Ufaransa waanza kulialia kwa Uingereza kama jinsi majirani zetu wanatulilia sisi Wakenya

Ufaransa waanza kulialia kwa Uingereza kama jinsi majirani zetu wanatulilia sisi Wakenya

OK najua habari unayo..
554 mna mpango gani na corona?
Viongozi ndio wanabaguana Mkuu, Mimi nimekubagua kwa njia ipi?
Screenshot_20200825-032742.jpg

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
He is paid for that, an imperialist stooge.

Afu wewe na huyo Hoshea mbona huwa mnashindwa kujadili hoja humu mnaishia kunijadili, ningekua nalipwa vipesa kama nyie mataga wa Lumumba humu mbona mngekoma ubishi.

Kunao huwa tunaanzisha nyuzi kwa kusudi la kuibua hoja baina ya Watz na Wakenya, ila hautaona tukianzisha zenye chuki kama mnavyofanya, soma hizi nyuzi za mataga wenzio hapa chini ambazo mnakua wepesi wa kulalamika sisi tukianzisha ila nyie mnakua huru kutupia chochote, naomba kwenye hizi nyuzi badilisha kila neno Kenya na liwe Tanzania kisha ujiulize tukianzisha nyuzi kama hizi haitokuja mkeshe humu mkilialia, hizi tu ni baadhi.

Hawa Wakenya ni kuendelea kuwafinya tu
Rais Uhuru Kenyatta, kiongozi dhaifu kuwahi kutokea Kenya
Vi-wonder vya Kenya
Anguko la kiuchumi KENYA - Anguko la kiuchumi KENYA, Shirika la fedha kukutana na serikali ya Kenya
Kipindupindu Kenya ni suala mtambuka?
 
Afu wewe na huyo Hoshea mbona huwa mnashindwa kujadili hoja humu mnaishia kunijadili, ningekua nalipwa vipesa kama nyie mataga wa Lumumba humu mbona mngekoma ubishi.

Kunao huwa tunaanzisha nyuzi kwa kusudi la kuibua hoja baina ya Watz na Wakenya, ila hautaona tukianzisha zenye chuki kama mnavyofanya, soma hizi nyuzi za mataga wenzio hapa chini ambazo mnakua wepesi wa kulalamika sisi tukianzisha ila nyie mnakua huru kutupia chochote, naomba kwenye hizi nyuzi badilisha kila neno Kenya na liwe Tanzania kisha ujiulize tukianzisha nyuzi kama hizi haitokuja mkeshe humu mkilialia, hizi tu ni baadhi

Hawa Wakenya ni kuendelea kuwafinya tu
Rais Uhuru Kenyatta, kiongozi dhaifu kuwahi kutokea Kenya
Vi-wonder vya Kenya
Anguko la kiuchumi KENYA - Anguko la kiuchumi KENYA, Shirika la fedha kukutana na serikali ya Kenya
Kipindupindu Kenya ni suala mtambuka?
Zamani nilikuwa Sina chuki na wewe...nilikuona Kama any other nyang'au kwa majigambo, majivuno na ujivuni pamoja na wivu "wa like"Lakini pale ulipoanza kupost Mambo ya Corona huku ukiombea Watz wafe kwa Corona na kufurahia makaburi Yale ya Kinondoni ukisema hao ndio waliokufa kwa Corona na mkaombea uwepo wa maiti zaidi then I saw a devil inside you. Chuki ya dhati kwako ilianzia hapo.
 
Zamani nilikuwa Sina chuki na wewe...nilikuona Kama any other nyang'au kwa majigambo, majivuno na ujivuni pamoja na wivu "wa like"...Lakini pale ulipoanza kupost Mambo ya Corona huku ukiombea Watz wafe kwa Corona na kufurahia makaburi Yale ya Kinondoni ukisema hao ndio waliokufa kwa Corona na mkaombea uwepo wa maiti zaidi then I saw a devil inside you...chuki ya dhati kwako ilianzia hapo..

Hebu onyesha hapa bango hata moja hivi la mimi nikifurahia uwepo wa corona Tanzania, au hata kufurahia hayo unaita makaburi, fahamu sisi huwa hatuna roho nyeusi kama mlivyo, huko mna sifa za kuwachinja albino mkisaka utajiri na ushindi wa kura.
Taarifa zote ambazo huwa nazileta humu huwa naweka na chanzo kabisa, na huwa naziweka kama zilivyo.

Mambo ya corona wala hatuna haja na jinsi mumeamua kujichokea huko, almradi hamlazimishi kuingia kwa mataifa majirani bila kupimwa, nchi yenu ni huru na hata mkiamua kujifia huko hakuna atakayewasema, ila pale mnataka mvuke mipaka, lazima mfahamu majirani zenu wote wamechukulia afya ya raia zao kama kipau mbele, hivyo lazima mpimwe.

Huo ubabe wa kuzuia ndege zetu mkilazimisha serikali yetu itutie rehani mtasubiri sana maana kwetu hapa tunaongozwa kwa misingi ya katiba, rais hana uwezo wa kutia maisha yetu rehani na kuwakubalia mje mtakavyo eti ndio mruhusu mindege, hata bila ya hizo ndege bado uchumi wetu unaelekea kuwa mara mbili ya wenu.
 
A very stupid comment. Let me ask you one question: hivi ukipata habari kutoka source Fulani inayosema so and so ambao ni wazazi wa MK254 wamedaiwa kumkamata albino mmoja huko na kumuuza je hiyo habari utaisambaza na kuweka chanzo chake?
 
Yeah kama ni wenye roho nyeusi kiasi hicho nawaanika tu, hamna kitu cha hovyo kama kuficha vichwa ardhini, hayo matatizo ya kuchinja albino yako kwenu sana sijui nani aliwalaani nyie watu.
 
Jameni ifahamike corona imebadilisha dunia na hatuishi kwa mazoea tena, hili linapaswa kuwa somo kwa majirani zetu wanaotulilia sana, hatuwachukii wala kuwadharau, ila ni mwendo wa tahadhari tu, tumeweka afya ya Wakenya kama kipaumbele.

Ufaransa wameapa kulipiza kisasi kwa Uingereza maana hao Waingereza wameweka Wafaransa kwenye alama nyekundu kwa sababu wengi wanaoingia wakitokea Ufaransa kila wakipimwa wanakutwa wamesheni kirusi, licha ya Ufaransa kudai kwamba iliwapima huko kwao kabla kuondoka.

Tunayaona pia kwa majirani zetu wa kusini, wanataka waje tu hivi hivi tusiwapime eti watuonyeshe tu vijikaratasi vimeandikwa hawana corona ilhali wakipimwa wanakutwa nacho, poleni ndugu zetu, hii corona imetia ukuta baina ya ndugu hamna namna, hizi nyakati zilitabiriwa na zinatimia.

Mchina katafuna popo huko maporini na kuivuruga dunia, tunakwenda tu hivi hivi hamna jinsi.

=======

France will impose tit-for-tat quarantine restrictions on travel from UK this week as ministers consider dual testing at airports to slash self-isolation from 14 days to five amid fears Greece, Switzerland and Czech Republic are heading for the red list
  • Current quarantine rules for 'red list' countries require 14 day self-isolation
  • But ministers are being urged to implement testing on arrival at UK airports
  • Would see people tested on arrival and again between three to five days later
  • France today signalled intends to impose reciprocal quarantine measures on UK
The French government will this week agree to impose reciprocal quarantine restrictions on travel from the UK as ministers face growing pressure to reduce the 14 day self-isolation period.

Britain added France to its 'red list' of banned countries on August 15 after a spike in coronavirus cases.

All travellers returning from the country to the UK must stay at home for a fortnight and Paris is now poised to impose its own similar restrictions on people heading in the opposite direction.

Quarantine could be slashed by more than half to just FIVE days
Tutaheshimiana tu. Tutaona nani anamwangukia mwenzake na nani anaiga kwa mwenzake
 
Yeah kama ni wenye roho nyeusi kiasi hicho nawaanika tu, hamna kitu cha hovyo kama kuficha vichwa ardhini......hayo matatizo ya kuchinja albino yako kwenu sana sijui nani aliwalaani nyie watu.
Kama ni matukio ya kushangaza Kenya ndiyo inaongoza...taarifa za kunajisi mbuzi, kuku, ng'ombe na wanyama zimekuwa zikisikika kutoka huko Kenya katika maeneo Kama Kakamega na kwingineko...tumesikia pia matendo ya 'night walkers' au mnaowaita wachawi...matukio ya kulawiti watoto wa miaka hata minne husikika kutoka Kenya...a rotten society indeed...If you don't know waliokuwa wakiwashughulikia albino Wakenya pia walikuwemo pamoja pia na mbinu za wizi kwenye mabenki ya TZ.
 
Tutaheshimiana tu. Tutaona nani anamwangukia mwenzake na nani anaiga kwa mwenzake
Tukirudi hapa nyumbani,, kwa maoni yangu sidhani kama kutatokea siku yoyote chini ya jua nchi ya Kenya itawai kuiiga Tanzania.
hapo Kenya itakuwa imejishusha hadhi na heshma sana.
 
Kama ni matukio ya kushangaza Kenya ndiyo inaongoza...taarifa za kunajisi mbuzi, kuku, ng'ombe na wanyama zimekuwa zikisikika kutoka huko Kenya katika maeneo Kama Kakamega na kwingineko...tumesikia pia matendo ya 'night walkers' au mnaowaita wachawi...matukio ya kulawiti watoto wa miaka hata minne husikika kutoka Kenya...a rotten society indeed...If you don't know waliokuwa wakiwashughulikia albino Wakenya pia walikuwemo pamoja pia na mbinu za wizi kwenye mabenki ya TZ..

Bora nigegede au ninajisi mbuzi, bata, kuku na vyote kuliko huo ujinga wenu wa kutafuna minofu ya albino, hatari sana nyie dunia hii ndio nchi pekee ambako albino wanaliwa. Na ndio maana mnajikuta mkilaaniwa mnabaki kuwa maskini miaka yote hii licha ya kuwa na raslimali za kila aina.
 
Trully you are a master of information spin, ulisikia wapi albino analiwa?
 
MK254,

Mkuu una chuki sana na Tz. Shida ni nini kwani tukusaidie kidogo kha si kwa upupu huu.

Jipende utafanikiwa kuwapenda jirani. Tz don't need Kenya but Kenya needs Tz period!

Umekasirika kwani? Ukweli mchungu

Tuache na yetu buaaana Acha kutuzingua kila siku jirani hivi jirani vile njoo uoe upunguze ghadhabu unakera sana!
Hili jamaa sio li kenya ni mtu yupo apo nyakananzi peimary school. Ila hapa JF amejipachika uraia wa kenya ....indicators za kumtambua zipo nyingi mkuu embu mchunguze vizuri. Ni anti-magu
 
Dunia hii kuna mbnu mbili za kupambana na corona, aidha kisayansi au kujichokea kwa umaskini, nje ya hapo hamna nyingine.
Umesema.umaskini? Au nimesikia vby. Nani maskini kat ya ke na tz kama unajua? Unadhani kuwa tuna GDP kubwa ndo kipimo cha utajiri wa nchi au mtu mmoja mmoja? Rud class upya. Hata kama hatupendi inabid tukubaliane na hali iliyo wwnzetu wametuzid haswa kwwnye hili la corona. Huo ndo ukweli mchungu
 
Hii freshi sana maana kwa sasa serikali ya Kenya inapaswa kuweka kipau mbele afya yetu, hatupaswi tutiwe rehani kisa mindege kwenda Dar.
Ndege zetu zilizuiwa kwenda sio kwamba sisi ndio tuliamua kutozipeleka. Just be fair
 
Umesema.umaskini? Au nimesikia vby. Nani maskini kat ya ke na tz kama unajua? Unadhani kuwa tuna GDP kubwa ndo kipimo cha utajiri wa nchi au mtu mmoja mmoja? Rud class upya. Hata kama hatupendi inabid tukubaliane na hali iliyo wwnzetu wametuzid haswa kwwnye hili la corona. Huo ndo ukweli mchungu

Kha! Unahoji mambo ya umaskini baina yetu, nyie ambao tuko karibia kuwapiga double double mnapata wapi jeuri ya kuhoji.
 
Kenya wameweka korona kama mradi wa kujipatia fedha zinazotafunwa na wachache huku maskini wengi wa taifa ilo wakifa njaa, taifa la Tanzania limeamua kupambana na kuimaliza korona na imekua nafuu kwani shughuli zote zinaendelea kama kawaida.

Shida inakuja pale ambapo Kenya imeweka korona kama kitegauchumi kwa hiyo haiwezi kukubali kwamba korona haipo au imeisha Tanzania kwa sababu itawaaribia kupata misaada yaani iweje Tanzania korona hakuna alafu kenya ipo haitaingia akilini ivyo kenya lazima ikazie korona ipo hivyo kisababisha maelewano kupotea ila hii yote inasabishwa na ujinga wa kenya na uvivu wao wa kufikiri
 
Back
Top Bottom