Ufaransa: Rais Macron na mkewe wavamiwa na waandamanaji

Ufaransa: Rais Macron na mkewe wavamiwa na waandamanaji

Kwanini nchi almost zote zilizotawaliwa na France zina furugu au zimepitia vurugu sana?

dodge
Kwa nchi zilizotawaliwa na French nje ya Africa hazina shida yoyote, shida siyo utawala wa Wafaransa kwani ugaidi huu umeota sugu hata Nigeria ambayo haikutawaliwa na Mfaransa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nataka kwa wababe wa ulaya kwenye kutokuendeshwa na viongozi. France hawana uchama chama. Ukiharibu kiongozi ni out. London kwa hao wanaoamini Queen Elizabeth wakati wafaransa walimkata kichwa King Louis 16.
Lakini queen hahusiki kwenye mambo ya executive.. Pamoja na hayo London pia hawapelekeshwi na viongozi.... I prefer London.. Twenzetu ukacheki mastaa unaowaona mitandaoni
 
Nawapenda sana wafaransa,hawanaga shobo na maraisi.Wao ukichemsha muhula mmoja tu bye bye.Sarkozy muhula mmoja,Hollande muhula mmoja,Valéry d'estaing muhula mmoja.
Hawa wamerithi damu za babu wa babu zao tokea FRENCH REVOLUTION 1789-1790.
I wish ningekuwa mfaransa.
Huku kwetu ukifika tu posta wamekuzingira na kukufanya kitoweo virungu vya magotini

Sent using [iPhone 11Pro Max
 
Back
Top Bottom