#COVID19 Ufaransa: Raia kuhitaji kibali maalum kwenda migahawani, baa n.k

Sukum Gang walikua wanasema hawataki chanjo. Alafu juzi mwenyekiti wao kaanza kuchomwa sindano.
 
kwa tanzania nayo hiyo kauli ni ya kutongoza tu wananchi ni sawa na demu unamtongoza weee! kwa maneno malaaini lakini akisha kubali akakuruhusu kwenye 18 zake kisha zero-distance unamkunja niaje taka asitake,hivyo ni suala la muda tu tanzania tunaelekea kule walimwengu wanakoenda
 
Unaelewa maana ya chanjo lakini?!
Nimekumbushia upumbavu uliokuwa unausupport enzi za jiwe!

Kwa taarifa yako huku niliko nilichanjwa since February sasa nyie ndio mmezimduka leo ila bado kuna watu wamebakia na ujinga ule ule..
 
Hiyo ni kanuni ya Dunia itafika na huku kila mtu lazima achanje,wote mnaosema hamtachanja itafika wakati utachanja kwa lazima maana hutoruhusiwa kwenye huduma nyingi
 
Usomi wako woote,bado hauamini kwamba hata wewe ni marehemu wa saa yoyote?

Hata ukiishi miaka mngi kama Henoko wa Biblia bado utakufa, unajivuna kwa kuwa upooo au wewe ni mjinga?
Kila mtu atakufa...

Ila kuwa msomi na bado ukaikata njia iliyoonekana ni muhimu kujikinga na kuokoa maisha huo ndio upumbavu .

Ni sawa na wewe uone sehemu inawaka moto na wewe useme ngoja nitumie petrol kuuzima na sio maji au vitu vingine vya kuzimia moto..

Tulipewa akili tuzitumie ila kuna watu walikufa kwa kuendekeza ujinga
 
Hiyo hiari ni siasa tu na mtachanja mpende msipende.

Watajua pa kuwabana mpaka mchanje.

Ni swala la muda tu.
Na in fact sio siasa, ni kwavile hata hizo chanjo zenyewe hatuna!!!

Just imagine, taifa lenye watu takribani 60M, tumepewa 1M doses, wakati Ufaransa yenye population ya takribani watu 68M, ime-allocate about 70 Million doses!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…