Ufaransa waanza kulialia kwa Uingereza kama jinsi majirani zetu wanatulilia sisi Wakenya

He is paid for that, an imperialist stooge.

Afu wewe na huyo Hoshea mbona huwa mnashindwa kujadili hoja humu mnaishia kunijadili, ningekua nalipwa vipesa kama nyie mataga wa Lumumba humu mbona mngekoma ubishi.

Kunao huwa tunaanzisha nyuzi kwa kusudi la kuibua hoja baina ya Watz na Wakenya, ila hautaona tukianzisha zenye chuki kama mnavyofanya, soma hizi nyuzi za mataga wenzio hapa chini ambazo mnakua wepesi wa kulalamika sisi tukianzisha ila nyie mnakua huru kutupia chochote, naomba kwenye hizi nyuzi badilisha kila neno Kenya na liwe Tanzania kisha ujiulize tukianzisha nyuzi kama hizi haitokuja mkeshe humu mkilialia, hizi tu ni baadhi.

Hawa Wakenya ni kuendelea kuwafinya tu
Rais Uhuru Kenyatta, kiongozi dhaifu kuwahi kutokea Kenya
Vi-wonder vya Kenya
Anguko la kiuchumi KENYA - Anguko la kiuchumi KENYA, Shirika la fedha kukutana na serikali ya Kenya
Kipindupindu Kenya ni suala mtambuka?
 
Zamani nilikuwa Sina chuki na wewe...nilikuona Kama any other nyang'au kwa majigambo, majivuno na ujivuni pamoja na wivu "wa like"Lakini pale ulipoanza kupost Mambo ya Corona huku ukiombea Watz wafe kwa Corona na kufurahia makaburi Yale ya Kinondoni ukisema hao ndio waliokufa kwa Corona na mkaombea uwepo wa maiti zaidi then I saw a devil inside you. Chuki ya dhati kwako ilianzia hapo.
 

Hebu onyesha hapa bango hata moja hivi la mimi nikifurahia uwepo wa corona Tanzania, au hata kufurahia hayo unaita makaburi, fahamu sisi huwa hatuna roho nyeusi kama mlivyo, huko mna sifa za kuwachinja albino mkisaka utajiri na ushindi wa kura.
Taarifa zote ambazo huwa nazileta humu huwa naweka na chanzo kabisa, na huwa naziweka kama zilivyo.

Mambo ya corona wala hatuna haja na jinsi mumeamua kujichokea huko, almradi hamlazimishi kuingia kwa mataifa majirani bila kupimwa, nchi yenu ni huru na hata mkiamua kujifia huko hakuna atakayewasema, ila pale mnataka mvuke mipaka, lazima mfahamu majirani zenu wote wamechukulia afya ya raia zao kama kipau mbele, hivyo lazima mpimwe.

Huo ubabe wa kuzuia ndege zetu mkilazimisha serikali yetu itutie rehani mtasubiri sana maana kwetu hapa tunaongozwa kwa misingi ya katiba, rais hana uwezo wa kutia maisha yetu rehani na kuwakubalia mje mtakavyo eti ndio mruhusu mindege, hata bila ya hizo ndege bado uchumi wetu unaelekea kuwa mara mbili ya wenu.
 
A very stupid comment. Let me ask you one question: hivi ukipata habari kutoka source Fulani inayosema so and so ambao ni wazazi wa MK254 wamedaiwa kumkamata albino mmoja huko na kumuuza je hiyo habari utaisambaza na kuweka chanzo chake?
 
A very stupid comment. Let me ask you one question: hivi ukipata habari kutoka source Fulani inayosema so and so ambao ni wazazi wa MK254 wamedaiwa kumkamata albino mmoja huko na kumuuza je hiyo habari utaisambaza na kuweka chanzo chake?

Yeah kama ni wenye roho nyeusi kiasi hicho nawaanika tu, hamna kitu cha hovyo kama kuficha vichwa ardhini, hayo matatizo ya kuchinja albino yako kwenu sana sijui nani aliwalaani nyie watu.
 
Tutaheshimiana tu. Tutaona nani anamwangukia mwenzake na nani anaiga kwa mwenzake
 
Yeah kama ni wenye roho nyeusi kiasi hicho nawaanika tu, hamna kitu cha hovyo kama kuficha vichwa ardhini......hayo matatizo ya kuchinja albino yako kwenu sana sijui nani aliwalaani nyie watu.
Kama ni matukio ya kushangaza Kenya ndiyo inaongoza...taarifa za kunajisi mbuzi, kuku, ng'ombe na wanyama zimekuwa zikisikika kutoka huko Kenya katika maeneo Kama Kakamega na kwingineko...tumesikia pia matendo ya 'night walkers' au mnaowaita wachawi...matukio ya kulawiti watoto wa miaka hata minne husikika kutoka Kenya...a rotten society indeed...If you don't know waliokuwa wakiwashughulikia albino Wakenya pia walikuwemo pamoja pia na mbinu za wizi kwenye mabenki ya TZ.
 
Tutaheshimiana tu. Tutaona nani anamwangukia mwenzake na nani anaiga kwa mwenzake
Tukirudi hapa nyumbani,, kwa maoni yangu sidhani kama kutatokea siku yoyote chini ya jua nchi ya Kenya itawai kuiiga Tanzania.
hapo Kenya itakuwa imejishusha hadhi na heshma sana.
 

Bora nigegede au ninajisi mbuzi, bata, kuku na vyote kuliko huo ujinga wenu wa kutafuna minofu ya albino, hatari sana nyie dunia hii ndio nchi pekee ambako albino wanaliwa. Na ndio maana mnajikuta mkilaaniwa mnabaki kuwa maskini miaka yote hii licha ya kuwa na raslimali za kila aina.
 
Trully you are a master of information spin, ulisikia wapi albino analiwa?
 
Hili jamaa sio li kenya ni mtu yupo apo nyakananzi peimary school. Ila hapa JF amejipachika uraia wa kenya ....indicators za kumtambua zipo nyingi mkuu embu mchunguze vizuri. Ni anti-magu
 
Dunia hii kuna mbnu mbili za kupambana na corona, aidha kisayansi au kujichokea kwa umaskini, nje ya hapo hamna nyingine.
Umesema.umaskini? Au nimesikia vby. Nani maskini kat ya ke na tz kama unajua? Unadhani kuwa tuna GDP kubwa ndo kipimo cha utajiri wa nchi au mtu mmoja mmoja? Rud class upya. Hata kama hatupendi inabid tukubaliane na hali iliyo wwnzetu wametuzid haswa kwwnye hili la corona. Huo ndo ukweli mchungu
 
Hii freshi sana maana kwa sasa serikali ya Kenya inapaswa kuweka kipau mbele afya yetu, hatupaswi tutiwe rehani kisa mindege kwenda Dar.
Ndege zetu zilizuiwa kwenda sio kwamba sisi ndio tuliamua kutozipeleka. Just be fair
 

Kha! Unahoji mambo ya umaskini baina yetu, nyie ambao tuko karibia kuwapiga double double mnapata wapi jeuri ya kuhoji.
 
Kenya wameweka korona kama mradi wa kujipatia fedha zinazotafunwa na wachache huku maskini wengi wa taifa ilo wakifa njaa, taifa la Tanzania limeamua kupambana na kuimaliza korona na imekua nafuu kwani shughuli zote zinaendelea kama kawaida.

Shida inakuja pale ambapo Kenya imeweka korona kama kitegauchumi kwa hiyo haiwezi kukubali kwamba korona haipo au imeisha Tanzania kwa sababu itawaaribia kupata misaada yaani iweje Tanzania korona hakuna alafu kenya ipo haitaingia akilini ivyo kenya lazima ikazie korona ipo hivyo kisababisha maelewano kupotea ila hii yote inasabishwa na ujinga wa kenya na uvivu wao wa kufikiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…