Haya mambo ya kipindi cha dhiki kuu wasabato wameyafundisha tangu miaka mingi sana, nafikiri udhihirisho wake ndo unaanza hivyo. Kwa sisi tunaomtumainia Mungu Mwenyezi ni kujiaandaa kwenda kuishi milimani, tutakula nini Mungu ndo anajua.........ila imeandikwa atakayevumilia hadi mwisho ndo ataokoka.........soma mwenyewe mistari kutoka ufunuo wa Yohanna..............
13.16 Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao;
13.17 tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.
13.18 Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.