permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Kwa nchi zilizotawaliwa na French nje ya Africa hazina shida yoyote, shida siyo utawala wa Wafaransa kwani ugaidi huu umeota sugu hata Nigeria ambayo haikutawaliwa na Mfaransa.Kwanini nchi almost zote zilizotawaliwa na France zina furugu au zimepitia vurugu sana?
dodge
Ushapata visaKubali kutokukubaliana. Haina haja ya kutuita wajinga sisi pro Gaul.
Bado,nitakwenda kwa Imani. Kwani visa wanapataje ? Nisaidie basi.Ushapata visa
Huko Paris hapakufai... Twende LondonBado,nitakwenda kwa Imani. Kwani visa wanapataje ? Nisaidie basi.
Mimi nataka kwa wababe wa ulaya kwenye kutokuendeshwa na viongozi. France hawana uchama chama. Ukiharibu kiongozi ni out. London kwa hao wanaoamini Queen Elizabeth wakati wafaransa walimkata kichwa King Louis 16.Huko Paris hapakufai... Twende London
Lakini queen hahusiki kwenye mambo ya executive.. Pamoja na hayo London pia hawapelekeshwi na viongozi.... I prefer London.. Twenzetu ukacheki mastaa unaowaona mitandaoniMimi nataka kwa wababe wa ulaya kwenye kutokuendeshwa na viongozi. France hawana uchama chama. Ukiharibu kiongozi ni out. London kwa hao wanaoamini Queen Elizabeth wakati wafaransa walimkata kichwa King Louis 16.
Kwakuwa umekataa basi ngija nisikatae lakini ukweli unaujuaHapana sipo Ufaransa. Ila nasoma tu kwenye internet.
Huku kwetu ukifika tu posta wamekuzingira na kukufanya kitoweo virungu vya magotiniNawapenda sana wafaransa,hawanaga shobo na maraisi.Wao ukichemsha muhula mmoja tu bye bye.Sarkozy muhula mmoja,Hollande muhula mmoja,Valéry d'estaing muhula mmoja.
Hawa wamerithi damu za babu wa babu zao tokea FRENCH REVOLUTION 1789-1790.
I wish ningekuwa mfaransa.