Hahah msome huyo jamaa hapo chini ndipo utawaelewa vzr,inshort ni viumbe flani hivi complicated.Hawa jamaa huwa wapole na wastaarabu sana ndio maana hamna fujo? au sababu ndio wenye nchi?...[emoji3][emoji3][emoji3]
unatetea police violence.Mbona hata maandamano ya huko France(Yellow Vest) watu kibao wameuwawa,wengine wamejeruhiwa kwa kichapo ila sababu ni wazungu media haziwashikii bango kihiiivyo.
dodge
Malizia phrase hiyo.wanaobishana na wewe lait wangejua kuwa .......................
Kuwa uko France unaongea kitu unachokijua in and outMalizia phrase hiyo.
Mbona hata maandamano ya huko France(Yellow Vest) watu kibao wameuwawa,wengine wamejeruhiwa kwa kichapo ila sababu ni wazungu media haziwashikii bango kihiiivyo.
dodge
Wazungu wanafiki sana enzi za Gadaff wafaransa walianza kumwambia atoke asishambullie wananchi had wakaenda toa supporrtHilo nalo neno
Kuna mmoja walimtoa na jicho kabisa wengine kufa
Sent from my iPhone using Tapatalk
Wazungu wanafiki sana enzi za Gadaff wafaransa walianza kumwambia atoke asishambullie wananchi had wakaenda toa supporrt
Hilo nalo neno
Kuna mmoja walimtoa na jicho kabisa wengine kufa
Sent from my iPhone using Tapatalk
Hakuna watu wabaya kama hawa duniani
Yale ya kimbari ni wao walitoa mbinu za mauwaji yote
Yaani wana roho mbaya sana hawa watu ni viherehere haswa
Sent from my iPhone using Tapatalk
Nimeona huko west Africa wananchi wameandamana wanasema hawawataki wanajeshi wa France nchini kwao,nikaona kidogo waafrica tumeanza kupata akili.
dodge
Waafrika ndo wezi na makatili zaidiiSafi sana
Mzungu zaidi ya wizi hana faida yoyote na sisi
What a good news
Sent from my iPhone using Tapatalk
Kweli kabisa mkuu.Safi sana
Mzungu zaidi ya wizi hana faida yoyote na sisi
What a good news
Sent from my iPhone using Tapatalk
Nawapenda sana wafaransa,hawanaga shobo na maraisi.Wao ukichemsha muhula mmoja tu bye bye.Sarkozy muhula mmoja,Hollande muhula mmoja,Valéry d'estaing muhula mmoja.
Hawa wamerithi damu za babu wa babu zao tokea FRENCH REVOLUTION 1789-1790.
I wish ningekuwa mfaransa.
Tatizo la msingi ni vikundi vya kigaidi vinaua watu karibia kila siku afu wanataka maaskari wa ufaransa wafanye kila kitu, wangekuwa na akili vizuri wangeandamana kuwatoa mamlakani viongozi wao ambao wameshindwa kuzuia uhalifu.Nimeona huko west Africa wananchi wameandamana wanasema hawawataki wanajeshi wa France nchini kwao,nikaona kidogo waafrica tumeanza kupata akili.
dodge
Kwanini nchi almost zote zilizotawaliwa na France zina furugu au zimepitia vurugu sana?Tatizo la msingi ni vikundi vya kigaidi vinaua watu kila siku afu wanataka maaskari wa ufaransa ifanye kila kitu, wangekuwa na akili vizuri wangeandamana kuwatoa mamlakani viongozi wao ambao wameshindwa kuzuia uhalifu.
Sent using Jamii Forums mobile app
I am French. That's my choice.Acha ku wish upuuzi na kupenda mambo/watu wasiopendeka. Kwanza mshukuru Mungu that ur black. And we blacks, babu zetu wali fight sana kuliko hiyo takataka ya french Revolution kipindi cha uvamizi wa wakoloni, lakini historia unayoisoma darasani haikuzungumzia haya, na hivyo kupotosha ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sipo Ufaransa. Ila nasoma tu kwenye internet.Kuwa uko France unaongea kitu unachokijua in and out
I am French. That's my choice.
I dont care.Hapa wazungu wakisikia hivi hubaki kucheka tu hiiiiii[emoji23][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]
Sent using Jamii Forums mobile app