Ufaransa waanza kulialia kwa Uingereza kama jinsi majirani zetu wanatulilia sisi Wakenya

Ufaransa waanza kulialia kwa Uingereza kama jinsi majirani zetu wanatulilia sisi Wakenya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Jameni ifahamike corona imebadilisha dunia na hatuishi kwa mazoea tena, hili linapaswa kuwa somo kwa majirani zetu wanaotulilia sana, hatuwachukii wala kuwadharau, ila ni mwendo wa tahadhari tu, tumeweka afya ya Wakenya kama kipaumbele.

Ufaransa wameapa kulipiza kisasi kwa Uingereza maana hao Waingereza wameweka Wafaransa kwenye alama nyekundu kwa sababu wengi wanaoingia wakitokea Ufaransa kila wakipimwa wanakutwa wamesheni kirusi, licha ya Ufaransa kudai kwamba iliwapima huko kwao kabla kuondoka.

Tunayaona pia kwa majirani zetu wa kusini, wanataka waje tu hivi hivi tusiwapime eti watuonyeshe tu vijikaratasi vimeandikwa hawana corona ilhali wakipimwa wanakutwa nacho, poleni ndugu zetu, hii corona imetia ukuta baina ya ndugu hamna namna, hizi nyakati zilitabiriwa na zinatimia.

Mchina katafuna popo huko maporini na kuivuruga dunia, tunakwenda tu hivi hivi hamna jinsi.

=======

France will impose tit-for-tat quarantine restrictions on travel from UK this week as ministers consider dual testing at airports to slash self-isolation from 14 days to five amid fears Greece, Switzerland and Czech Republic are heading for the red list
  • Current quarantine rules for 'red list' countries require 14 day self-isolation
  • But ministers are being urged to implement testing on arrival at UK airports
  • Would see people tested on arrival and again between three to five days later
  • France today signalled intends to impose reciprocal quarantine measures on UK
The French government will this week agree to impose reciprocal quarantine restrictions on travel from the UK as ministers face growing pressure to reduce the 14 day self-isolation period.

Britain added France to its 'red list' of banned countries on August 15 after a spike in coronavirus cases.

All travellers returning from the country to the UK must stay at home for a fortnight and Paris is now poised to impose its own similar restrictions on people heading in the opposite direction.

Quarantine could be slashed by more than half to just FIVE days
 
Tuwalilie kwa kipi sasa?

Screenshot_20200824-094853.jpg

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
MK254,

Mkuu una chuki sana na Tz. Shida ni nini kwani tukusaidie kidogo kha si kwa upupu huu.

Jipende utafanikiwa kuwapenda jirani. Tz don't need Kenya but Kenya needs Tz period!

Umekasirika kwani? Ukweli mchungu

Tuache na yetu buaaana Acha kutuzingua kila siku jirani hivi jirani vile njoo uoe upunguze ghadhabu unakera sana!
 
Mkuu una chuki sana na Tz
Shida ni nini kwani tukusaidie kidogo kha si kwa upupu huu

Jipende utafanikiwa kuwapenda jirani
Tz don't need Kenya but Kenya needs Tz period!

Umekasirika kwani? Ukweli mchungu
Tuache na yetu buaaana Acha kutuzingua kila siku jirani hivi jirani vile njoo uoe upunguze ghadhabu unakera sana!

Hehehe nimeipenda avatar yako kama ndiye wewe.

Anyway siwachukii wala sina tatizo na nyie watu, ila issue yangu ni mnavyotaka kulazimisha kuja huku bila kupimwa ilhali kwenu huko mlishaachia mapambano.
 
umeanza lini kujilinganisha na UK au kisa ulitawaliwa nayo[emoji38][emoji38][emoji38]
 
MK254,

Njoo bc tz uone. Tatizo lenu mnaakili ya kuiga kila kitu. Nasikia malimao bei gari sana huko? Vipi jamaa wamerudisha pesa za Corona zilizokwapuliwa?

Kwahiyo unategemea TZ itaspike na huku? Huku sisi ni mwendo wa Mungu mbele, shauri zako, nyie endeleeni kuwafungia watu hivyo hivyo, sisi ibaada kama kawa, shughuli zingine kama kawa.

KE wivu unawasumbua sana, kama haujui economic intelligence, endelea kupopoma hivyo hivyo.
 
MK254,

Mkuu una chuki sana na Tz. Shida ni nini kwani tukusaidie kidogo kha si kwa upupu huu
Jipende utafanikiwa kuwapenda jirani. Tz don't need Kenya but Kenya needs Tz period!

Umekasirika kwani? Ukweli mchungu

Tuache na yetu buaaana Acha kutuzingua kila siku jirani hivi jirani vile njoo uoe upunguze ghadhabu unakera sana!
Pakawa unapayuka sana.
 
acha kutumia neno WOTE inapotokea mnataabika wakenya[emoji23][emoji23]

Hamna aliyepona kwa hiki kirusi duniani kote, kwa walioficha na pia wanaonika, waulize wakuu wenu hapo Afrika Kusini kinavyowabamiza.
 
Hehehe nimeipenda avatar yako kama ndiye wewe.

Anyway siwachukii wala sina tatizo na nyie watu, ila issue yangu ni mnavyotaka kulazimisha kuja huku bila kupimwa ilhali kwenu huko mlishaachia mapambano.
Kuna Mtz gani umemuona analilia kuja Kenya?! Nyinyi bado hamjamuelewa Magu atafurumusha vinyang'au vyenu huku virudi huko ndio mtajua nani ana shida na mwenzie.
 
Nyie ndo mnaohangaika na Tanzania.
Sababu kama kufa mnakufaa nyie na corona na kuumwa mnaumwa nyie na corona .cha ajabu nyie ndo mnakuwa wa kwanza kutubagua sisi watanzania kuwa tuna corona tutawaambukiza nyie.hivi nyie mna akili kweli?

Kati ya Tanzania na kenya wapi kuna corona?.
Mnatafuta sehemu ya kujifichia?
Mnalia Kila siku hapa Kenyan news and politics [emoji16] hata ramani hii inaonyesha ukweli [emoji23]
View attachment 1546845View attachment 1546845
Screenshot_20200824-094853.jpg

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Hamna aliyepona kwa hiki kirusi duniani kote, kwa walioficha na pia wanaonika, waulize wakuu wenu hapo Afrika Kusini kinavyowabamiza.
Tujifunze tu kuishi na hizi tofauti zetu mpya. Kwamba Mtanzania akileta pua yake Kenya basi atalazimika kukaa quarantine, hali kadhalika KQ ikubaliane na hali tu kuwa haitakiwi kuleta mabawa yake Tanzania.

Tutazoea tu
 
Back
Top Bottom