Hata kwako Tanzania ni swala la mda TU hicho ndio kitu kinachofuata duniani koteNawasalimu kwa jina la JMT!
Tanzania kuchanja chanjo ya Corona ni swala la hiyari siyo lazima na kiukweli hili ni jambo jema.
Namuomba Mungu mwenyezi tusifikie ile hali ya nchi ya Ufaransa ambayo imewatangazia wananchi wake wasiochanja kwamba ifikapo 01/08/2021 hawataruhusiwa kununua vitu sokoni.
Mungu ni mwema wakati wote!
Sasa hayo machanjo ya Pepopunda na Polio yaliopo kwenye Hospitali zetu ni Chapa ya Mnyama gani?Ufunuo wa Yohana 13:17
tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.
Ufunuo wa Yohana 13:17
tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.
Watakaonyakuliwa ni wale watakao kataa kuwekewa namba ya mnyama kwenye paji za nyuso zao yaani kuchanjwa na unyakuo huo maana yake ni kifo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]666 itakuja baada ya Yesu kunyakuwa watu wake.kwa hiyo bado huo ni mfano wake
"...Chanjo si lazima..." - Serikali kupitia Waziri mkuu
Tunaelekea kwenye utawala wa mnyama na huyu mnyama utambulisho wake ni 666Asee hebu tupeane elimu kidogo, hiyo 666 inauhusiano gani na chanjo?
In a more simplified way.Na watu walidhani ishara ni kuwa utachorwa utosini, kumbe bila kujua hiyo chanjo inaingiza some genetic codes ambayo itakua ni alama kwao.
Mmmh nini mkuu?ni kweli lakini hmmm
Maandiko gan hayo..au umeamua kupotesha kwa makusudi666 itakuja baada ya Yesu kunyakuwa watu wake.kwa hiyo bado huo ni mfano wake
Si tu mzima, ongezea 'NA ANACHAPA KAZI!'Si ndio huyu alituambia Magu ni mzima wa afya?!
Ufunuo wa Yohana 13:18 Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.Ufunuo wa Yohana 13:17
tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.
Kuna maandiko nimeyanukuu kuwasahihisha wale wanaofikiri unyakuo utakuja kabla ya dhiki kuu (great tribulations) kama nilivyofafanua hapo chini:Maandiko gan hayo..au umeamua kupotesha kwa makusudi
666 inakuja kabla ya ujio wa Yesu..na inakuja ili iwe kipimo kikuu.
Dunia siku chache zijazo, inaenda gawanyika ktk makundi mawili.
Uovu au Wema.
Hesabu yake iko hivi ukichukua lile neno CORONA idadi yake ya herufi ziko 6, haya jaribu kuhesabu mpangilio wa alfabeti kila moja utaona kila alfabeti ni ya ngapi kisha jumlisha kwa pamoja zile idadi zake utapata neno la siri lililofichwa ndani yake ambayo ni 666( alama ya mnyama /mpinga kristo) ilivyo ingizwa kwa siri kubwa duniani pasi na walimwengu wenyewe kutambuwa kwa haraka.Kama utani utani vile 666 imekuja
Wewe huwa unasoma bibilia gani? Chapa ya mnyama Ni kabla ya unyakuo. Sina vizuri Mathayo na Ufunuo.666 itakuja baada ya Yesu kunyakuwa watu wake.kwa hiyo bado huo ni mfano wake
Ngoja tuanze kutunza vyakula na kulima bustani na kuchimba visima ili huyu mpinga Kristo akianza tuwe self sufficient!Nawasalimu kwa jina la JMT!