Ufaransa yakubali masharti ya Israel kuzuia marubani na wahudumu wa ndege kutoka nchi za kiislamu

Ufaransa yakubali masharti ya Israel kuzuia marubani na wahudumu wa ndege kutoka nchi za kiislamu

Ni Bora mara 100,000 uwe mpagani kuliko kuwa muislamu, uislamu kazi yake kuu ni kuhimiza mauaji na ngono.asilimia kubwa ya mahubiri yake ni ngono na kuua watu

Waislamu wanauwawa Palestine Kinyume cha Sheria za UN
Mbona Dunia yenyewe hakuna Haki
Kama ipo kwanini tukio la Gaza Hamas wanatamkwa ni Wavamizi

Wakati kisheria za UN yani Umoja wa Mataifa
Lile eneo lipo tunaodanganywa kwamba wamevamia lipo chini ya Ardhi ya Palestine inayo tambuliwa na UN wenyewe

Ndiomana mliona katibu mkuu wa UN alipata ukakasi kuwaitwa Wapalestina ni Magaidi kwa tukio lile

Sababu Ardhi ya waliopewa Waisrael kwenye MKATABA wa UN kule hakupo kule kote ni eneo la Palestine

UN iyo iyo inatambua Kisheria kuvamia Ardhi ya wengine ni kinyume cha Sheria

Kemaana Waisrael wanaendelea kuvamia Ardhi ya Palestine kinyume cha Sheria

Ivyo kisheria za UN Wapalestina wanaruusiwa kupigania Ardhi yao kwaanjia yoyote ikiwemo VITA
Kukomboa Ardhi yao na kumvukuza Mvamizi kwenye eneo lao!!!

Sasa Vipi Marekani na Israel wanawaita wapigania Ardhi yao wenye kutambuliwa kisheria za Kimataifa kwamba
ni Magaidi ??????

Ndiomana hata Nelson Mandela walimwitwa GAIDI lkn waislamu wa Waarabu walilinga Nelson sio GAIDI wakamsapoti kipesa kijeshi kupambania watu weusi

Ndiomana leo unaona Africa kusini wanaitetea Palestine juzi kati wamemtimua Balozi wa Israel wamempa masaa 72 kuondoka Africa kusini !!!

Wapalestina wapo huru pale Africa kusini✍️
 
Nani anakuambia ni lazima kila mtu awe Mwislamu?
ili iwe nini ?
Wayahudi hawataki kabisa mtu asiye myahudi ajiunge na Dini Yao ya kiyahudi
Dunia inataka Sayansi na teknolojia na sio kuinama kuelekea Maka
Wewe kama umebahatika kuwa Mwislamu ridhika na Dini yako
Maana mnasema Dunia yote itakuwa ya kiislamu kwa manufaa Gani?
Shida Waislamu hawaridhi na Mungu wao Allah, na Mtume wao Muhamadi na Kitabu chao Qurani;
Ridhikeni na Dini yenu msilazimishe kila mtu awe Mwislamu:
2:256 Qur’an
Muache propaganda mfu
 
🤣😁🤣
Uzuri wa uislam sasa ukiuzibia juu unapita chini ukiuzibia chini unapita juu ukiziba kote utaukuta ndani ushaingia unashangaa umeingiaje ingiaje
Na ukisema uache wazi ndio unasambaa kama moto wa nyikani yaani
Mwisho:-sambazeni sana chuki fitna na kila ubaya na uongo juu ya waislam ila kwa muda mutawaonea waislam kwa muda mutawakatisha tamaa baadhi ya waislam kwa muda mutawavunja moyo ila kwa milele hakuna anaeweza kuua uislam usiwepo hili mulieke akilini tu na muvumilie uwepo wa uislam maana hakuna namna munaweza kuuondoa💪💪💪
Watazuia hadi abiria wakiislam asiwe anapanda ndege, yani wao ndio wauaji pale Gaza lakini ajabu ni kuwa woga umewajaa.

Trump mwenyewe aliwahi kuwekwa kwenye beseni la chakula kuhofia kuuawa 😁😁😁
 
Watazuia hadi abiria wakiislam asiwe anapanda ndege, yani wao ndio wauaji pale Gaza lakini ajabu ni kuwa woga umewajaa.

Trump mwenyewe aliwahi kuwekwa kwenye beseni la chakula kuhofia kuuawa 😁😁😁
Yaani wanahangaika sana na uislam na waislam
Walivyo wajinga wanajifanya wana elimu kumbe vilaza
Kuna muda kitu ukiwa unakizuia sana watu wanajiuliza kina umaalum gani mbona kinazuiwa sana
Ila wao hata hii kanuni ndogo imewashinda
Yaani wanaukaba uislam kumbe ndio wanaupa umaarufu
Wanahangaika na kuteseka sanaaaaaaa
 
Suala la ugaidi wa waislamu halinihusu sana ila vita yangu na hawa jamaa kutuharibia lugha ya kiswahili ku pronounce kama kiharabu..

Kuna mama anajikutaga Mwarabu wa OMAN na watoto wake kawapa majina ya kiaraabuu

Abdul Halim Hafidh Ameir.

Wanu Halim Hafidh Ameir.

Hawa si wamatumbi wenzetu,imekuaje tena??..
 
Ni Bora mara 100,000 uwe mpagani kuliko kuwa muislamu, uislamu kazi yake kuu ni kuhimiza mauaji na ngono.asilimia kubwa ya mahubiri yake ni ngono na kuua watu
Acha hizo, dini pekee itakayokupeleka mbinguni kiurahisi ni uislam. Katika uislam haulazimiki kufanya kila kitu ili kwenda mbinguni. Unaweza ukachagua vichache tu, paka rangi kwenye ndevu, ua wasioamini au jitoe mhanga uondoke nao. Oa wake kadhaa, kama huna njaa usile kitimoto, ukila wengine wasione, vaa kanzu, nawa miguu, ukijisaidia hakikisha unajitawaza kwa mawe au tissue (kumbuka maji siyo lazima, maji ni sawa na kwenda kuhiji makia)

Sasa dini gani inampatia binaadam unafuu wa kwenda mbinguni zaidi ya islam. Islam ndiyo dini ya mnyazi mungu
 
Waswahili kama wabongo vizuri tu Africa kusini kuwatimua manake unafuga majinga jinga tu kwenye Nchi yako
Mijitu yapo ki Aleluyaaaaa Ameeeennn lkn kichwani weupe weupe sana!!

HAKI kwao ni kukandamizwa Muislamu au Mpalestine

Watoto wamama majumba Makanisa misikiti
Inavunjwa waziwazi !!!

Yani Wapalestina wamevamiwa waziwazi kinyume na Sheria

Lkn yenyewe yanaunga
mkono Mvamizi Muisrael
Uku utayasikia Aleluyaaaaa Ameeeennn
Aleluyaaaaa YESU

Ndiomana mwengine tunasemaga yumkin uyo Aleluyaaaaa au YESU ni Pepo chafu la Chuki sio Mungu !!

Pepo chafu na Mungu wapi na wapi
Pepo chafu litaunga mkono kuvunjwa mpaka Makanisa

Pale GAZA kunavunjwa Makanisa yenye Historia kubwa lkn Aleluyaaaaa Ameeeennn YESU wa kwetu Africa bado anawaunga mkono wavunjaji Makanisa na kuwauwa Wakristo wa GAZA kisa kuna Waislamu!!!!!! Waislamu na Wakristo wameishi miongo yote kwa umoja wao Ndiomana kuna Makanisa yenye Historia ya zaidi ya miaka 1400

WAISRAEL wanavunja Historia iyoo uku wanawasapoti ki Africa wanashangilia nakuimba sijui kutaja Pepo wao Aleluyaaaaa YESU Aleluyaaaaa Ameeeennn Pepo chafu upenda kuona DAMU za wasio na Hatia zikimwagika Pepo chafu upenda kuona uvunjifu wa Amani ukifanyika

Sasa kile kinatokea Pale Palestine ni kinyume cha Sheria kinyume na Haki za Binadamu

Mbona Aleluyaaaaa Ameeeennn anaunga mkono yalio kinyume na Sheria yalio kinyume na Haki za Binadamu
JE
uyo ni MUNGU au Pepo chafu????
 
Baada ya ugaidi wa september 11 nchini USA, watengeneza ndege waliona tishio la kuhujumu ndege linatoka nje ya cockpit hivyo wakaweka mlango na lock. Hali imegeuka, tishio sasa limekuwa ni kutoka ndani ya cockpit, kwa marubani wenyewe. Naona huenda kutakuwa tena na mabadiliko au kanuni nyingine. Na zaidi, marubani watakuwa wanapitia kwenye chujio kali sana kwa sababu hali inaogopesha. Ukisoma jinsi hili tukio la FlyDubai lilivyofanyika, utagundua kuwa walikuwa na bahati kubwa kupona. Bado najiuliza: hivi wasingekuwepo wale ma-pilot wa ziada ni nani angei-stibilize ndege na kutua salama? Au kama kile kishoka kingekuwa kimemfanya yule rubani apoteze fahamu mara moja!
hivi wasingekuwepo wale ma-pilot wa ziada ni nani angei-stibilize ndege na kutua salama? Au kama kile kishoka kingekuwa kimemfanya yule rubani apoteze fahamu mara moja!🤔🥺🙌🏿🙇🏿‍♂
 
Watu wameuwana sana
Sudani, Rwanda, Somalia,
Kongo DRC, Msumbiji, Angola Nigeria nk.
kote hukowatu walikuwa kimyaa
Kuuliwa Wapalestina kwa kumchokoza Israeli ndio kinawauma sana:
Watumeni Tena Hamas wakawavamie Israeli na kuwauwa na kuwateka muone Moto wake:
Dunia inataka chakula, miundombinu ya kijamii na sio kuimba mchana kutwa
Allahu Akbar
 
dini yyte inayo amrisha kuua kwa ahadi za kufikirika.. ni ya kukaa nayo mbali.. akili za kuambiwa na hizi dini.. uchanganye na za kwako binadamu.. ishi katika utu wema inatosha.. unachoona kwako kitakuumiza.. usimtendee mwenzio.
 
Katika hili kuna mambo wawili Christians mnaendelea kuthibitisha,

1. Hakuna dini yenye watu wenye chuki dhidi ya dini nyingine zaidi ya Ukristo. Hili linathibitishwa hata humu kila siku utakuta wanavyoandama dini nyingine.

2. Christians hufikiri na kuwaza mambo pasi na kushirikisha ubongo linapokuja suala la dini. Yani hata Christian awe ni professor lakini ikishafika dini akili anakuwa hana.

Sasa mnapopongeza eti kuzuia marubani wa Kiislam kuzuiwa, hivi shambulio la September 11 lilifanywa na marubani kwa mujibu wa propaganda mlizolishwa?
Anyway endeleeni kupokea kila aina ya propaganda mnazolishwa.
Taqiyya
 
Kama tuwaone HAMAS ni Wavamizi ile 7 October tunapaswa kwanza kujua
Israel imeundwa pale lini kupitia Sheria ipi mwakagani kwa Azimio lipi

Kama tunakubaliana Israel imeundwa kwa Azimio la UN mwaka 1947

Je ile Ardhi ya Palestine iligawanywa vipi ukishagua mipaka ile ya Kisheria ya UN

Basi utaelewa kwanini Katibu mkuu wa UN kashindwa kuwaita Wa Palestine ni Wavamizi
au Magaidi
Kisheria UN Wamevamiwa ni Israel woo ndio wamevuka lile eneo linatambuliwa Kisheria na Umoja wa Mataifa

Kwaiyo Mvamizi ni Israel sio MPalestine na ile 7October bado ni watetezi wa Ardhi yao kupambana na Mvamizi ni Haki Kisheria za UN.

Sasa Aleluyaaaaa mnawaita wenye Haki Kisheria ni Magaidi uku mnamtukuza Pepo chafu wenu !!
Pepo sikuzote hapendi Haki hapendi halali ✍️
 
Sasa mnapopongeza eti kuzuia marubani wa Kiislam kuzuiwa, hivi shambulio la September 11 lilifanywa na marubani kwa mujibu wa propaganda mlizolishwa?
Anyway endeleeni kupokea kila aina ya propaganda mnazolishwa.
Ukirudi juu post #7 ukaisoma katikati ya mistari pana jibu la hili shambulio lilivyofanyika.
 
MUNGU MKUU hawezi kuwa na Chuki na viumbe wake na kawaumba yeye mwenyewe !!!

WAPALESTINA wameumbwa na Mungu kama sisi wengine

uyo Aleluyaaaaa Ameeeennn yumkin ni PEPO CHAFU

Kwa maelezo nimeonesha
waziwazi
Kama kweli Aleluyaaaaa Ameeeennn YESU kwenu ni MUNGU na kweli anaunga mkono yalio kinyume na Sheria za kimataifa
Basi uyo no PEPO
chafu sio MUNGU!!
 
Kama nilichoandika kunauongo wowote eleza,

Ukristo ulikuja ili kubrain wash akili zenu, huyo Netanyahu wayahudi wenyewe hawamtaki anaenda jela muda si mrefu ila wewe ulioko Afrika huku umejaa upepo kama puto eti kwakua anawaua waislamu pale Gaza, 😁😁
Taqiyya
 
Nimeeleza hapo juu Mkristo lipokuja suala la Dini hata awe Professor utaona kiasi cha ujinga alichonacho,

Haiwezekani kifo kiwe halali kwa Wapalestina lakini kiwe haramu kwa Muisrael then mtu anaakili timamu anashangilia kama mwehu ndama.
Mkuu huu wimbo unaoimba mimi huwa naimba humu kila siku.

Hii kitu ya kusema Israel anauwa wasio na hatia mbona ndio anachofanya Hamas pia?

Ukitaka kukemea ushetani usichague upande.
 
Back
Top Bottom