Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sukum Gang walikua wanasema hawataki chanjo. Alafu juzi mwenyekiti wao kaanza kuchomwa sindano.Nawasalimu kwa jina la JMT!
Tanzania kuchanja chanjo ya Corona ni swala la hiyari siyo lazima na kiukweli hili ni jambo jema.
Namuomba Mungu mwenyezi tusifikie ile hali ya nchi ya Ufaransa ambayo imewatangazia wananchi wake wasiochanja kwamba ifikapo 01/08/2021 hawataruhusiwa kununua vitu sokoni.
Mungu ni mwema wakati wote!
kwa tanzania nayo hiyo kauli ni ya kutongoza tu wananchi ni sawa na demu unamtongoza weee! kwa maneno malaaini lakini akisha kubali akakuruhusu kwenye 18 zake kisha zero-distance unamkunja niaje taka asitake,hivyo ni suala la muda tu tanzania tunaelekea kule walimwengu wanakoendaNawasalimu kwa jina la JMT!
Tanzania kuchanja chanjo ya Corona ni swala la hiyari siyo lazima na kiukweli hili ni jambo jema.
Namuomba Mungu mwenyezi tusifikie ile hali ya nchi ya Ufaransa ambayo imewatangazia wananchi wake wasiochanja kwamba ifikapo 01/08/2021 hawataruhusiwa kununua vitu sokoni.
Mungu ni mwema wakati wote!
Sio 666666 in action... Tuendeleee kujifukiza ndugu zanguni
Nimekumbushia upumbavu uliokuwa unausupport enzi za jiwe!Unaelewa maana ya chanjo lakini?!
Hata sasa ameanza tena ukasuku wake. Ameshamsahau JPMNimekumbushia upumbavu uliokuwa unausupport enzi za jiwe!
Kwa taarifa yako huku niliko nilichanjwa since February sasa nyie ndio mmezimduka leo ila bado kuna watu wamebakia na ujinga ule ule..
Asee hebu tupeane elimu kidogo, hiyo 666 inauhusiano gani na chanjo?Kama utani utani vile 666 imekuja
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Si ndio huyu alituambia Magu ni mzima wa afya?!
Nionyeshe kiwanda cha kuzalisha damuUnaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Kama umeshachanjwa kitulize mkuu,acha wanaume tuwaonyeshe show hao jamaa zenu na biashara zao.Nimekumbushia upumbavu uliokuwa unausupport enzi za jiwe!
Kwa taarifa yako huku niliko nilichanjwa since February sasa nyie ndio mmezimduka leo ila bado kuna watu wamebakia na ujinga ule ule..
Kuna mtu na wapambe wake walisema hivyo hivyo miezi michache iliyopita tittle imebadilika wamekuwa marehemu...Kama umeshachanjwa kitulize mkuu,acha wanaume tuwaonyeshe show hao jamaa zenu na biashara zao.
Hiyo ni kanuni ya Dunia itafika na huku kila mtu lazima achanje,wote mnaosema hamtachanja itafika wakati utachanja kwa lazima maana hutoruhusiwa kwenye huduma nyingiNawasalimu kwa jina la JMT!
Tanzania kuchanja chanjo ya Corona ni swala la hiyari siyo lazima na kiukweli hili ni jambo jema.
Namuomba Mungu mwenyezi tusifikie ile hali ya nchi ya Ufaransa ambayo imewatangazia wananchi wake wasiochanja kwamba ifikapo 01/08/2021 hawataruhusiwa kununua vitu sokoni.
Mungu ni mwema wakati wote!
Hiyo umeijua wapi wewe bila wazungu?666 in action... Tuendeleee kujifukiza ndugu zanguni
Usomi wako woote,bado hauamini kwamba hata wewe ni marehemu wa saa yoyote?Kuna mtu na wapambe wake walisema hivyo hivyo miezi michache iliyopita tittle imebadilika wamekuwa marehemu...
Unaweza kuthibitisha mungu hayupoUnaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Kila mtu atakufa...Usomi wako woote,bado hauamini kwamba hata wewe ni marehemu wa saa yoyote?
Hata ukiishi miaka mngi kama Henoko wa Biblia bado utakufa, unajivuna kwa kuwa upooo au wewe ni mjinga?
Na in fact sio siasa, ni kwavile hata hizo chanjo zenyewe hatuna!!!Hiyo hiari ni siasa tu na mtachanja mpende msipende.
Watajua pa kuwabana mpaka mchanje.
Ni swala la muda tu.