliyo na mipango ovu ya siri dhidi ya Russia kupitia mshirika wake mkuu USA.

NATO inaingizwa tu kwenye mgogoro wenye maslahi binafsi ya kikundi kidogo cha watu.
 
Acha wqfanye ulitaka afanye mmoja tu, kwani wewe mangapi umefanya Afrika kwa jirani zako wanaokuzunguka?
 
Ndo mana kila kukicha wanazidi kutengeneza eilaha mpya na za kisasa zaidi, mana hakuna suluhisho ktk hii dunia ya sasa bila kuwa mbabe, ili dunia ikuheshimu lzm uwe mbabe, ukiwa mdebwedo ndo haya tunayokumbana nayo sasa hv, hv kwenu lita ya mafuta bei gani uko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…