#COVID19 Ufaransa: Raia kuhitaji kibali maalum kwenda migahawani, baa n.k

Haya mambo ya kipindi cha dhiki kuu wasabato wameyafundisha tangu miaka mingi sana, nafikiri udhihirisho wake ndo unaanza hivyo. Kwa sisi tunaomtumainia Mungu Mwenyezi ni kujiaandaa kwenda kuishi milimani, tutakula nini Mungu ndo anajua.........ila imeandikwa atakayevumilia hadi mwisho ndo ataokoka.........soma mwenyewe mistari kutoka ufunuo wa Yohanna..............

13.16 Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao;

13.17 tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.

13.18 Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.
 
Kuna mtu na wapambe wake walisema hivyo hivyo miezi michache iliyopita tittle imebadilika wamekuwa marehemu...
Kwani kwa kusema tofauti ni tiketi ya kutokuwa marehemu???au kifo kimekuwa na tabia za kike siku hizi??
 
Kila mtu atakufa...

Ila kuwa msomi na bado ukaikata njia iliyoonekana ni muhimu kujikinga na kuokoa maisha huo ndio upumbavu .

Ni sawa na wewe uone sehemu inawaka moto na wewe useme ngoja nitumie petrol kuuzima na sio maji au vitu vingine vya kuzimia moto..

Tulipewa akili tuzitumie ila kuna watu walikufa kwa kuendekeza ujinga
Aliyekwambia ukisoma unasimamisha uwezo wa kufikiri na kutumia hiyo elimu badala yake,ndio huyu anasababisha wasomi mnaonekana hopeless.

Usomi huu wa kudhani magufuli alifariki kwa corona,hasa baada ya kuibeza ndio hatuutaki.

Tunataka usomi wa kung'amua kwamba kwanini corona inachagua wa kuwaua kati ya wanaipuuza.
 
Mkuu umeongea la maana sana, yani mtu anakazania Magu kafa kwa corona kwa kutumia hisia tu hana sababu ya msingi ndio maana anaishia kusema aliidharau corona.
 
Kila mtu atakufa...

Ila kuwa msomi na bado ukaikata njia iliyoonekana ni muhimu kujikinga na kuokoa maisha huo ndio upumbavu .

Ni sawa na wewe uone sehemu inawaka moto na wewe useme ngoja nitumie petrol kuuzima na sio maji au vitu vingine vya kuzimia moto..

Tulipewa akili tuzitumie ila kuna watu walikufa kwa kuendekeza ujinga
Wewe ni mpuuzi, inamaana hiyo corona ilimuona yeye peke yake, wewe na wazee wako mlikuwa mnajikinga?

Mbona wazee wangu na babu zangu hawakujikinga kwa lolote na bado wapo?

Wagonjwa wa moyo alikuwa ni JPM pekee nchi nzima, na hapakuwepo wagonjwa wengine, na je sasa wagonjwa wa moyo wote wamekufa na korona?
 
Haya mambo ya kipindi cha dhiki kuu wasabato wameyafundisha tangu miaka mingi sana, nafikiri udhihirisho wake ndo unaanza hivyo. Kwa sisi tunaomtumainia Mungu Mwenyezi ni kujiaandaa kwenda kuishi milimani, tutakula nini Mungu ndo anajua.........ila imeandikwa atakayevumilia hadi mwisho ndo ataokoka.........soma mwenyewe mistari kutoka ufunuo wa Yohanna..............

13.16 Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao;

13.17 tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.

13.18 Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.

Jamani acha ujinga hili swala nila afya ya mwili sio roho,mna weka mizunguko mingi kama unahitaji chnjo then chanja kama huitaji step back miasita stini na sita.. are all nonsense.
 
Nawasalimu kwa jina la JMT!

Tanzania kuchanja chanjo ya Corona ni swala la hiyari siyo lazima na kiukweli hili ni jambo jema.

Namuomba Mungu mwenyezi tusifikie ile hali ya nchi ya Ufaransa ambayo imewatangazia wananchi wake wasiochanja kwamba ifikapo 01/08/2021 hawataruhusiwa kununua vitu sokoni.

Mungu ni mwema wakati wote!
Yohana Mbatizaji TAFADHALI usilinganishe mambo ya Ufaransa na Tanzania. It is an insult

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Kama utani utani vile 666 imekuja
Mkuu ondoa hofu siyo hii.
Kumbuka chukizo la uharibifu wa patakatifu, hapo ndipo viongozi wa kisiasa watakapoungana na kidini ili kuanza kuliharibu hekalu (mwili) ambapo Mungu atachukizwa, Luke 21:9...

Kumbuka mwisho hauji mpaka kila kiumbe chenye damu na uelewa kitakaposikia neno la Mungu, Mathew 24:1...
 
Nawasalimu kwa jina la JMT!

Tanzania kuchanja chanjo ya Corona ni swala la hiyari siyo lazima na kiukweli hili ni jambo jema.

Namuomba Mungu mwenyezi tusifikie ile hali ya nchi ya Ufaransa ambayo imewatangazia wananchi wake wasiochanja kwamba ifikapo 01/08/2021 hawataruhusiwa kununua vitu sokoni.

Mungu ni mwema wakati wote!

Ni hiari kwasasa kwasababu hivi chanjo zimetolewa kwa kibali maalumu cha dharura (Emergency approval). Hivi chanjo zikihakikiwa zitakuwa za lazima kama zitakuwa zinaamukiza watu wengine au watoto. Ni kama vile chanjo za surua ni za lazima sio hiari na baada ya muda tutaenda huko kama huu ugojwa hautaondoka kabisa. Mfano hizi chanjo haziruhusiwi kwa watoto lakini watoto wanaanza kuumwa sasa kusema Nesi asipige chanjo wakati anahudimia watoto ni ujinga! ni huyo nesi achague kazi yake au chanjo
 
Nimeona na USA MZee Biden katangaza watumishi wooote wa Umma kuwa lazima wachanjwe!

Mbongo hajawahi kushindwa figisu yoyote ile wewe.....!

Muda si mrefu naanza kuuza vyeti (orijino) vya kuonyesha umechanjwa J&J, hata kama watalazimisha kutuwekea "chip" nitamwaga chanjo zao kukuchoma maji tu na chip nitakuwekea.

karibu sana pm!
Wazo lako zuri lakutengeneza vyeti OG nimelipenda.
 
Chanjo zenyewe imeletwa ili kupata hela za wazungu na wanaotaka kusafiri wachanjwe ili waendelee na shughuli zao, hivi wewe unavyoona serikali ipo serious na corona kiasi cha kufanya kama huko France?
Serikali yenyewe bado haiamini kama chanjo zinafaa au laa ndo maana wanakupa na form ya "likikupata hilo ni la kwako tusijuane"
 
Nimeona na USA MZee Biden katangaza watumishi wooote wa Umma kuwa lazima wachanjwe!

Mbongo hajawahi kushindwa figisu yoyote ile wewe.....!

Muda si mrefu naanza kuuza vyeti (orijino) vya kuonyesha umechanjwa J&J, hata kama watalazimisha kutuwekea "chip" nitamwaga chanjo zao kukuchoma maji tu na chip nitakuwekea.

karibu sana pm!

Available

20210729_211143.jpg

View attachment 1873336
 
Back
Top Bottom