Sasa Russia yupo Centrafrique tokea 2018.Maisha ya wananchi yamebadilika?Hawakimbilii tena France?Nini kimebadilika pale Bangui zaidi walichofanikiwa ni kumlinda Rais asifanyiwe coup d'état kwa kuyazuia majeshi ya waasi kuteka Bangui.
Central Africa Republic inasikitisha sana. CAR ndiyo ilinifanya niichukie Ufaransa kuliko maelezo wangese wale.
Anzia Bangui ndiyo mji mkuu wa nchi lakini ni kama Lindi iliyo changamka, una mandhari mzuri sana inaypewa uhai na mto Ubangi (Bangi) unaopita kwenye mji huo. Ni mji mkongwe ulioanzishwa na Wafaranza mwaka 1889 kwa umri wa mji huo na ile status ya mji mkuu, hauwezi ukaamini kwa jinsi ulivyo.
Nenda Bamingui, mpakani na Chad,huu mji una mvua za kutosha, misitu, pia mbuga za wanyama, na wana ardhi nzuri kwa kilimo lakini kilimo chao ni cha kujikimu kwa chakula pia kwa wachache angalau kujenga nyumba ya bati. Fika mpaka Sobo, birao mpakani na Dafur, mji umebaki na mahame tu kutokana na vita, ukiwa kule ni kama upo Chipogolo iliyopo Mpwapwa tofauti ni mahame. Nenda Nana Mambere mji safi kabisa wenye kila.
Sogeasogea kama vile unataka kuelekea Cameroon, unakutana na mkoa wa Nana Mambere. Huu badala ya kuwa busy na shughuli za ufugaji na Kilimo, umegeuzwa kuwa mkoa wa Kijeshi, wanajeshi kila mahala, kuanzia wa UN Rwanda na wengineo. Wanajichotea tu madini, CAR ina madini ya kila aina, kuanzia Manganese, dhahabu, uranium, iron ore, copper, almas n.k. Mara nyingi wananchi wakikutwa wanafanya shyghuli za maendeleo kama kilimo na ufugaji huvamiwa na mifugo kuibwa au kuuawa au mazao kuharibiwa na wao kujeruhiwa vibaya. Hii yote ni katika kuwajengea wananchi hofu ya kutumia ardhi yao kufanya shughuli za kimaendeleo na badala yake waishie kuwa manamba tu.
Turudi Bangui, it's very interesting ukikutana na vijana wa Bangui ambaonwana exposure, wengi plans zao hazipo kuendelea kubaki nchini, wengi plans zao ni kwenda Ufaransa, and Ufaransa ameweka vigezo na masharti nafuu sana kwa vijana wa CAD kuingia nchini mwao. Yote hiyo ni mipango ya Ufaransa kuilemaza CAD ikose strong backbone ya vijana wa kuipigania na kuiendeleza ili aendelee kui exploit.
Wanasiasa wa CAD na viongozi wao huandaliwa Paris, ingawa rais wa sasa aliamua kuomba msaada Russia na Putin akampatia Wagner na Wlishaanza kuingia kule. France analitumia sana Jeshi la Rwanda kule CAD, hata huku kwetu ilikua ni Plan ya France kuwapeleka Rwanda kule Capo Delgado. France alijificha nyuma ya European Union kwamba wansipa tender Rwanda kwenda kusimamia Amani Msumbiji, kule behind ilikua Rwanda awe anawa backup wale magaidi ili waanza kutusumbua. Mama alipoingia na kwenda France, deal la PK likabuma.
France ni nchi ya kishenzi sana, ni nchi ambayo binafsi nimeifuta katika nchi ambazo nilitakiwa kutembelea na nitakazotakiwa kwenda, hata mazoea na raia wa ufaransa huwa siyataki.
Kuna siku nilimtamkia msichana wa Kifaransa kuwa kuliko kumla Mfaransa, masturbation is the best option.
Wafaransa, Warusi wote ni Mafala tu.