Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waafrika wanaocheza ULAYA wako sahihi kabisa na Wala siyo Utumwa, Kwasababu wanafanya hivyo kwa hiari yao ni siyo kwa kulazimishwa.( Hivyo, hakuna sifa ya Utumwa).Kwanza kabisa nimefurahi Messi kuchukua kombe la dunia. Isingekuwa haki kama huyu mwamba angestaafu bila kuchukua hii ndoo. Poleni timu Ronaldo, mimi nafurahi nikiona mnaumia.
Niende kwenye mada husika. Timu ya Ufaransa imejaa wachezaji wa Africa. Nimeona waafrica wengi wakiishabikia Ufaransa kwa sababu imejaza watu weusi. Mimi naona huo ni utumwa. Hawa jamaa weusi wanaochezea Ufaransa na mataifa mengine ya Ulaya hawana haki sawa na wazungu. Wana uraia sawa but they are second class citizens. Watawatumia tu kuwaburudisha lakini hawatakaa washike positions muhimu kwenye nchi kama mambo ya kibenki, mahakama, wala kumiliki nyenzo za kiuchumi. Kule jamaa wanadharauliwa. Kuna likizo moja Pogba alitembelea nchi moja ya Africa, siikumbuki jina, watu walikuwa wanamshangilia yani akajihisi kama ambavyo Messi anajihisi akiwa Argentina. Wazungu hawana shobo na watu weusi, juzi watu wamevamia nyumba ya Sterling. Aubameyang naye alivamiwa kule Barcelona.
Mahitaji ya binadamu sio pesa tu, kuna kuthaminiwa utu pamoja na heshima. Africa ingefika mbali kisoka kama wachezaji weusi wangechezea timu zao za asili. Wangepata mafanikio na kuimbwa kama mashujaa wa mataifa yao. Eti Bukayo Saka ni mwingereza[emoji3][emoji3][emoji3].
Africa tuache rushwa na ukiritimba. Waafrica wengi wanakimbia matatizo huku kwao na kuzamia ulaya walau wapate ugali. Kule wanahangaika na kutupiwa mfupa wa kuchezea timu za taifa za wazungu. Ukoloni unaendelea sema kwa sura nyingine. Babu zetu walitumikishwa mashambani, viwandani na majumbani, wajukuu zao wanatumikishwa uwanjani.
Waafrika tusiposolve matatizo yetu wenyewe na kupafanya pawe mahali pazuri basi tutaendelea kutawaliwa na hao jamaa hadi tunaingia kaburini.
Nimekuwekea hapo juu habari za hao ArgentinaWaliwafanya nini?
Daaah🤣🤣Hapa ndipo umuhimu wa NYETO kwa wazee wetu ulipo. Mzee wako angeshusha mzigo chooni now tungeondokana na upuuzi kama huu.
Ok, tuseme sijaelewa lakini bado haihalarishi point yako mkuu.Hujaelewa point yangu
Bila wao kuchezea huko ulaya hivyo vipaji usingeviona vingepotea kama vya akina ngasa tu, wale wanafanya kazi wanalipwa mishahara mizuri wanaishi vizuri unataka warudi kuchezea ligi za ndani hali yakuwa hata malipo ni ngumu kulipwaNaona mnanishambulia badala ya kupinga hoja kwa hoja. Sikatai kwenda kucheza ulaya kutafuta pesa, ila kuchezea timu za mataifa ya ulaya huku wao wakiwa na asili ya Africa ni form nyingine ya utumwa. Waisrael hata wakae miaka mingapi kwenye nchi nyingine, bado watabaki kuwa wayahudi. Pingeni kwa hoja na sio matusi.
Kwanza kabisa nimefurahi Messi kuchukua kombe la dunia. Isingekuwa haki kama huyu mwamba angestaafu bila kuchukua hii ndoo. Poleni timu Ronaldo, mimi nafurahi nikiona mnaumia.
Niende kwenye mada husika. Timu ya Ufaransa imejaa wachezaji wa Africa. Nimeona waafrica wengi wakiishabikia Ufaransa kwa sababu imejaza watu weusi. Mimi naona huo ni utumwa. Hawa jamaa weusi wanaochezea Ufaransa na mataifa mengine ya Ulaya hawana haki sawa na wazungu. Wana uraia sawa but they are second class citizens. Watawatumia tu kuwaburudisha lakini hawatakaa washike positions muhimu kwenye nchi kama mambo ya kibenki, mahakama, wala kumiliki nyenzo za kiuchumi. Kule jamaa wanadharauliwa. Kuna likizo moja Pogba alitembelea nchi moja ya Africa, siikumbuki jina, watu walikuwa wanamshangilia yani akajihisi kama ambavyo Messi anajihisi akiwa Argentina. Wazungu hawana shobo na watu weusi, juzi watu wamevamia nyumba ya Sterling. Aubameyang naye alivamiwa kule Barcelona.
Mahitaji ya binadamu sio pesa tu, kuna kuthaminiwa utu pamoja na heshima. Africa ingefika mbali kisoka kama wachezaji weusi wangechezea timu zao za asili. Wangepata mafanikio na kuimbwa kama mashujaa wa mataifa yao. Eti Bukayo Saka ni mwingereza[emoji3][emoji3][emoji3].
Africa tuache rushwa na ukiritimba. Waafrica wengi wanakimbia matatizo huku kwao na kuzamia ulaya walau wapate ugali. Kule wanahangaika na kutupiwa mfupa wa kuchezea timu za taifa za wazungu. Ukoloni unaendelea sema kwa sura nyingine. Babu zetu walitumikishwa mashambani, viwandani na majumbani, wajukuu zao wanatumikishwa uwanjani.
Waafrika tusiposolve matatizo yetu wenyewe na kupafanya pawe mahali pazuri basi tutaendelea kutawaliwa na hao jamaa hadi tunaingia kaburini.
Kwahiyo wewe ulitaka Hao wenye nyadhifa ndio wacheze mpira? Bank teller, police,president, au nurse. Pumbavu sana ndugu.Kwanza kabisa nimefurahi Messi kuchukua kombe la dunia. Isingekuwa haki kama huyu mwamba angestaafu bila kuchukua hii ndoo. Poleni timu Ronaldo, mimi nafurahi nikiona mnaumia.
Niende kwenye mada husika. Timu ya Ufaransa imejaa wachezaji wa Africa. Nimeona waafrica wengi wakiishabikia Ufaransa kwa sababu imejaza watu weusi. Mimi naona huo ni utumwa. Hawa jamaa weusi wanaochezea Ufaransa na mataifa mengine ya Ulaya hawana haki sawa na wazungu. Wana uraia sawa but they are second class citizens. Watawatumia tu kuwaburudisha lakini hawatakaa washike positions muhimu kwenye nchi kama mambo ya kibenki, mahakama, wala kumiliki nyenzo za kiuchumi. Kule jamaa wanadharauliwa. Kuna likizo moja Pogba alitembelea nchi moja ya Africa, siikumbuki jina, watu walikuwa wanamshangilia yani akajihisi kama ambavyo Messi anajihisi akiwa Argentina. Wazungu hawana shobo na watu weusi, juzi watu wamevamia nyumba ya Sterling. Aubameyang naye alivamiwa kule Barcelona.
Mahitaji ya binadamu sio pesa tu, kuna kuthaminiwa utu pamoja na heshima. Africa ingefika mbali kisoka kama wachezaji weusi wangechezea timu zao za asili. Wangepata mafanikio na kuimbwa kama mashujaa wa mataifa yao. Eti Bukayo Saka ni mwingereza😀😀😀.
Africa tuache rushwa na ukiritimba. Waafrica wengi wanakimbia matatizo huku kwao na kuzamia ulaya walau wapate ugali. Kule wanahangaika na kutupiwa mfupa wa kuchezea timu za taifa za wazungu. Ukoloni unaendelea sema kwa sura nyingine. Babu zetu walitumikishwa mashambani, viwandani na majumbani, wajukuu zao wanatumikishwa uwanjani.
Waafrika tusiposolve matatizo yetu wenyewe na kupafanya pawe mahali pazuri basi tutaendelea kutawaliwa na hao jamaa hadi tunaingia kaburini.
Kwamba Hakuna Weusi wanaoongoza mabenki Ulaya?Kwanza kabisa nimefurahi Messi kuchukua kombe la dunia. Isingekuwa haki kama huyu mwamba angestaafu bila kuchukua hii ndoo. Poleni timu Ronaldo, mimi nafurahi nikiona mnaumia.
Niende kwenye mada husika. Timu ya Ufaransa imejaa wachezaji wa Africa. Nimeona waafrica wengi wakiishabikia Ufaransa kwa sababu imejaza watu weusi. Mimi naona huo ni utumwa. Hawa jamaa weusi wanaochezea Ufaransa na mataifa mengine ya Ulaya hawana haki sawa na wazungu. Wana uraia sawa but they are second class citizens. Watawatumia tu kuwaburudisha lakini hawatakaa washike positions muhimu kwenye nchi kama mambo ya kibenki, mahakama, wala kumiliki nyenzo za kiuchumi. Kule jamaa wanadharauliwa. Kuna likizo moja Pogba alitembelea nchi moja ya Africa, siikumbuki jina, watu walikuwa wanamshangilia yani akajihisi kama ambavyo Messi anajihisi akiwa Argentina. Wazungu hawana shobo na watu weusi, juzi watu wamevamia nyumba ya Sterling. Aubameyang naye alivamiwa kule Barcelona.
Mahitaji ya binadamu sio pesa tu, kuna kuthaminiwa utu pamoja na heshima. Africa ingefika mbali kisoka kama wachezaji weusi wangechezea timu zao za asili. Wangepata mafanikio na kuimbwa kama mashujaa wa mataifa yao. Eti Bukayo Saka ni mwingereza[emoji3][emoji3][emoji3].
Africa tuache rushwa na ukiritimba. Waafrica wengi wanakimbia matatizo huku kwao na kuzamia ulaya walau wapate ugali. Kule wanahangaika na kutupiwa mfupa wa kuchezea timu za taifa za wazungu. Ukoloni unaendelea sema kwa sura nyingine. Babu zetu walitumikishwa mashambani, viwandani na majumbani, wajukuu zao wanatumikishwa uwanjani.
Waafrika tusiposolve matatizo yetu wenyewe na kupafanya pawe mahali pazuri basi tutaendelea kutawaliwa na hao jamaa hadi tunaingia kaburini.
Hakuna Muisrael amekuwa Waziri wa Mambo ya nje USA?Naona mnanishambulia badala ya kupinga hoja kwa hoja. Sikatai kwenda kucheza ulaya kutafuta pesa, ila kuchezea timu za mataifa ya ulaya huku wao wakiwa na asili ya Africa ni form nyingine ya utumwa. Waisrael hata wakae miaka mingapi kwenye nchi nyingine, bado watabaki kuwa wayahudi. Pingeni kwa hoja na sio matusi.