Poa 2
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 1,317
- 1,320
Hata kwako Tanzania ni swala la mda TU hicho ndio kitu kinachofuata duniani koteNawasalimu kwa jina la JMT!
Tanzania kuchanja chanjo ya Corona ni swala la hiyari siyo lazima na kiukweli hili ni jambo jema.
Namuomba Mungu mwenyezi tusifikie ile hali ya nchi ya Ufaransa ambayo imewatangazia wananchi wake wasiochanja kwamba ifikapo 01/08/2021 hawataruhusiwa kununua vitu sokoni.
Mungu ni mwema wakati wote!