Ufaransa: Rais Macron na mkewe wavamiwa na waandamanaji

Ufaransa: Rais Macron na mkewe wavamiwa na waandamanaji

Hawa jamaa huwa wapole na wastaarabu sana ndio maana hamna fujo? au sababu ndio wenye nchi?...[emoji3][emoji3][emoji3]
Hahah msome huyo jamaa hapo chini ndipo utawaelewa vzr,inshort ni viumbe flani hivi complicated.
tapatalk_1577354951190.jpeg


dodge
 
Wazungu wanafiki sana enzi za Gadaff wafaransa walianza kumwambia atoke asishambullie wananchi had wakaenda toa supporrt

Hakuna watu wabaya kama hawa duniani
Yale ya kimbari ni wao walitoa mbinu za mauwaji yote
Yaani wana roho mbaya sana hawa watu ni viherehere haswa


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Nimeona huko west Africa wananchi wameandamana wanasema hawawataki wanajeshi wa France nchini kwao,nikaona kidogo waafrica tumeanza kupata akili.
Hakuna watu wabaya kama hawa duniani
Yale ya kimbari ni wao walitoa mbinu za mauwaji yote
Yaani wana roho mbaya sana hawa watu ni viherehere haswa


Sent from my iPhone using Tapatalk

dodge
 
Kwanza mshukuru Mungu that ur black. And we blacks, babu zetu wali fight sana kuliko hiyo takataka ya french Revolution kipindi cha uvamizi wa wakoloni, lakini historia unayoisoma darasani haikuzungumzia haya, na hivyo kupotosha ukweli.

Nawapenda sana wafaransa,hawanaga shobo na maraisi.Wao ukichemsha muhula mmoja tu bye bye.Sarkozy muhula mmoja,Hollande muhula mmoja,Valéry d'estaing muhula mmoja.
Hawa wamerithi damu za babu wa babu zao tokea FRENCH REVOLUTION 1789-1790.
I wish ningekuwa mfaransa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona huko west Africa wananchi wameandamana wanasema hawawataki wanajeshi wa France nchini kwao,nikaona kidogo waafrica tumeanza kupata akili.

dodge
Tatizo la msingi ni vikundi vya kigaidi vinaua watu karibia kila siku afu wanataka maaskari wa ufaransa wafanye kila kitu, wangekuwa na akili vizuri wangeandamana kuwatoa mamlakani viongozi wao ambao wameshindwa kuzuia uhalifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la msingi ni vikundi vya kigaidi vinaua watu kila siku afu wanataka maaskari wa ufaransa ifanye kila kitu, wangekuwa na akili vizuri wangeandamana kuwatoa mamlakani viongozi wao ambao wameshindwa kuzuia uhalifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini nchi almost zote zilizotawaliwa na France zina furugu au zimepitia vurugu sana?

dodge
 
Acha ku wish upuuzi na kupenda mambo/watu wasiopendeka. Kwanza mshukuru Mungu that ur black. And we blacks, babu zetu wali fight sana kuliko hiyo takataka ya french Revolution kipindi cha uvamizi wa wakoloni, lakini historia unayoisoma darasani haikuzungumzia haya, na hivyo kupotosha ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
I am French. That's my choice.
 
Back
Top Bottom