Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawawezi kuwa wakuu wetu maana hatukuwaiga mbinu ya kupambana na corona. wao nao walitumia njia za kimbuzi kama zenu.
Tujifunze tu kuishi na hizi tofauti zetu mpya. Kwamba Mtanzania akileta pua yake Kenya basi atalazimika kukaa quarantine, hali kadhalika KQ ikubaliane na hali tu kuwa haitakiwi kuleta makalio yake Tanzania.
Tutazoea tu
Maskini ninyie mnaotegemea vyakula vya msaada, alafu Wakenya wengi mnaupungufu yaani kupambana na corona kwa njia tofauti na waume zenu ndo mnadai ni kujichokea.Dunia hii kuna mbnu mbili za kupambana na corona, aidha kisayansi au kujichokea kwa umaskini, nje ya hapo hamna nyingine.
Haya ni maneno ya mkosaji laiti kama wangekua wanajali afya zenu wasingehaha vile walipopgwa ban kuja TZ, endeleeni kujifariji kwa maneno ya khanga huku mkisubiri hatma yenu toka TZ.Hii freshi sana maana kwa sasa serikali ya Kenya inapaswa kuweka kipau mbele afya yetu, hatupaswi tutiwe rehani kisa mindege kwenda Dar.
ObsessionTunayaona pia kwa majirani zetu wa kusini
He is paid for that, an imperialist stooge.MK254,
Mkuu una chuki sana na Tz. Shida ni nini kwani tukusaidie kidogo kha si kwa upupu huu
Jipende utafanikiwa kuwapenda jirani. Tz don't need Kenya but Kenya needs Tz period!
Umekasirika kwani? Ukweli mchungu
Tuache na yetu buaaana Acha kutuzingua kila siku jirani hivi jirani vile njoo uoe upunguze ghadhabu unakera sana!
Sisi hatuna mpango na nyinyi kabisaa!! Wala hatupati hasara yoyote kutokuja kwenu huko ndiyo maana tumeipiga stop KQ kuja kwetu nyinyi ndiyo mnalialia tuuu!!Hehehe nimeipenda avatar yako kama ndiye wewe.
Anyway siwachukii wala sina tatizo na nyie watu, ila issue yangu ni mnavyotaka kulazimisha kuja huku bila kupimwa ilhali kwenu huko mlishaachia mapambano.
Eti nje ya hapo hakuna, [emoji1787], that's according to an ordinary Kenyan. Nonsense from nobody.Dunia hii kuna mbnu mbili za kupambana na corona, aidha kisayansi au kujichokea kwa umaskini, nje ya hapo hamna nyingine.
DefinitelyHe is paid for that, an imperialist stooge.
Sonko ana akili sana kuliko weweView attachment 1546905
Viongozi ndio wanabaguana Mkuu, Mimi nimekubagua kwa njia ipi?Nyie ndo mnaohangaika na Tanzania.
Sababu kama kufa mnakufaa nyie na corona na kuumwa mnaumwa nyie na corona, cha ajabu nyie ndo mnakuwa wa kwanza kutubagua sisi Watanzania kuwa tuna corona tutawaambukiza nyie, hivi nyie mna akili kweli?
Kati ya Tanzania na kenya wapi kuna corona?
Mnatafuta sehemu ya kujifichia?View attachment 1546849
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Ukiwa katika mada za Tz vs Kenya achana na siasa zetu za ndani.Ha ha haa, eti Tanzania kuna Corona, hivi kungekuwa na corona ni nani angethubutu kwenda uwanjani, bila hata barakoa? Hivi wanasiasa wa upinzani kama Lissu au Zitto unafikiri wangekaa kimya?
Wakenya endeleeni kujifungia mtapata mnachokitafuta[emoji3][emoji3][emoji3]
haya ni maneno ya mkosaji laiti kama wangekua wanajali afya zenu wasingehaha vile walipopgwa ban kuja TZ, endeleeni kujifariji kwa maneno ya khanga huku mkisubiri hatma yenu toka TZ